Тёмный
Ibrahim Zancom
Ibrahim Zancom
Ibrahim Zancom
Подписаться
Ibrahim Zancom, ni channel ambayo imeandaliwa, lengo na madhumuni ni kuelimisha jamii kupitia tasnia ya Qaswida, Tenzi, Mawaidha, Nasheed na Matukio mbali mbali ya kijamii.

Hivyo channeli hii itaandaa Qaswida ,Mawaidha,Nasheed na tenzi mbali mbali kila baada ya kipindi, na ku upload, lengo na madhumuni ni kuelimisha na kukosoa jamii.

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu namba.

Whatsapp : +255772285543
Call : +255772285543




Usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE naku COMMENT ili uwe wa mwanzo kupata matukio na Qaswida mbali mbali kina zinapotoka.

ASANTE.
KIJANA AOZESHWA NDOA YA MKEKA KWA ELFU 3 TU
1:01
10 месяцев назад
Комментарии
@Airport_view
@Airport_view 2 часа назад
Wewe wampamba sana huyu bachuu kaingia kwenye mtego panya usimpaishe sanaa
@MahirKheri
@MahirKheri 10 часов назад
Yarabi tupe mwisho mwema😢😢
@mbashohamad8576
@mbashohamad8576 16 часов назад
Hongera
@user-tc3hq7kz8u
@user-tc3hq7kz8u День назад
Siku nikiolewa na yule alonibariki allah ❤❤❤
@yulianasmjt5460
@yulianasmjt5460 День назад
YESUS CHRIST 😇❤️😇
@user-cv5ip1es9e
@user-cv5ip1es9e День назад
Mashaallh
@KipanjeKipanje
@KipanjeKipanje 2 дня назад
Allah akuzidishie uhai mrefu momy yangu maan wew ni kipenzi changu
@JaphariAmir
@JaphariAmir 2 дня назад
Maashallah hii nyimbo nimeangalia km mara 100000000 nimeipenda sn❤❤
@tamimuidy9244
@tamimuidy9244 2 дня назад
Hakik qaswida hii imenifanya niwe mwenye hofu ya MUNGU kuliko chochote kile hakika Allah atupe afya njema daima na akhera njema na utaajilie wenye kumcha Allah
@user-kk5es2xe6g
@user-kk5es2xe6g 3 дня назад
Nakupenda manaacha
@KipnziChawatu
@KipnziChawatu 3 дня назад
Mashaallah
@SaudaSwalehe-fg1sk
@SaudaSwalehe-fg1sk 3 дня назад
Ya Allah tujaalie mwisho mwema ya Raby😢
@AbuuHuzaima
@AbuuHuzaima 3 дня назад
Mashaallah
@SalimAlhilal
@SalimAlhilal 4 дня назад
Mashallllah waremboooo
@lindaabadia4244
@lindaabadia4244 4 дня назад
😮😮😮
@JACQUESOpange
@JACQUESOpange 4 дня назад
Kweli wewe ndachs nimwalimu.yesu ninjia yakweli nauzima.ubarikiwe.
@user-wb2yr2kh3v
@user-wb2yr2kh3v 4 дня назад
Kidumbaki kitamuuu jmn❤❤😂
@user-wd9jt4tl9x
@user-wd9jt4tl9x 4 дня назад
Mashallah❤
@DanielSaketa
@DanielSaketa 5 дней назад
Amina
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 6 дней назад
Ndacha unajichosha kubishana na wachawi...huyo Sule hana udaktari wowote ni mganga wa kienyeji....mpiga ramli na anamiliki mashetani kibao.
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 6 дней назад
Nini ambacho huelewi wewe mganga Sule na misukule Yako!? Biblia ni neno na maana yake umepewa nini shida?
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 6 дней назад
Hao ni waswahili ndacha LAKINI hawakuwezi
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 6 дней назад
Hayo mtabishananayo Bure hayanaga akili maganga matupu😂
@MiraBoy-v6v
@MiraBoy-v6v 6 дней назад
❤❤
@jotafungo4622
@jotafungo4622 6 дней назад
Nyie mnaniacha hoi na maswali na majibu yenu😂😂😂
@ShamisYussuf
@ShamisYussuf 6 дней назад
Kasida imepata mafundi ndio maana ikawa imetisha mno
@user-fm9pv9et2w
@user-fm9pv9et2w 6 дней назад
Hii kasida madrasa gn
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 7 дней назад
🤲🤲🤲🤲
@allybin08
@allybin08 7 дней назад
❤❤❤ 😮😮😊
@bahatijsaha7298
@bahatijsaha7298 7 дней назад
Amiin
@UmmulJamilAli
@UmmulJamilAli 7 дней назад
The old is gold❤
@daudirobert6796
@daudirobert6796 7 дней назад
Shekhe nomaa uyuu
@ahmedathman1624
@ahmedathman1624 8 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂 Qaswida
@Jamilahjm-l3c
@Jamilahjm-l3c 9 дней назад
Mungu akulinde siku zote akupe nguvu ya kutufuza napenda mawaidha Yako
@user-pg3se6ge1z
@user-pg3se6ge1z 9 дней назад
Doctor sule Allah akuzidishiye
@GeboGebo-c5v
@GeboGebo-c5v 9 дней назад
Mungu akulinde mtumishi wa mungu
@JosephNgwale-ip4ki
@JosephNgwale-ip4ki 9 дней назад
Mungu akubariki
@JosephNgwale-ip4ki
@JosephNgwale-ip4ki 9 дней назад
Mungu ni muaminifu daima pastor unatoa elimu kubwa sana bila faida kwako maana hawaelewi chochote hao
@MapishiKujifunza
@MapishiKujifunza 9 дней назад
Mashallah
@daniellourencojaime
@daniellourencojaime 10 дней назад
NDASHA MUNGU AKULINDE
@Fidel-w6i
@Fidel-w6i 10 дней назад
😊😊
@AllyIssere
@AllyIssere 10 дней назад
Sijaona jibu sahihi kwamtushi shekhe sule ! Mungu akulipe kwa kher
@SmilingBlueMackerel-sl3xt
@SmilingBlueMackerel-sl3xt 10 дней назад
Tatizo waislaam sijui awaja soma Yani ukweli uko wazi lakini awaelewi na sule anauliza maswali yakitoto kabisa
@KizaIbrahim-h6f
@KizaIbrahim-h6f 10 дней назад
Ndacha Ubarikiwe
@KizaIbrahim-h6f
@KizaIbrahim-h6f 10 дней назад
Ndacha Ubarikiwe
@KizaIbrahim-h6f
@KizaIbrahim-h6f 10 дней назад
Mano yangu Vitumiwe vitabu 2 tu. Quoran inayo kubalika msikitini na waislam , Bíblia inayo kubalika kanisani na wakristo Maana Hakuna shehe anaye toa mawaidha msitini kutumia kitabu chá pasta mkorofi ao pasta anahubiri kanisani kutumia kutumia pasta mkorofi Hili Jina mkorofi si maana niukorofi huu
@elishashijashija8472
@elishashijashija8472 11 дней назад
Asante sana kwa Mhadhara huo
@HusnaRajabu-c8p
@HusnaRajabu-c8p 11 дней назад
Husna rajabu
@normayopis9631
@normayopis9631 11 дней назад
😮
@ZaynabSimai
@ZaynabSimai 12 дней назад
💓💓💓🍑🍑
@Nicholas-yr2sq
@Nicholas-yr2sq 12 дней назад
Sisemi kitu 😎
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 4 дня назад
Safiiiiii sanaaaa