Ndiokwaanza naona ep hii... Huyo video editor ni mtoto kiasi gani mpaka effects za fighting anaweka hizo!?... Na nyie inamaana kabla ya kupost ep hamuiangalii kwanza!?. Hizo effects ndizo ziliidhalilisha bongomuvi enzi zile na leo 2024 mnazitumia...
@@fatmafaki6163 video wditor wa BONGO wengi ni wavivu. Fighting sound nyingi nzuri zinauzwa kwenye blog za chrome kwa pesa ndogo sana. Akiweka dola 10 tu anaweza kudownload sound effect nyingi zikamsaidia katika kazi zake...