Nashindwa niseme nini Daddy ju penye umenitoa ni mimi najua 😢😢😢kukataliwa na both father's mwenye amekulea na wakukuzaa but Nashukuru Mungu kwa umbali huu mamangu mahali alipo namwombea maisha marefu na pia hao mababa zangu 😭😭😭 asante Mungu kwa kunipa nguvu ju sirahisi🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽nilijikubali tu naishi Kwa sababu yako Baba
God who Restores... please Restore my marriage,,,give me a child...Soften the heart of my husband... please my God...i need to come here with a testimony...
Mungu anajua maumivu yako na wasiwasi unaopitia. Yesu anasema katika Mathayo 11:28, "Njoni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha." Katika Yesu kuna uzima na matumaini. Usikate tamaa, kwani Mungu ni mwaminifu na anajua kila hitaji lako. Unaweza kumwamini yeye kwa uponyaji, utulivu wa moyo, na amani. Endelea kumuomba, kuwa na imani na utafute msaada wa kimatibabu, kwani Mungu hutumia njia mbalimbali kutuponya. Uwe na tumaini jipya kwa Yesu, maana kwake hakuna lisilowezekana! (Mimi ni daktari njoo whatapp nikufundishe zaidi kuhusu UKIMWI kwani sio jambo la kuliogopa kabisa nimewahudumia wagonjwa wa wenye UKIMWI kwa Muda wa Mwaka mzima nimezalisha wamama wengi sana na wapo na maisha mazuri sana leo pia nimetoka kumuhudumia Mama ambaye pia majifungua mtoto na alikuwa na watoto na mume wote hawana UKIMWI Njoo nikufundishe mengi kuhusu UKIMWI na Mungu atakubariki na kukupa Tumaini Jipya Usikate Tamaa 0759496895 Dr Nico )
Mimi ni daktari njoo whatapp nikufundishe zaidi kuhusu UKIMWI kwani sio jambo la kuliogopa kabisa nimewahudumia wagonjwa wa wenye UKIMWI kwa Muda wa Mwaka mzima nimezalisha wamama wengi sana na wapo na maisha mazuri sana leo pia nimetoka kumuhudumia Mama ambaye pia majifungua mtoto na alikuwa na watoto na mume wote hawana UKIMWI Njoo nikufundishe mengi kuhusu UKIMWI na Mungu atakubariki na kukupa Tumaini Jipya Usikate Tamaa 0759496895 Dr Nico
@@iragikamungu link ya kudownload itakuja soon , usikose kutazama video zingine ambazo teyari zinaoption ya kudownload, Na Mungu wa Minguni akubariki ❤️