Тёмный
BADO KUNA USHINDI TV
BADO KUNA USHINDI TV
BADO KUNA USHINDI TV
Подписаться
Channel ya BADO KUNAUSHINDI TV, ni channel ya Kikristo inayohubiri injili, kufundisha mafundisho na kutoa shuhuda za kweli za matendo ya Mungu, Channel hii inamilikiwa na kanisa la TALITHA CUMI lililopo Dodoma jijini - Tanzania.

Kanisa la Talitha Cumi linaongozwa kwa misingi ya BIBLIA, kwa kuitii na kuifuata kama kiongozi cha kazi zote za kiroho na kimwili. Channel hii itarusha mahubiri, maombi na maombezi, mafundisho, na shuhuda za kuelimisha na kuinua imani, pamoja na kuleta mada zenye kuhitaji ufafanuzi. Pia kutakuwa na maswali, na mahojiano maalumu yenye lengo la kujenga na kuelimisha kiimani.

Tunakaribisha watu wote kusikiliza, kushauri, kiustaarabu na kwa staha.
UNAWEZA KUTUWEZESHA KWA KUTUMA SADAKA YAKO KWA Mawasiliano piga +255(0)629 920 640 au +255(0)718 600 557.
Комментарии
@JudithModestus
@JudithModestus 7 часов назад
Amina Mamy,,,,
@JudithModestus
@JudithModestus 7 часов назад
Amina
@charlesmwangi4192
@charlesmwangi4192 9 часов назад
Kenya kumemwagwa manabii wa uongo
@AsiaMurekatete-sb4hm
@AsiaMurekatete-sb4hm 13 часов назад
Amen 🙏
@rosemary3816
@rosemary3816 15 часов назад
Amena Asante mama kwa ujumbe mzuri
@rerisamba
@rerisamba 18 часов назад
Hixi siri zote ni ukweli kakutuma Yesu sio akili yako
@victoramnonivictoramnoni1241
@victoramnonivictoramnoni1241 19 часов назад
Mama kanisa liko wapi
@rerisamba
@rerisamba 19 часов назад
Kuna mama wa mahimahiyu wakati wa mafuriko ya mwezi wa 4 aljipata kuzimu lakini Yesu akamsaidia na Yesu alimuuliza nini hiki kiko kichwani akambie sipendi akaanza kulia kweli Mungu akamuhurumia akarudi naalipo rudi alikua uchi lakini hakujiona uchi alikua anasema nipeni makasi nipeni makasi
@AnaMauricioPatricio
@AnaMauricioPatricio День назад
Amém
@carendeborah5687
@carendeborah5687 День назад
Yangu nikaeka chemical ,ilibidi ninyoe sikuwa na amani hata kidogo ,vipuli nikajaribu kuvaa wapi,sijihisi mimi ,nikarusha kwenye taka.
@user-gc8vb3gv8c
@user-gc8vb3gv8c День назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@Kenneth-ju3mj
@Kenneth-ju3mj 2 дня назад
Naomba nisaidie mtumishi kwa maombi ajili ya nafsi na nyota ulivyo hubiri siko salama najua pia sio ajali kukutana na wewe sehemu hii nasumbuliwa na wafanyibiashara na wachawi. :
@jannefidelis1364
@jannefidelis1364 2 дня назад
Amina
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 2 дня назад
Mapambo na mavazi yatawafaya wasiingie binguni
@alinependo-bk4jj
@alinependo-bk4jj 2 дня назад
Tutaingia WhatsApp kwenye group
@frederikomanirakiza6922
@frederikomanirakiza6922 2 дня назад
Amen mubarikiwe❤❤
@magdalenakabahinya5650
@magdalenakabahinya5650 3 дня назад
AMEN AND AMEN KUBWA
@RoseNdashau
@RoseNdashau 3 дня назад
Tumebalikiwa sana na neno la Leo Mungu akubaliki sana mtimishi
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 3 дня назад
Njia sahihi ya kumwona Mungu na kumshinda shetani ni UPENDANO WA NDUGU Maana sisi sote ni ndugu kutoka kwa Adamu na Hawa nje ya hapo ni ujinga na utumishi wa shetani Upendo ndio njia sahihi ya kumwona Mungu wa kweli.
