Mwana CCM nguli aliniambia sisi tupo sababu tunakula, japo kwa hali iliyopo hatupendi kwa ubadhirifu wa mali zetu unaofanywa na Samia na kuzipeleka Zanzibar.
Watanganyika jiepusheni; Rais Samia, siyo Rais wa Rais halali wa serikali ya bara. Wazanzibar wamejitoa kwa mambo yooote ya Muungano, tuna haja gani mali zetu kuendelea kuliwa na Wazanzibar kwa kivuli cha muungano.