Тёмный
Mapishi Tanga
Mapishi Tanga
Mapishi Tanga
Подписаться
Комментарии
@Hafsaamry
@Hafsaamry День назад
Mashaallah Mi huwa nakuelewa vizur sana.shukran.
@FatumaJumaa-rx4em
@FatumaJumaa-rx4em 7 дней назад
Yes wewe dd ndio umepika mseto hasaaaa nimependa
@Teaching356
@Teaching356 13 дней назад
Asante kwa sana kwa mafunzo mazuri nimependa❤
@Teaching356
@Teaching356 13 дней назад
Asante sana kwa mafunzo mazuri ❤
@fauziamuthui7589
@fauziamuthui7589 18 дней назад
Je unaweza kutumia maziwa badala ya Nazi?
@HappyFania-ry2ch
@HappyFania-ry2ch 18 дней назад
Unavyopikia huo wali unaweka tui la moto au likiwa limepoa maana kwenye wali tumezoea maji ya chemke je tui nalo nalichemsha au vp
@KomboZainab
@KomboZainab Месяц назад
Mashallah
@Isacksaid
@Isacksaid Месяц назад
Duuuuh
@Reefa-q8o
@Reefa-q8o Месяц назад
Hatueki nafuta plz reply
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Месяц назад
Yess hatuweki kabisa
@GiftIddy-k2f
@GiftIddy-k2f Месяц назад
Mkate mdhuli sanaaa
@RhodaMagige-c8o
@RhodaMagige-c8o Месяц назад
Nimependa nzuri sana
@juditholotu7249
@juditholotu7249 Месяц назад
Sorry hizo karatasi za kufunikia zinaitwaje
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Месяц назад
Baking paper
@SamsonCiza-p3r
@SamsonCiza-p3r Месяц назад
Asant sn
@aishajuma6706
@aishajuma6706 Месяц назад
Robo.mchele je..vipimo vyake je alafu kama huna nazi waezatumia maji
@TheSwahiliStudent-yq6ni
@TheSwahiliStudent-yq6ni Месяц назад
Mombasa hizo zaitwa vibibi
@yasminsamjoo315
@yasminsamjoo315 2 месяца назад
Very nice excellent
@SienaWamwandu
@SienaWamwandu 2 месяца назад
Mashaallah mapishi yako mazuri
@florencengwavi6939
@florencengwavi6939 2 месяца назад
Unafundisha vizuri sana
@LeanaJohn-v2c
@LeanaJohn-v2c 2 месяца назад
❤😢
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 месяца назад
👍👍👍💚🧡
@victorialuvanda9222
@victorialuvanda9222 2 месяца назад
Samli n nn
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 2 месяца назад
Tanga hakuna mchezo kwa mapishi ya vyakula bila kusahau nazi Ahsante MashaALLAH
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 месяца назад
Thanks❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 2 месяца назад
You're welcome 😊
@josephzenda3827
@josephzenda3827 3 месяца назад
nimepiiita uko lakin hapa kabej limepikwa❤❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 3 месяца назад
Asanteee😊
@AminaIssa-f1r
@AminaIssa-f1r 3 месяца назад
Masha allah dada ang mungu azidi kukuwekaa🙏🤲🤲🙏
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 3 месяца назад
Amiin ya rabb🤲
@FarajaTarimo
@FarajaTarimo 3 месяца назад
Hueki maji
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 3 месяца назад
Hapana….sababu tumeshatumia maji kwenye kuchujia tui
@MariamuYahya
@MariamuYahya 4 месяца назад
Pishi pambe
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 месяца назад
Karibu😂🔥
@PhilimoniDaudi-ir9lv
@PhilimoniDaudi-ir9lv 4 месяца назад
Na Mimi pia nitajaribu
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 месяца назад
Karibu❤️
@PhilimoniDaudi-ir9lv
@PhilimoniDaudi-ir9lv 4 месяца назад
😮
@MaryKasunga-im9km
@MaryKasunga-im9km 4 месяца назад
Asante snA nmependa na rahis mnooo
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 месяца назад
Karibu❤️
@neemachomo8390
@neemachomo8390 4 месяца назад
Nimependa,mahitaji machache na mapishi rahisi
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 месяца назад
Shukran❤️
@SamwelJohn-vt5od
@SamwelJohn-vt5od 4 месяца назад
Mafuta hayatumiki?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 месяца назад
Ukipenda unaweza kuweka…ila sisi hapo hatukuweka kabisaa
@sobbyesmail5278
@sobbyesmail5278 5 месяцев назад
Ma shaa Allah
@mariamumohamedi4047
@mariamumohamedi4047 5 месяцев назад
Inafaa mchele kusaga mashineni?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 месяца назад
Ndio
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 5 месяцев назад
Safiiiii
@sofiamasseelyas7553
@sofiamasseelyas7553 5 месяцев назад
Bonjour. Svp les deux tasses font combien en centilitres ? merci !
@fatmammassy3532
@fatmammassy3532 5 месяцев назад
MashaAllah nimevipenda
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 5 месяцев назад
Asante❤️…karibu tena
@Daniella249
@Daniella249 6 месяцев назад
Nimekuelewa vizuri nitajaribu naamini nitaweza
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 месяцев назад
Utaweza tu hbbty❤️
@pamelaaminaamina8946
@pamelaaminaamina8946 6 месяцев назад
Nataka namba yako pls pls
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 месяцев назад
0657728204
@shamirasalemwalla8920
@shamirasalemwalla8920 6 месяцев назад
Mpande ingine na takiwa ku roast? Tuna ona mbichi.
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 месяцев назад
Huo upande wa juu unaiva kwa mvuke/steam ndomana tunakuwa tunafunika na mfiniko
@ArafaOmbeni
@ArafaOmbeni 6 месяцев назад
Simple
@maryamabdulkadir4027
@maryamabdulkadir4027 6 месяцев назад
Jee sausage ulichoma n mafuta kabla ya kubake??
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 месяцев назад
Hapana sikuipika kabla sababu uki bake na mkate inaiva humohumo❤️
@hadijawaziri-ld9xt
@hadijawaziri-ld9xt 6 месяцев назад
Mashallah
@fatumamorris7581
@fatumamorris7581 6 месяцев назад
MashaAllah
@22222lucia
@22222lucia 6 месяцев назад
Mashallah❤
@siamushi2916
@siamushi2916 6 месяцев назад
Ziko njema sana
@MJEGEJEEE
@MJEGEJEEE 7 месяцев назад
Je una weza kufinika zaidi ya lisa
@SwabraAthman-t2f
@SwabraAthman-t2f 7 месяцев назад
Ww hutumii mayai
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 месяцев назад
Hapana siweki kwasababu mayai yanaleta harufu kwnye chilla…lakini unaweza kuweka
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 6 месяцев назад
Vitumbua haviwekwi mayai kabisa . Mayai huwekwa kwenye keki na maandazi
@salamamana
@salamamana 7 месяцев назад
MashaAllah
@NanaaIssa-r2k
@NanaaIssa-r2k 7 месяцев назад
Nina swali mfano ukapikia na chungu
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 месяцев назад
Pia sawa…kwasababu frying pan za cku hzi kama ugae