Тёмный
Maisha Ya Ulaya
Maisha Ya Ulaya
Maisha Ya Ulaya
Подписаться
Hi Everyone,

Mimi ni mwafrika naishi ulaya . Natoa information kwa wale wenye ndoto ya kuja ulaya kusoma na kufanya kazi. Pia naonyesha sehemu na miji tofauti ya ulaya.




Thank you for supporting me.

Hii Ndiyo Zurich Switzerland
9:43
21 день назад
Kisiwa Menorca Spain PART I
6:54
2 месяца назад
Fursa Ya Kazi Ulaya Luxembourg
23:24
2 месяца назад
Fursa Za Kazi Ulaya Ubelgiji
21:55
2 месяца назад
Maisha Ya Ulaya - Amia Ulaya Kama Mwanafunzi
15:54
3 месяца назад
Taratibu Rahisi Za Kuja Ulaya
10:07
3 месяца назад
Maisha Ya Ulaya - Siku Ya Kazi
5:51
4 месяца назад
Maisha Ya Ulaya - Pasaka Ulaya Ndo Hii
8:38
5 месяцев назад
Комментарии
@samsonmkandawile767
@samsonmkandawile767 37 минут назад
Mbona hujibu emails?
@WestMunis
@WestMunis 39 минут назад
😂Tunashukuru Kwa information
@emachrissdalah8602
@emachrissdalah8602 Час назад
Asante kwa taarifa dada,pole ungepunguza speed ya kutembea ili usiwe unahema sana😊
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 часа назад
❤❤❤Kazi njema asnte
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh 4 часа назад
Usijali dd tuko pamaja 🥰🥰👍
@gracemmari4804
@gracemmari4804 4 часа назад
Yaniii kujitusua itakua ngumu
@ibrahimgicheru-ee2in
@ibrahimgicheru-ee2in 4 часа назад
Ah,mrembo,c unambamba,unaelemisha wandau
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh 5 часов назад
Asante sana dada kwa Taf ❤❤❤mungu akupe maisha marefu 🎉🎉🎉
@lizychellahkawiti6297
@lizychellahkawiti6297 5 часов назад
Thanks for the information. Tunaomba utusaidie pia steps za kuapply unskilled jobs. Thanks in advance
@davidshaban7375
@davidshaban7375 6 часов назад
Yaaani wanaweka kwenye database kila information uliyonayo then inakuwa ngumu kuweza kufanya uhuni, hapa Kikubwa ni kuwa straight forward na mambo ili usiingine kwenye 18 zao.
@davidshaban7375
@davidshaban7375 6 часов назад
🎉🎉🎉
@DenilsonSebastian
@DenilsonSebastian 6 часов назад
Ahsante dada kwaio kuja na visiting visa alafu u change kua working visa itakua ngumu hiyo system ikianza
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 часов назад
Asante kwa information nzuri Duuh wanazid kutubana sema kuzamia kupo palepale tunabuni mbinu na sisi
@PriscaKihiyo
@PriscaKihiyo 7 часов назад
Asanteee sanaaa dada yangu MUNGU akubariki sanaaaa
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 7 часов назад
Ahsante dada kwa taarifa
@ndabarushimananuru7112
@ndabarushimananuru7112 7 часов назад
Hello, ninzuri ila nina swali moja tuu. Ela ina agizwa vipi ? How can i deposit the money to my account or to them????
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 11 часов назад
One love dada❤
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 16 часов назад
Nataka kuja kufanya kazi so nafikaje sasa tunawasiliana vip ndugu
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 17 часов назад
❤❤❤
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 17 часов назад
❤❤❤
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 18 часов назад
New subscribe. Dada nimekuelewa saaaana keep moving 👊. Hizi namba ni uhakika? Yaani hakuna mambo ya scammer?
@philipkombochrispinus2540
@philipkombochrispinus2540 22 часа назад
Video Safi sanaaaa
@philipkombochrispinus2540
@philipkombochrispinus2540 22 часа назад
Dada uko vizuri Sana Kwa kweli umetufungua pakubwaaa
@user-hr7pk7wh5e
@user-hr7pk7wh5e День назад
