@@alexiahospital1739 umesema hayo ya kuweka mojakwamoja yapo material aina mbili vp bei yake itakuwa moja pia .na vp je?ukishaweka kunakuwa na cliniki ya kubadilisha baada ya mda flan:au ukishaweka ndo bas hayatakusumbua wala.kumuona docter tena msaada tafadahli
@@alexiahospital1739 duuh sipajui aiseh Mimi nipo kimara ninamtoto wangu anaweek mbili tangu azaliwe Ila naona macho yake yana unjano kwambali je naweza kuja kupata huduma yakuwekwa kwenye mwanga au niendlee kumpa maziwa kwa mda