Siyasa ya ujama ipo au nayyo ilitaifishwa na sasa tupo wapiiiii tulitaifisha viwanda vikubwa uasafiri wa umaa ikiwepo Ralwe mabasi yote uda :mabasi ya kamata mabenki THB. MRDAN na Mashamba makubwa ya mifugo na mashamba ya ngano sasa tupo wapiiiii Mzeee U too ujamaa ? Ubepari hatufungamani na upande wowote tupo wapiiiii