Тёмный
AL FATAH TV ONLINE
AL FATAH TV ONLINE
AL FATAH TV ONLINE
Подписаться
Aslamaleykum Toa Maoni yako kuhusu Vipindi Vyetu
Je? Tunafikisha Ujumbe kwa asilimia ngapi?
HII NDIO SIRI YA UTUKUFU WA MPEMBA
14:30
7 часов назад
MIMI NI FUKARA WA KUPENDA (HUBBUL HALAL)
7:42
14 часов назад
WAZAZI WAVUTANA JUU YA MALEZI YA WATOTO
6:39
14 дней назад
JE, MITANDAO ITATUFIKISHA?
5:21
21 день назад
RC AYOUB AKALIWA KOONI NA WAWEKEZAJI
6:29
21 день назад
Комментарии
@user-ft7qb1wq8i
@user-ft7qb1wq8i 38 минут назад
wanasiasa wote lenu moja mkipata wote nafasi mnajali matumbo yenu tu na familia zenu .hamna lamaana
@AliKisesa-q4x
@AliKisesa-q4x 41 минуту назад
Duu
@user-ft7qb1wq8i
@user-ft7qb1wq8i 46 минут назад
maranyingi hikichama kama sio mzaliwa wa Pemba huthamniwi bora upumzike pole umejuaje kupumzika .
@user-ft7qb1wq8i
@user-ft7qb1wq8i 47 минут назад
h
@rashidomar2771
@rashidomar2771 59 минут назад
Hawa CCM hawa wallah wale wanzanzibar wazalendo hatuwezi kuwasahau,,hayo yaliyomkuta baba mzazi wa babu Juma yapo kila kona kwa wazanzibar ,,mtu atashanikia ccm kwa sababu tu tumbo lake au ni mgeni wa nchi hii,,
@AshuraVuai
@AshuraVuai Час назад
Hakika babu duni umekua babu lakin wewe ni babu mwerevu na sio babu mjinga mungu akulinde hakika wew ni babu wa Taifa
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 Час назад
sources; wakoloni, wameshindwa❤😂
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 2 часа назад
JUMUWIYA YA AKINA MAMA ACT MUMTAFUTIE ZAWADI MAALUM MAMA JUMA DUNI HAJI NA ZAWADI NZURI NI KUMKABIZI MSIKITI NA NYUMBA KATIKA ENE HILO HILO MOJA NI OMBI AKINA MAMA MUMUENZI MAMA MWENZENU NA MAMA YETU
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 2 часа назад
Mkataa kwao mtumwa pemba yetu tunaipenda na tunaitunza
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 2 часа назад
Hao sio madoctor ni makahaba tena wamelaaniwa mahasidi washenzi wakubwa,pole mama Allah atakusaidia
@SalumSokore
@SalumSokore 2 часа назад
Hii nasoro mazrui kaiona?
@MuhammadSaleh-su7hh
@MuhammadSaleh-su7hh 3 часа назад
Maneno mazito. ❤️
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 4 часа назад
Acheni unafki mwanasiasa halisi hastaafu siasa
@user-hh5ew8wb7d
@user-hh5ew8wb7d 4 часа назад
Mshamba ww
@ngwanzajohn2108
@ngwanzajohn2108 5 часов назад
Kila la kheri Babu Duni.
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 5 часов назад
We❤💯 babu duni daima tp nawewe mzalendo,mwenye hekima na busara, Allah akupe umri mrefu
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 5 часов назад
😂😂😂😂❤❤❤
@khalfanmohammed7594
@khalfanmohammed7594 5 часов назад
Allaah wape subra na shifaa juu ya huu mtihani
@SaidAbdala-f7p
@SaidAbdala-f7p 11 часов назад
Mapinduzi. Oyee Mungano oyee Eti mwarabu alikuwa anachukuwa watumwa😂😂😂 Haya sasa tunayona utawa wa nyerere. . Hapa zanzibar kama hatujaomba msamaha kuhusu mauwaji 1964. Basi visiwa hivi viko hatarini. Mujuwe tu yote haya ni muengereza na kanisa ndio walopanga kila kitu.
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 12 часов назад
Kiasi uichukie CCM
@bensonsamwel
@bensonsamwel 13 часов назад
Daah Mzeee huyu Anaongea Mambo mazito,kutoka moyoni .Mungu akutunze ❤
@robertphilip385
@robertphilip385 14 часов назад
Babu Duni pole sana
@StellaStella-z4e
@StellaStella-z4e 14 часов назад
Alhamdullilah
@deohank5995
@deohank5995 14 часов назад
Somo kubwa
@andrewassey5108
@andrewassey5108 15 часов назад
Babu Duni Mungu akubariki na akulinde na shetani muovu muuaji wa wananchi wasio na hatia. Ukweli wako umekuweka huru.
