Тёмный
Tikibongo Tv
Tikibongo Tv
Tikibongo Tv
Подписаться
Комментарии
@Kautharkabanga
@Kautharkabanga Месяц назад
You made it
@user-nv4wv2oz1w
@user-nv4wv2oz1w Месяц назад
Wewe unasema huoni chakucheka unauelewa madogo yule anahitaji akili nyingi
@StephanoMofuga
@StephanoMofuga 2 месяца назад
Ni 😂😂😂😂😂😅😅Fireeee
@user-uj6bg7dp7j
@user-uj6bg7dp7j 2 месяца назад
big up
@jackobochisumo6614
@jackobochisumo6614 2 месяца назад
Kazi nzuri nakukubali sana wa ukerewe
@SimonMengi
@SimonMengi 2 месяца назад
😮😮😮
@kassimkipande1858
@kassimkipande1858 2 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 2 месяца назад
😂😂😂
@JeanLunda-nv5fd
@JeanLunda-nv5fd 2 месяца назад
Mbona Kali sana 😅😅😅😅
@josephlukenza3261
@josephlukenza3261 3 месяца назад
Kwan nyinyi kwahapo hamjaerewa nn anaerimisha. mulishawah kusoma biology kwer nyinyi kama .unasema hayo. nimatusi hyo ameelimisha mbona
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 3 месяца назад
😀😀
@mahungujulius1788
@mahungujulius1788 3 месяца назад
Your so Good man Congratulations to you
@andrewkimweli6726
@andrewkimweli6726 3 месяца назад
😂😂😂😂💀
@AnoldNyombwe
@AnoldNyombwe 3 месяца назад
Mwamba anajua
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 3 месяца назад
Wewe uone wewe nani! Inawezekana wewe mwenyewe unamapungufu 😂😂😂😂😂😂
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 3 месяца назад
😅😅😅😅Aisee nimecheka saan mlimuona kama zuzu😂😂
@abdulikibembi
@abdulikibembi 3 месяца назад
sio uwoni cha kuchekesha ujamuolewa
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 3 месяца назад
Yaan matusi watu ndo wanashangilia duh hii tanzania bhana
@SamSon-wd2ri
@SamSon-wd2ri 3 месяца назад
hapo kafeli nae
@bigboys016
@bigboys016 3 месяца назад
Una stress
@mwasitimajid
@mwasitimajid 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 3 месяца назад
Nanikaona piss nyuma ya waheshiwa?
@maase2023
@maase2023 3 месяца назад
Internet hatuna nape anashughulika na vichekesho dah mtihani huu
@MudiMudi-fw7jq
@MudiMudi-fw7jq 3 месяца назад
Wajinga ndio wanaopendwa
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 месяца назад
Ni watu wa hovyo, watu wanatukana anapigiwa makofi
@baloziwairamba7945
@baloziwairamba7945 3 месяца назад
Tafuta hela wewe Acha makasiriko
@Fredneves-97
@Fredneves-97 3 месяца назад
Watu wa hovyoooo wa we kuweza Acha uboya
@FarmChoiceLtd
@FarmChoiceLtd 3 месяца назад
Mgeni Lasmi
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 3 месяца назад
Hadhira iliyopo mbele ndio haielewi kwasababu ya heshima walionayo kwa jamii ndio mana hawacheki matusi
@user-nn6vc2ub5m
@user-nn6vc2ub5m 3 месяца назад
unaupga mwing
@user-lf9vt4om6c
@user-lf9vt4om6c 3 месяца назад
Kama wew ulivoangalia nichizi pia😮
@simonluvisha
@simonluvisha 3 месяца назад
😂❤🎉 nimesima hicho chuo
@Jmsafwatu
@Jmsafwatu 3 месяца назад
Yaaan
@Jmsafwatu
@Jmsafwatu 20 дней назад
Noah Moshi
@BaloziKiliwale
@BaloziKiliwale 3 месяца назад
Big up sana dogo
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 3 месяца назад
Eti ndo furaha hiyo! Mitusi
@miso-bg2xl
@miso-bg2xl 3 месяца назад
Kazngua
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 3 месяца назад
Mie pale pa kondeboy na instagram 😂😂😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
Ifike sehemu commed itumike kuelisha watu comedian mumepewa fursa kubwa sana ya kusikilizwa na viongozi tumieni hii platform vizur, kama afanyavyo trevor noah ,someni nyakati na mtenge muda wa kufatilia mada ambazo ni update
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
Munatakiwa kufanya revolution kama Diamond alivyo fanya kwene mziki wake vinginevyo mtaendela kupiga marktime huyu Dulla alikuja vizuri sana na watu wakampokea sasa sijui ameaza kujisahau
@abasilihundu200
@abasilihundu200 3 месяца назад
Punguza makasiriko, lengo la Cheka tu ni kufurahisha watu wafurahi wacheke sasa kama wewe unataka uelimike kupitia Cheka tu unajidanganya. Hapa hatupo kwa lengo hilo tafuta sehemu nyingne ya kuelimika.
