Asante Mama Maria kwa maombezi Yako na Pia Asante Yesu kwa huruma na neema Yako ulionijalia naskiza nafuu ila Bado nakutumainia kwa uponyaji kamilifu.Amina๐
Amina ๐๐๐๐ sijui kama ni mimi pekee yangu Na find so hard kuomba rosary takatifu haki naweza Anza but ndajipata nimelala kweli kweli ๐๐๐
Father umenifunza kusali rosali takatifu baada ya miaka zaidi ya arubaini. Asante sana kwa kuniongoza njia ya kristu. Sasa Nasali rosary kila siku. Sifa kwa mungu. Father naomba namba yako ya simu
Eee Yesu Mwema Asante kwa mema na Huruma yako kwa Ulimwengu Mzima ๐๐ฟ Ewe Mama yetu Maria mwenye Heri Tuombee kwa Mwanao Mpendwa sisi wana wa Dunia ๐๐พ