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 15 часов назад
Muwe pole Mung atawap wepesi
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 15 часов назад
pole san
@rashidsaid7823
@rashidsaid7823 15 часов назад
MAA SHAA ALLAH
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 15 часов назад
Duh! Powerfu
@IbrahimJuma-w5z
@IbrahimJuma-w5z 15 часов назад
Asnt babu tup pamoj
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f 16 часов назад
Hiyo nfio tabia ya wauguzinwengi hospitalin wachukuliwe hstua stahiki
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 16 часов назад
Asante babu Duni bado tupo pamoja na ww na Allah atatufikisha kwenye malengo tuliokusudia ya zanzibar yenye mamlaka kamili 👍
@mkushioriginalsillo5074
@mkushioriginalsillo5074 16 часов назад
Mzee umenena lakini ccm itawaingia?
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 16 часов назад
HUYO NDIO BABU DUNI mmemtupa mkebeba Omo sijui Safu . Njoo CUF nyumbani Babu Duni
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs 17 часов назад
Wewe sasa rudi Kwa MOLA wetu ndio lakukusaidi huo ndio ushauri wangu wa bure. Humondani hamna anaeweza kukusaidia.
@bukhanmohd456
@bukhanmohd456 17 часов назад
Kupigania kuiondosha CCM madarakani pia ni kaktika jihadi kubwa maana CCM imepania sote tufe makafiri... Pombe na zinaa ndio vitega uchumi vyao anaesema ukweli ndio adui yao na tusijizime data ukweli CCM ishatamka wazi hazarani kua haiwezi kuruhusu uislam utawale zanz.. vijana tuamkeni na tujitikezeni kuioinga CCM Kwa gharama zote
@SuolFat
@SuolFat 16 часов назад
Huna cha kuongea kaa kimya
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 16 часов назад
Sasa Juma kwani babu Duni kafanya nini kubwa hata arudi kwa mola wake na unajuaje km hayupo karibu na mola wake kisa yupo Act hebu weka hoja ya maana.
@salyali7807
@salyali7807 14 часов назад
​@@bukhanmohd456haya ndio nnayosema kila siku ... hii ni jihadi
@hillaseven1873
@hillaseven1873 13 часов назад
uhakika
@user-fo5my5pe3b
@user-fo5my5pe3b 18 часов назад
Hasidi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 18 часов назад
Huwezi kurudi huko miaka mingapi wamekutesa hao CCM leo urudi huko utapata laana
@allyzanzibar8983
@allyzanzibar8983 14 часов назад
😂😂😂😂😂 simchezo
@FatmaMohd-i5q
@FatmaMohd-i5q 19 часов назад
Pole sana dada , ndo walivo hata hv mm mwenyewe lilinikuta nimeingia kwenye chumba cha uchunguzi kuingia hata bado ile nashuka tuuu miguu haisimami natembea kwa magoti nikenda leba ananifukuza nitoke hapana nilipanda kitandani nikazaaa peke yng wakasikia mtoto analia ndo hee kumbe ashazaa voo wakabakia kuomba samahani nawaangalia nikamuomba ALLAH anipe subra
@user-hm5jl1kh2t
@user-hm5jl1kh2t 20 часов назад
Mabayaa kila sehem yapo chuki haitaacha kwishaa mpka kiama kisimame yote ni kwasabb ni matumbo tu
@w4058
@w4058 20 часов назад
Haa subutu Mama Samia na Mwinyi usitarajie ingekuwa celebrity sawa lakini maskini ya MMungu
@w4058
@w4058 20 часов назад
Haa subutu Mama Samia na Mwinyi usitarajie ingekuwa celebrity sawa lakini maskini ya MMungu
@w4058
@w4058 20 часов назад
Baada ya kuamka ukasali unaliaa mama aaa kilio hakisaidii kitu Allah atawasaidia
@ZubedaAbdallah-g2y
@ZubedaAbdallah-g2y 22 часа назад
Allah akbar
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r День назад
Roho. Mbaya. Allah. Atawapa. Na. Wao Bora. Haswaaa walivyo. Simamiswa. Somo Kwa. Wengine
@DonTwaha
@DonTwaha День назад
Wata rudishwa tu ao kesho kutwa
@RukayyaNassor-i9o
@RukayyaNassor-i9o День назад
Hao wakapike vitumbua wakauze barabarani tu hawafai kabsa kuajiriwa kwenye vitengo kama hivyo
@RukayyaNassor-i9o
@RukayyaNassor-i9o День назад
Msojijuwa njooni kwenye nchi za wenzetu wanavyonyenyekewa wagojwa
@IddiHajji
@IddiHajji День назад
Yaani mm pia yalikuta .naumia
@IssaMbaru-qw6ug
@IssaMbaru-qw6ug День назад
Allah akbar kwetu zito illah allah kwake nilidongo sanaa molla wetu
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp День назад
Hospitali inayojali na kusifiwa nispitali ya fuoni na kidogo madodoni jitimai
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp День назад
Laiti kama maisha yanarejesheka nyuma tungeomba wazee wetu walio pita warejeshwe kazini tatizokubwa madokta wakileo hawana adabu kwanza vitoto vidogo hakuna vinavo jali hata kimoja zeni elimi walizo nazo sio zakwako ndo mana hawana uchungu na fani zao