Тёмный
Middle simba
Middle simba
Middle simba
Подписаться
East African number one RU-vid channel for Entertainment news,Sports as well as Politics News owned By Middle simba.

KANUNI NA MUONGOZO

Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.

NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.

Ads: call 0767335755
#WeAreEverywhere
Комментарии
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz Час назад
Mwijaku ni chizi kwa nini asijitaje yy unamdharau mtu usiyemjua simba mpambanaji kaza mwendo diamond❤❤❤❤❤
@DianaModesto-ze5kr
@DianaModesto-ze5kr 3 часа назад
Mwijaku bado mwezi moja akimbilie Polini Yani ni wazimu
@mbulajm1877
@mbulajm1877 3 часа назад
Simba anamukwanja murefu zaidi ya Fred
@DjemsTorontos-d8p
@DjemsTorontos-d8p 3 часа назад
Ww uwe tu mke wa diamond platnumz nasio tena chawa ww ulewa tu na diamond platnumz awe ana kukula kwa nyuma ww ni mke tu wa diamond platnumz
@HemedKombo-p5u
@HemedKombo-p5u 4 часа назад
Jamani mbona cheaf good love mumemsahau 😅😅😅😅😅😅😅😅
@Mzeepirato
@Mzeepirato 5 часов назад
😂😂 middle ongeza mda dk zinakuwa kidogo sana 💪
@amawanda3082
@amawanda3082 5 часов назад
You're just a funny we know you
@samshelembi4962
@samshelembi4962 5 часов назад
Hao ni matajili tiali wote, badala utumie nguvu kuelimisha watu kutafta hela unatumia nguvu kujadili watu waliofanikiwa
@amawanda3082
@amawanda3082 5 часов назад
Hadi wew hujui the richest man in the world then unasema nin kweli😂😂
@Osamaally
@Osamaally 6 часов назад
Simbaa🦁🦁🦁
@WillyWilliam-n8e
@WillyWilliam-n8e 6 часов назад
Simbaaaaaaa
@CredoMatanga
@CredoMatanga 7 часов назад
Kwanini mnafadhaika, kwanini mna mashaka mioyoni mwenu 🤣🤣
@user-zv2is4yy4c
@user-zv2is4yy4c 8 часов назад
Damn😂😂
@ronzevannyboychui1661
@ronzevannyboychui1661 8 часов назад
Huyu mwijaku Hana Akili timam ila nimefulahi kwa kile vujabei alicho ongea sisi wenyewe mashabiki túsingekubali kabisa huyu jama mwijaku Hana Akili kabisa analopokatu
@MussaSaidi-nw2xs
@MussaSaidi-nw2xs 10 часов назад
sio powa
@JumaKavanga-k7k
@JumaKavanga-k7k 10 часов назад
Middle kumbe wewe chiz
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 10 часов назад
Inawezekana unajua Tanzania tuna madini mengi akilideal na hayo mambo anaweza kutoboa ila mziki peke yake hapana atadanganya maana hata wasanii wakubwa wa marekani bado hawajamgusa elon musk 😂😂😂😂
@mmungakiza
@mmungakiza 11 часов назад
Diamond platnumz is the best
@halimasalim5477
@halimasalim5477 12 часов назад
Kama wewe
@halimasalim5477
@halimasalim5477 12 часов назад
Wewe simba waonaje
@widebrainclassic
@widebrainclassic 13 часов назад
Mwijaku hana akili timamu😂😂😂
@japhetsamson773
@japhetsamson773 15 часов назад
Naomba namba yako kaka
@agogomgagagigigogo
@agogomgagagigigogo 15 часов назад
😂😂😂lopolopo linaumbuka
@EdwinPaul-fr9ro
@EdwinPaul-fr9ro 17 часов назад
Na Mimi Nina ndoto ya kuwa tajiri namba moja duniani kwa Sasa account yangu ya benk Ina laki mbili😂😂😂
