@@alexiahospital1739 umesema hayo ya kuweka mojakwamoja yapo material aina mbili vp bei yake itakuwa moja pia .na vp je?ukishaweka kunakuwa na cliniki ya kubadilisha baada ya mda flan:au ukishaweka ndo bas hayatakusumbua wala.kumuona docter tena msaada tafadahli