Тёмный

Vituko vya Lonardo alivyoanza na mkwara wa ajabu, na kumzalilisha harmonize 

Tikibongo Tv
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 212 тыс.
50% 1

Moja kati ya wachekeshaji waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu ni pamoja na leonardo

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@jackobochisumo6614
@jackobochisumo6614 3 месяца назад
Kazi nzuri nakukubali sana wa ukerewe
@mahungujulius1788
@mahungujulius1788 4 месяца назад
Your so Good man Congratulations to you
@Johnolaizeri
@Johnolaizeri 5 месяцев назад
Nakukubali san mwamba
@kwisa4899
@kwisa4899 5 месяцев назад
Duh 4 tena ,mbona kama kasemwa kiongozi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 месяцев назад
Yn leonardo kwa stand up uachiwe😂😂😂
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 4 месяца назад
Wewe uone wewe nani! Inawezekana wewe mwenyewe unamapungufu 😂😂😂😂😂😂
@JeanLunda-nv5fd
@JeanLunda-nv5fd 4 месяца назад
Mbona Kali sana 😅😅😅😅
@Kautharkabanga
@Kautharkabanga 2 месяца назад
You made it
@petercostakisoka
@petercostakisoka 5 месяцев назад
Daah uyu anajuaa
@DEOMnyukwa
@DEOMnyukwa 5 месяцев назад
Best comedian
@AnesyKakwezi
@AnesyKakwezi 5 месяцев назад
Hv cm yangu ndo mbovu au make kila nikiplya hz cheka tu za juzi sauti kisoda.. jmn 😢😢
@mr.nonino3629
@mr.nonino3629 5 месяцев назад
tazama kwenye azam max, hapa Zimezuiliwa sauti kwakuwa nimali ya chekatu.
@athumansaidi7663
@athumansaidi7663 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 месяцев назад
😂😂😂
@Richmond909
@Richmond909 4 месяца назад
Pole
@iconlyx2724
@iconlyx2724 5 месяцев назад
Kama shabiki wa Leonardo, hapa hakumake sense kwa chochote.
@StephanoMofuga
@StephanoMofuga 3 месяца назад
Ni 😂😂😂😂😂😅😅Fireeee
@BaloziKiliwale
@BaloziKiliwale 5 месяцев назад
Big up sana dogo
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 5 месяцев назад
😂😂 Leonardo mtu na nusu
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 5 месяцев назад
hii ilikuwa free style
@Luiz6-h6i
@Luiz6-h6i 5 месяцев назад
Konde na shemegi yetu wanafrah tuu
@emotionwallssimulizi
@emotionwallssimulizi 5 месяцев назад
sauti umexport ktk mono kk inasikika sikio la kushoto
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 5 месяцев назад
Mie pale pa kondeboy na instagram 😂😂😂😂
@snipper4462
@snipper4462 5 месяцев назад
Big up man
@MNexNexI
@MNexNexI 5 месяцев назад
Good
@kassimkipande1858
@kassimkipande1858 4 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@HiziniSimuliziFupi
@HiziniSimuliziFupi 5 месяцев назад
Shida Anarudia Condent sana Na hii ndio tofauti ya Eliudi na Huyu mwamba
@MaligaSamwel
@MaligaSamwel 5 месяцев назад
Wote wako vizuri ktk Kila mmoja na upekee wake
@alakhy9448
@alakhy9448 5 месяцев назад
Ni kweli na hiyo ni kwa sababu hawapo serious na kazi ya comedy. KAMA COMEDIAN inabidi uumize kichwa hata usiku unaamka unawaza nitachekesha vipi kwa audience inayoenda kunisikiliza siku fulani. Lakin pia mchekeshaji lazima ajue vitu vingi saaana ikiwezekana kila eneo alijue kwa undani ili hata akitengeneza content awe na uwezo wa kuwaus kila jamii ya wau.
@abdulikibembi
@abdulikibembi 5 месяцев назад
sio uwoni cha kuchekesha ujamuolewa
@maase2023
@maase2023 5 месяцев назад
Internet hatuna nape anashughulika na vichekesho dah mtihani huu
@ADABETHFUNGAMWANGO
@ADABETHFUNGAMWANGO 2 месяца назад
Wewe unasema huoni chakucheka unauelewa madogo yule anahitaji akili nyingi
@SimonMengi
@SimonMengi 3 месяца назад
😮😮😮
@issakisalu9237
@issakisalu9237 5 месяцев назад
Leo hakuna kitu bro alafu sijui inakuwaje siku ambazo hutegemei ndio inakuwa hivyo
@MwajumaShabani-n1s
@MwajumaShabani-n1s 5 месяцев назад
Kama wew ulivoangalia nichizi pia😮
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 5 месяцев назад
Hii ya leo sio kiviiiiiiiiiiiiiile
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 5 месяцев назад
Nanikaona piss nyuma ya waheshiwa?
@meshackmbilinyi6196
@meshackmbilinyi6196 5 месяцев назад
🎉🎉🎉 💥
@SamSon-wd2ri
@SamSon-wd2ri 5 месяцев назад
hapo kafeli nae
@hussenihamisi2862
@hussenihamisi2862 5 месяцев назад
Mim niaona hakuna kitu chochote alichokifanya cha kuchekesha naona kama story2 hapa kazingua hamna kitu hapo
@bimbimdaakitomara932
@bimbimdaakitomara932 5 месяцев назад
😁😁😁ww unaasiraa
@dr.elimikatv1919
@dr.elimikatv1919 5 месяцев назад
Kafanye na ww kam kuna atacheka hata mmoja
@AnoldNyombwe
@AnoldNyombwe 4 месяца назад
Mwamba anajua
@miso-bg2xl
@miso-bg2xl 5 месяцев назад
Kazngua
@Josephkp629
@Josephkp629 5 месяцев назад
😂😂😂
@stevejohansen6246
@stevejohansen6246 5 месяцев назад
Itifaki imezingatiwa
@ALOYCEKULWA-u7x
@ALOYCEKULWA-u7x 5 месяцев назад
unaupga mwing
@YohanaemchomvuMchomvu
@YohanaemchomvuMchomvu 5 месяцев назад
Mimi Sioni chakuchekesha hapo huyo jamaa ni chizi na wote walio msikiliza ni matahira
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 5 месяцев назад
Limekushuka
@CreatureIey-eh8nh
@CreatureIey-eh8nh 5 месяцев назад
We nd akil umezikalia
@AyubuMshanii
@AyubuMshanii 5 месяцев назад
Usiwe hivy mwenzio yup kazn
@happynkya9770
@happynkya9770 5 месяцев назад
weee ndo chizi
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 5 месяцев назад
Mbona hasiraa? Tujifunze kutakiana mema,
@callicevallice7383
@callicevallice7383 5 месяцев назад
😂😂😂kakosea sana
@mohamedmussa7121
@mohamedmussa7121 5 месяцев назад
Ilaa anajitahid sanaaa
@bigboys016
@bigboys016 5 месяцев назад
Una stress
Далее
DAKIKA 5 ZA MC ELIUD (UTACHEKA)
5:21
Просмотров 662 тыс.
Leonardo alivyotisha ktk fainali ya cheka tu
6:21
Просмотров 1,3 млн
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
ROASTING NDARO(MAPENZI) VS LEONARDO( POMBE)
12:28
Просмотров 462 тыс.
JAMAA ANACHEKESHA SANAA
7:24
Просмотров 103 тыс.