Тёмный

D VOICE bila uwoga amewachana waandaji wa tuzo za TMA baada ya kutemwa kwenye kipengele cha Msanii.. 

Middle simba
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Please subscribe now on our RU-vid channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#Dvoice

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@SifaEmma
@SifaEmma 13 дней назад
Chuki Tanzania ni ile ile... Kuroga Diamond Platnumz kumushusha na uchawi...Aibu Tanzania 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@matanoabdhalla2603
@matanoabdhalla2603 13 дней назад
Babu middle Simba wakwanza leo naonba like zenu
@RaskatzWilson
@RaskatzWilson 13 дней назад
Ata mim nashangazwa sana kabisa hadi msanii kam vanilla,d voice, Adi nashangaa San waandaaji wa izo tuzo wajifikirie vizur
@channyanjen9047
@channyanjen9047 13 дней назад
Kweli kabisa kaonewa
@zubeaslay6566
@zubeaslay6566 13 дней назад
Kwa kweli Ameonewa
@SaidMkome
@SaidMkome 13 дней назад
Kwani d voice msanii mpyaaa
@BizzyLizer-j3o
@BizzyLizer-j3o 13 дней назад
Aaaah! Sema hiz tuzo m sizielew
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi 13 дней назад
Eeeeeeee kwl basata wajihangarie vizuri kwl hakuna msani mpya iliozidi D voice hata kdg
@SulleimanTVshow
@SulleimanTVshow 13 дней назад
D voice ndio msanii wa kwaza kusumbua harmonize na album yake ya Swahili kids
@SaidMkome
@SaidMkome 13 дней назад
Kwani d voice chipukizi😁😁😁🏃🏃🏃🏃
@SulleimanTVshow
@SulleimanTVshow 12 дней назад
@@SaidMkome d voice ndio msanii kwaza kufikisa streemss million moja in one week
@thomassydney5857
@thomassydney5857 13 дней назад
Waandaaji wanazingua sana
@user-gs9mt1vp7i
@user-gs9mt1vp7i 13 дней назад
Msijali wasafi tutakuja na tuzo zetu za haki
@mzeezidane4060
@mzeezidane4060 13 дней назад
😅😅😅😅😅😅 niatari Tanzania music award ni shida sana
@jullyhb4342
@jullyhb4342 13 дней назад
D voice sio tu alistahili kushiliki yeye ndie mshindi kabisa his tunzo zinakosa maana
@MichaelNjehia-o1s
@MichaelNjehia-o1s 13 дней назад
Wakwaza leo
@SalahBoyplatinum
@SalahBoyplatinum 13 дней назад
Wasanii wote nikama wanazitharau izi tuzo .nikama Awana aja nazo soo waniletee mm juu mm nimsanii naninazikubali tuzo izi😅
@siamejerry9239
@siamejerry9239 13 дней назад
Mbona makosa mengi TMA
@ramayonline2281
@ramayonline2281 13 дней назад
Ndio maana Diamond Platnumz aliziona hizo tuzo ni cha mchongo
@user-df5gw2mq2n
@user-df5gw2mq2n 12 дней назад
Ukweli unaeleweka wcb wananguv
@frenkferecian6215
@frenkferecian6215 13 дней назад
Hata fonder tz alistahili kuwekwa humo
@SuryaAneth
@SuryaAneth 13 дней назад
Huyu msanii tangu zamani
@ashajongo7670
@ashajongo7670 13 дней назад
Tatizo lipo kwa mwana FA aache chuki kwa daimond
@richardmalwa3197
@richardmalwa3197 13 дней назад
Wap uyokanza mziki kitambo achenizenu
@BarryGingel
@BarryGingel 13 дней назад
Wote mnaoshangazwa Makolo nyie ntajieni nyimbo ya dvoice iliyotoka fbr au March acheni ushamba
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 13 дней назад
Lakin Dvoice ni upcomin 😂😂 mbona kwa gem huyo wa mda tu
@alfredrweyemamu7807
@alfredrweyemamu7807 13 дней назад
atulie kwanza
@IbrahimMwinyi-mu5gp
@IbrahimMwinyi-mu5gp 13 дней назад
Mbona na wakina rosa ree hawapo naniwai.baji wazuli tu nawenyewe wanapiga kelele pia kama D voice
@aibanjumanne6864
@aibanjumanne6864 13 дней назад
Kwan ww middle haujui kama kaanza kuimba miaka7 iliyopita anakuaje chipkizi...
@user-db4cq6vb9x
@user-db4cq6vb9x 13 дней назад
Dogo kaonewa kama rayvanny Na jux Tunzo za ovyo Sana
@ZakariaMachibula
@ZakariaMachibula 13 дней назад
Sasa huyo ni chupukizi si wakitambo kabisa😂😂
@billomlewa4985
@billomlewa4985 6 дней назад
Sio chipukiz mbona ametika kitambo au amejishusha mwenyewe kwamba kipindi hcho hakuwa anafanyabmzuk mfano Leo hii makabika asainii wasafi akitoa nyimbo nae aje Alie kuwekwa kwenye kipengere Cha msanii Bora chipukiz ushamba uo
Далее
Vibes in Ney York🗽❤️! #shorts
00:26
Просмотров 20 млн
😂😂
00:16
Просмотров 856 тыс.
Diamond Amuumbua Mwijaku Kisa Utajiri Wa Vunja Bei
2:01
KADO - Oga@DTop  (Official Music Video)
7:39
Просмотров 4,4 тыс.
Zuchu - Pwita (Official Lyric Video)
3:25
Просмотров 981 тыс.