Good morning brothers and sisters in the Great Choir...as we read through the comments of the people listening, we see U have ignited a stream of faith in the people...keep the work VERY HOLY OUT THERE..NEVER LET PRIDE AND TEMPTATIONS DESTROY YOU...ALWAYS BE GUIDED BY THE HOLY SPIRIT AND THE WORD...This way your TESTIMONY IS GUARANTEED ON EARTH AND IN ETERNITY. Remain BLESSED in JESUS Mighty Name
Habari za asubuhi Kaka na Dada wote KATIKA KUNDI HILI ZURI LA KWAYA.Ninaposoma maoni ya wasikilizaji, mmewashsa MOTO WA IMANI ,KUABUDU NA SIFA.Basi msiuzime bali MUDUMU KATIKA UTAKATIFU, BILA MAJIVUNO NA TAMAA ZA DHAMBI, Muongozwe DAIMA na ROHO MTAKATIFU NA NENO. MUNGU AWABARIKI na kuwalinda kwa JINA TUKUFU la BWANA YESU KRISTO