Hi all,
Hongera kwa mshindi wetu wa pili wa EUR 50, Nitumie information zako. Asanteni kwa wote mlioshiriki,msife moyo endelea kusupport channel tutatangaza tena give away nyingine.
Kwa wale waliokuwa na maswali ya kuja ulaya kama wakimbizi - please make sure unasikiriza hii video hadi mwisho. Kama unaswali acha kwenye comment section.
Please endeleni kunisupport, asanteni sana
#kiswahili #tanzania #ulaya #kenya #diamondplatnumz #swahili #zuchu #kiswahili ##uganda #rwandaupdate #viral #waswahili #watanzania #eastafrica #ukimbizi #daressalaam #zanzibar
23 авг 2024