Mwezi wa bikira Maria. Tumpende mama yetu kipenzi bikira Maria. Tusali rozari tujiombee na tuuombee ulimwengu mzima hasa wakosefu na roho zilizoko toharani. I love mother Mary!!!
Mamaaaaa nikikuwaza machozi ya furaha unitoka. Mama yetu kipenzi uzidi kuwa nasi ktk hali zote mama hatuna mwingine mama. Maombi Yako tunayaomba sana peke yetu hatuwezi mama