@amedeusijoseph3649
@amedeusijoseph3649 18 часов назад
SIMBA LA MASIMBA DANGOTE NI TAJIRI MKUBWA SANA. HUYO MWIJAKU USHOGA UMEMWARIBU. HANA MARINDA.
@josephvenus3259
@josephvenus3259 18 часов назад
LIMEISHA HILO, MWIJENI AJE HAPA 😂😂😂. DIAMOND YUKO JUU
@kweturaha439
@kweturaha439 18 часов назад
middle simba shabiki wa diamond kwani nani ajuwi,angekuwa mwingine katowa data izi ningeelewa but siyo kwa uyu middle
@MunywaniKibaso
@MunywaniKibaso 18 часов назад
Ameni
@BensonSiyame
@BensonSiyame 19 часов назад
Simba
@yakoboelia8539
@yakoboelia8539 19 часов назад
Wewe ni chawa tu
@boythenizefrommuedanga4055
@boythenizefrommuedanga4055 19 часов назад
God bless you
@MamuHssn-o6h
@MamuHssn-o6h 19 часов назад
Simba la masimba 😎
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 19 часов назад
Daaaaa utafutaji magumu mwijako badilisha namna ya kuchawa na kugombanisha
@AmourHaroub-lv8ll
@AmourHaroub-lv8ll 19 часов назад
Mwijaku ni mwehu
@babuuriziq3243
@babuuriziq3243 19 часов назад
Anataka kubakwa uyo mwijaku
@diiamondplatnumz
@diiamondplatnumz 19 часов назад
Thank you so much Middle Simba, Mimi ni shabiki wako mkubwa na Nina homba mungu one day ukuwe the best midea in the world not is impossible just never give up!! Hope to meet you some day. 🫵❤️🔥✨🫡🙏
@CamweziKarashnekov
@CamweziKarashnekov 20 часов назад
Mwijaku ni danga kama danga wengine
@AmosMchiwa-ub8qq
@AmosMchiwa-ub8qq 20 часов назад
Mwijaku nichizi anawehuka ovyo ukitoka kwenye camera unaenda kwa diamond kupga magot chizi mmoja ww haujitambui upo ilimuladityu
@CamweziKarashnekov
@CamweziKarashnekov 20 часов назад
Vunjabei X 3,5 = Diamond Pesa ya mwezi kwa RU-vid yake akikupa unatoboa
@Wazungujey
@Wazungujey 20 часов назад
Diamond Platnumz yupo juhu kifedha 🤘🏿🙌
@Jayfocuss-nf6ww
@Jayfocuss-nf6ww 20 часов назад
Haujuii
@ApostoMathew
@ApostoMathew 20 часов назад
Simbaaa tajarii bwana
@SAIDYMOHAMMED-m5z
@SAIDYMOHAMMED-m5z 21 час назад
Diamond na cr7 nann mwenye ela
@user-ys5km8so9e
@user-ys5km8so9e 21 час назад
Mwijaku benge banga tuliya
@francisdeomassawe6307
@francisdeomassawe6307 21 час назад
Unaweza kusoma alf still ukawa mjinga.
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 21 час назад
Mond anapenda masifa tu alafu kako serious kabisa kama chief godlove😂😂
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 21 час назад
Diamond ni mtu ambaye anatumia vitu ambavyo sio vyake kwa ajili ya show off na kukuza brand kijinga, ukitaka kujua mond ni mtu muongo muongo hebu fikiria kweli mond ni wa kutapeliwa bilioni 4 ya ndege WE HUOGOPI?😂😂
@Gerardirankunda2885
@Gerardirankunda2885 21 час назад
Kak kam sis hatugusomaj tunaifunguwaj sas🙏🙏😂😂??
@aliomaraliomar6078
@aliomaraliomar6078 21 час назад
Vunja bei noma
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 21 час назад
Mqijaku nikichaa tu mond anampunga