Maa shaa Allah, ❤huyu bibi mafunzo yake wallahi kama ya bibi yangu, natokea kenya 🇰🇪ila nilichogundua mafunzo waliyokuwa wakipewa mazee wetu yalifanana kote, nimefurahi kumskia na amenikumbusha mengi nliyofunzwa na bibi yangu 🎉Allahumma baarik al fatah na mungu atupe tawfiq sisi ambao hatujaingia kwenye ndoa tukishaingia tuyafuate mafunzo tunayopewa amin