Habari yako. Naomba namba yako tuwasiliane vizuri. Shukran.
@petersendama5535
@petersendama5535 День назад
Nmependa unavoitamka hyo luxembourg
@user-lb8vr6et7r
@user-lb8vr6et7r День назад
Dada nshakuangalia cna ila nahitaj unarekebishe k2 tuwaciliane
@user-lb8vr6et7r
@user-lb8vr6et7r День назад
Samahani naweza kupata mawasiliano tuwasiliane
@ClementTarasisi
@ClementTarasisi День назад
Uko wasp hizo namba zako
@Hawamoshi-j7r
@Hawamoshi-j7r День назад
Mambo dada mm nakomba namba yako tuwasiriyane nakuomba tafazari sama
@MaishaYaUlaya
@MaishaYaUlaya День назад
@@Hawamoshi-j7r nitumie meseji ulayalive@gmail.com
@Hawamoshi-j7r
@Hawamoshi-j7r День назад
Dada nakuomba namba yako
@IpyanaSolomon
@IpyanaSolomon День назад
Dada asante kwa kunijuza, truck driver hapa,Jin's ya kufika huko ndo kipengele
@MaishaYaUlaya
@MaishaYaUlaya День назад
@@IpyanaSolomon ndo ujaribu njia tofauti
@tanzanianboy2979
@tanzanianboy2979 2 дня назад
Sister nipo interested na hiyo fursa can u help me
@blandinamrusha-pj2ro
@blandinamrusha-pj2ro 2 дня назад
Hi my dear hiz number hazipo what's app ni za kupiga kwa simu ya mezani ? nimeweka kwa what's app hazikubali nipo Tz
@rebeccajaphet6032
@rebeccajaphet6032 2 дня назад
Mambo dear kwani kupata work visa ni sh ngapi
@MaishaYaUlaya
@MaishaYaUlaya День назад
@@rebeccajaphet6032 work visa dollar 90 yaani sio nyingi
@eriiyaan
@eriiyaan 2 дня назад
Keep pushing big sister
@YusuphMdaki
@YusuphMdaki 2 дня назад
Hivi cc tuko ulimwenhu wa ngapi au tuko nyuma ya wakati?¿??? Mhmm Tanzania yetu tupate viongozi wenye maoni ya kututoa kwenye umasikini Mungu katupa Kila kitu ila wachache wanafaidi
@teresiamathias8636
@teresiamathias8636 2 дня назад
❤🎉
@REUBENDICKI-k4c
@REUBENDICKI-k4c 2 дня назад
Dada anaomba namba yako iltuendelee kuwasiliana nammi nifike huko ilaya
@user-ic7qf8fl9x
@user-ic7qf8fl9x 2 дня назад
Hongera kwakazi nzuri dada naomba namba kwa maongezi binafsi dada plz
@kevinmushi8209
@kevinmushi8209 2 дня назад
Kazi nzuri dada etu Sujui kama Tanzania tuta fikiaga uko,yani ukapende tu daladala shwaaaa 😂
@derimkongwa5965
@derimkongwa5965 3 дня назад
Ongea vizuri naww luxemburiiii ndio nn alafu uko ubelgiji sio ulaya nzima. Nmekurekebisha tu usichukie
@trueone_tz
@trueone_tz 3 дня назад
Big up sister ❤
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 3 дня назад
Asantee tumejua Sasa..
@mcrodgerkenya1371
@mcrodgerkenya1371 3 дня назад
Wow l like that
@RahmaAmour-i4e
@RahmaAmour-i4e 3 дня назад
NAomba namba za hao maajent
@mmbondofilm6229
@mmbondofilm6229 3 дня назад
Naomba niulize sasa nawezaje kufika apo moja kwa moja na wakati nitapita kwenye nchi zingine jalibu kutuelewesha apo maana njia ipoje nawezaje kufika apo moja kwa moja
@yonastembela3363
@yonastembela3363 4 дня назад
Tupe madili namnayakuomba nawapi kampuni
@NIMBONASada-nn9mr
@NIMBONASada-nn9mr 4 дня назад
Kama bado upo Luxembourg tuonane ili unielekeze ayo unayo yasema maana nipo apa muda mrefu sana ila sijayaona
@VinKin-x8m
@VinKin-x8m 4 дня назад
Unachkisema ni kweli dada angu mimi nliomba kazi Luxembourg nikapata kwa kutumia websites kam sikosei inaitwa oster ila sikufikiwa cz passport sina ila uko ukiomba kazi unapata kwel
@valence7377
@valence7377 3 дня назад
Habari boss ulitumia website gan kuombea maana wengi wao wanadai kuwa mpaka uwe uko
@georgekabaka377
@georgekabaka377 4 дня назад
Wapi walipoandika Visa sponshorship kwenye hilo tangazo?? au zote ni visa sponsored job hata kama hawajaandika??