@ramadhaniamiri5939
@ramadhaniamiri5939 3 месяца назад
​@@kwisa4899Kaka ichokipaji wanachokifanya hao ni kikubwa Sanaa ndiomaana Cheka Tu imewaamini Kama unawafatilia vizuri ndio utajua wapi walipo Tokea so hapo watu wapo kwaajili ya kucheka tu na sio kupata ELIMU huyo DIAMOND Wako kunawakati Izonyimbozake hatupati ELIMU yoyotee ni Matusi tuu so Acha Makasiliko Broooo😅😅
@user-rd8xi7oo6s
@user-rd8xi7oo6s 3 месяца назад
Nd maan ikaitwa cheka 2,kam kuelimish co kiac kikubwa
@DicksonMsenga-sh2kb
@DicksonMsenga-sh2kb 3 месяца назад
Hiyo ni sehem ya kuchekesha sio kuelimisha
@hussenihamisi2862
@hussenihamisi2862 3 месяца назад
Mim niaona hakuna kitu chochote alichokifanya cha kuchekesha naona kama story2 hapa kazingua hamna kitu hapo
@bimbimdaakitomara932
@bimbimdaakitomara932 3 месяца назад
😁😁😁ww unaasiraa
@dr.elimikatv1919
@dr.elimikatv1919 3 месяца назад
Kafanye na ww kam kuna atacheka hata mmoja
@GasperDanielkulaya-jf7ct
@GasperDanielkulaya-jf7ct 3 месяца назад
Mwamba uyo🤣
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Yn leonardo kwa stand up uachiwe😂😂😂
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 3 месяца назад
hii ilikuwa free style
@MNexNexI
@MNexNexI 3 месяца назад
Good
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 3 месяца назад
Hii ya leo sio kiviiiiiiiiiiiiiile
@ElderLeiderman
@ElderLeiderman 3 месяца назад
We have a lot of rain in June.
@ElderLeiderman
@ElderLeiderman 3 месяца назад
We have a lot of rain in June.
@meshackmbilinyi6196
@meshackmbilinyi6196 3 месяца назад
🎉🎉🎉 💥
@petercostakisoka
@petercostakisoka 3 месяца назад
Daah uyu anajuaa
@DEOMnyukwa
@DEOMnyukwa 3 месяца назад
Best comedian
@QurannaSunnah
@QurannaSunnah 3 месяца назад
Shida Anarudia Condent sana Na hii ndio tofauti ya Eliudi na Huyu mwamba
@user-yl2jt3ve9o
@user-yl2jt3ve9o 3 месяца назад
Wote wako vizuri ktk Kila mmoja na upekee wake
@alakhy9448
@alakhy9448 3 месяца назад
Ni kweli na hiyo ni kwa sababu hawapo serious na kazi ya comedy. KAMA COMEDIAN inabidi uumize kichwa hata usiku unaamka unawaza nitachekesha vipi kwa audience inayoenda kunisikiliza siku fulani. Lakin pia mchekeshaji lazima ajue vitu vingi saaana ikiwezekana kila eneo alijue kwa undani ili hata akitengeneza content awe na uwezo wa kuwaus kila jamii ya wau.
@Josephkp629
@Josephkp629 3 месяца назад
😂😂😂