Asanteni sana ndugu zangu pia poleni kwa kuchelewa ila tutajitahidi sana ni mambo tu ya location magumu ila tutajitahidi sana tusichelewe episode ya tatu ni kesho mungu akipenda tunaachia na mutafurahia hatuwezi kuwaangusha kabisa ❤❤❤❤
Kaz nzur hatukatai mungu akuzidishie lkn kwan ni lazima sana hizi movie za kijini ziwe na maneno ya kiislam maneno mengn Hmn je hamuoni kama mna kejeli Dini za watu igizen na tungeni movie zisizo fanya wengine wajisikie vby
SORRY BRO...ILA KM VP JITAHIDIN KUACHIA JAPO EPISODE 2 MANA UTAM KUNOGA ILA INAUMA INACHELEWA KUTOKA TUNASUBIR CKU KADHAA ALAF TUNAAMBULIA EP1 TENA DKK CHACHE INAKUWA KINYONGE