Тёмный
NBAA
NBAA
NBAA
Подписаться
The National Board of Accountants and Auditors (NBAA) is an independent regulatory and membership body for the accountancy profession established under the Accountants and Auditors (Registration) Act [Cap 286 R.E. 2002] operating under the ministry responsible for Finance and Planning
CUOM PIUS MANENO
2:32:18
2 месяца назад
NBAA SABASABA 2024 WELCOME CLIP
0:59
3 месяца назад
NBAA Sabasaba Documentary
9:38
Год назад
Sophia Kikala, Mstaafu, NBAA
11:36
Год назад
CPA Dr. B. S. Sreekumar
2:56
Год назад
Комментарии
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 11 дней назад
Kwa kweli kwa upande wa mitihani ya board pongezi nyingi mno. Hata warithi NBAA wameendeleza utamaduni wa uaminifu
@douglasamanzi4525
@douglasamanzi4525 Месяц назад
Uko vizuri sana !
@KamchapeKachara
@KamchapeKachara 2 месяца назад
Hakuna asie na kosa kwa yeyote aliepitia uongozi ila umejitahidi , tunakosa watu wenye fikira za kibinadamu nyakati hizi niko nawe
@KamchapeKachara
@KamchapeKachara 2 месяца назад
Mzee nakukubali mimi si udini wa ubaguzi ulikuwa sawa na uko sawa ukilinganisha wengine
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 месяца назад
Mungu aku Bariki sana sana Mzee wangu kazi ulizo fanya nna zijua sana
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 2 месяца назад
Siyasa ya ujama ipo au nayyo ilitaifishwa na sasa tupo wapiiiii tulitaifisha viwanda vikubwa uasafiri wa umaa ikiwepo Ralwe mabasi yote uda :mabasi ya kamata mabenki THB. MRDAN na Mashamba makubwa ya mifugo na mashamba ya ngano sasa tupo wapiiiii Mzeee U too ujamaa ? Ubepari hatufungamani na upande wowote tupo wapiiiii
@stn4873
@stn4873 2 месяца назад
Wa kwetu, Mrungu akugenjeeeeee!! Edhiina Cleopa David Msuya nalivuuuuumeeeee.
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc 2 месяца назад
HONGERA SANA MZEE MSUYA UKO VIZURI MUNGU AKUPE UMRI MREFU WENYE AFYA NJEMA ILI TUPATE KUCHOTA HAZINA ULIYONAYO
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 2 месяца назад
Sauti ya pesa
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 месяца назад
Mungu akujalie umri.mrefu na uzee mwema Mh Mzee Msuya. Kwa umri wako bado una kumbukumbu kubwa Mungu aendelee kukutunza.
@neemacocorico2022
@neemacocorico2022 2 месяца назад
Ila Baba Hongera Sana.Umetengeniza nyumbani.Magirofa Hadi Migombani.Mashuke kibao
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 3 месяца назад
Rest in peace mzee wetu Mustafa Mkulo
@ordenyian_tv504
@ordenyian_tv504 3 месяца назад
Hakuna organization itakayowekwa ili wanaotaka kushiriki kwenda kwa pamoja?
@julianapeason6254
@julianapeason6254 3 месяца назад
Ni kweli hakuna bodi bila wanachama ila ndo mfanye mitihani iwe ya kiwango jamani mtakuja mtuue tuache watoto hadi wanaonyonya
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 4 месяца назад
Hongereni sana, itakuwa vizuri yale mtakayo kubaliana tuyapate kwenye website ikiwepo NBAA.
@danieljoseph6065
@danieljoseph6065 4 месяца назад
Always your presentation is next level
@caritasmushi8896
@caritasmushi8896 5 месяцев назад
Mungu ailaze roho yake pema peponi
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 5 месяцев назад
Mungu ana wa adhibu Kwa matendo Yao kachoka pamoja na kuwa fedha nyingi walizo iba walitesa watu mungu anatoa adhabu Kwa vizazi vi nne waliopo madarakani wajitathimini
@jeremiahmussa2178
@jeremiahmussa2178 5 месяцев назад
R.I.P
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 месяцев назад
Mzee wetu uyu KAZI yake aliifanya kadiri ya uwezo wake mungu akujalie amani mapungu kwa binadam kawaida
@user-qe7yk2xr8y
@user-qe7yk2xr8y 6 месяцев назад
Maelezo Mazuri Sana. Ahsante Sana Professor
@reginaldhhayuma6907
@reginaldhhayuma6907 6 месяцев назад
Kwa kweli wahasibu wa Tanzania tunasota sana utafikiri tunasomea udaktari
@LinusNgasa
@LinusNgasa 7 месяцев назад
Good
@albertmaneno
@albertmaneno 9 месяцев назад
Safi sana
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg Год назад
Mkabila. Mbinafi
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 6 месяцев назад
Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni
@kenedymdemu6943
@kenedymdemu6943 Год назад
Yes hadi Guest house nzr alijenga kijijini kwao usangi
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Год назад
Alijenga lamikwao Hadi milimani nyerere na joseph walioba hawakujenga wenyewe
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 Год назад
Bring this genius back to office.
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Год назад
Hawa walipiga sana hela kipindi cha kikwete ,na hotel yake pale morogoro
@NasriMohammed-yw7lp
@NasriMohammed-yw7lp 5 месяцев назад
Inaitwa aje
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 3 месяца назад
Inaitwaje hotel yao
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Anaonekana chapombe😂😂😂
@jjaylani-on5ky
@jjaylani-on5ky 5 месяцев назад
Dah umekosea San manen yako ulosema, jamaa hapend pomb na ni mtu wa MUNGU sana na mpole kupitiliza maisha yake yte
@MwantumT
@MwantumT 5 месяцев назад
​@@jjaylani-on5kyasante kwa kumuerewesha huyu Baba namjua napia ni mtu wa mungu na hanywi pombe
@endlessloveofchristlovewor9991
Kwenye maneno mengi dhambi haikosekani...Mithali 10:19
@ChadSeke
@ChadSeke Год назад
Kwaiyo mkataba wabandari ajauona atufafanulie
@OnesphoryJKMboya
@OnesphoryJKMboya Год назад
Kwani hujui duniani sio nyumbani
@fredyfile623
@fredyfile623 Год назад
Aiseee hayaa maishaa tusiringee huyu si waziri wa fedha leo ndoo yupo hivi duùu
@peterkananda7699
@peterkananda7699 Год назад
Umebadilika
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Год назад
Unafanya nini kwa sasa
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 Год назад
Yani katumia muda wote huo kuongea na camera badala ya kuitumia camera kuonyesha huduma zenyewe kwa picha. Sasa mkionyesha jengo kwa nje ndio mmejitangazaje hivyo? Mfano mtu yupo nje ya nchi atajuaje anacho ki book ikiwa hata vyumba vyenyewe hamvionyeshi vikoje kwa ndani?
@Abyuay
@Abyuay Год назад
Well done NBAA team for your exception elaboration on sabasaba day, I have interested to sit for NBAA exams💞
@margaretnalule4697
@margaretnalule4697 Год назад
Congratulations Prabhjot.
@rvk9892
@rvk9892 Год назад
Congrats Jyothi from uncle , me and Sheetal .
@msprabhjotkaur
@msprabhjotkaur Год назад
Thank you so much
@phedsonmwambete7813
@phedsonmwambete7813 Год назад
Congratulations
@saumsaum1916
@saumsaum1916 2 года назад
Huyu dd ni mpale??
@saumsaum1916
@saumsaum1916 2 года назад
Huyu dd ni mpale??
@finbizauditors9392
@finbizauditors9392 2 года назад
Hongera sana sana
@emiliasimon4066
@emiliasimon4066 2 года назад
Keep on shining madam, We will be there with our Black suit
@aminamakoko2418
@aminamakoko2418 2 года назад
Hongera sana Mwenyekiti wa maandalizi. Endelea kung'ara Hajjat CPA Dr Neema.
@gildacostampuya5641
@gildacostampuya5641 2 года назад
Hongera sanaa CPA Dr Neema ❤️❤️❤️🎈🎈🌹🌹🌹❤️❤️❤️
@lightnessmsusa9883
@lightnessmsusa9883 2 года назад
Sawa CPA Dr. Neema
@floralengwana6128
@floralengwana6128 2 года назад
Hongera madam chair
@zuhmas2
@zuhmas2 2 года назад
MashAllah MashAllah