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 3 дня назад
Shetani ni roho hukaa kwenye maneno imani huja kwa kusikia, aidha maneno ya UONGO kama huo wakwako pia Roho mtakatifu huja kwa Neno la kristo, acha kudanganya, jifunze kwa mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme wa Mungu.
@user-hf7vg1rs4f
@user-hf7vg1rs4f 3 дня назад
Amen 🙏
@user-un2td1no5f
@user-un2td1no5f 3 дня назад
Yaani umeongea kweli tupu
@user-zt4mo7ku4n
@user-zt4mo7ku4n 4 дня назад
Mtumishi bw asifiwe nk hapa bado,?
@WinfridaMlula-fo7ch
@WinfridaMlula-fo7ch 4 дня назад
nilikuwa kondoo niliyepotea nilikuwa sijielewi, sijitambui Lakini kwa mafundisho yako baba, nikaaza kujitambua na kujifunza vingi sanaaa
@WinfridaMlula-fo7ch
@WinfridaMlula-fo7ch 4 дня назад
Amina mtumishi wamungu
@MuthangyaNguthu
@MuthangyaNguthu 5 дней назад
Amen
@graceQuneen
@graceQuneen 5 дней назад
Amen haleluya
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 5 дней назад
Mungu anatupenda kwakweli
@christinemokaya5672
@christinemokaya5672 5 дней назад
Naomba link ya kujoin Whatsapp
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 6 дней назад
Naomba link ni join group kwa Whatsapp
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 6 дней назад
Amen
@andy-aurygiriteka1262
@andy-aurygiriteka1262 6 дней назад
Amen Amen !! Mungu awabariki sana mtumishi wa Mungu
@mercycharlesmsiagi1756
@mercycharlesmsiagi1756 6 дней назад
Naombeni link ya wsap
@pastoreliya663
@pastoreliya663 6 дней назад
Amina
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 дней назад
Halleluya halleluya halleluya
@agneskamene-x5k
@agneskamene-x5k 6 дней назад
Cizen New of Nairobi
@agneskamene-x5k
@agneskamene-x5k 6 дней назад
Cizen New of Nairobi.
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 6 дней назад
Hii ni kwel kabsa maana kuna watu hawatoki nyumbani mwao bila kuweka hayo matakataka wanayoyaita urembo
@JofryDaud-kc2du
@JofryDaud-kc2du 7 дней назад
Unabii wausu ukato liki
@JuliethMagele
@JuliethMagele 7 дней назад
Amina Amina mama
@Upendo6405
@Upendo6405 8 дней назад
Mimi upendo Nimetoa mimba 7 Nimezini nawanaume 72 Niliiba pesa kwamama niliiba pesa kwenye manyumba masaluni niliiba nguo viatu mawigi mapambo Nilitoa sadaka zakuku 5 kwa mtoto wangu wakwanza Nimejitolea sadaka ya pesa matunda nguo kuku 3 soda na pombe Nimevuta bangi sigala nimekuwa mlevi wapombe nimevuta shisha Nilikuwa muongo msengenyaji nimefanya mapenzi kwakutumia mdomo nimefanya kinyume na maumbile Nimeina nyama Nimepiga punyeto nimetizama picha zangono naomba muongozo wa toba mtumishi
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 8 дней назад
Ubarikiwe mtumishi
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 8 дней назад
Amen amen
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 8 дней назад
Mungu nisaidie mimi, maana haya nimeyaona kwangu.
@andy-aurygiriteka1262
@andy-aurygiriteka1262 8 дней назад
Hallelujah !! Amen
@LylianeBaumaLyly
@LylianeBaumaLyly 8 дней назад
Kweli mutumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaa nausiasha kutuambeye Mama
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 8 дней назад
UJUMBE MZURI SANA
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 8 дней назад
Halleluya Halleluya Halleluya
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 9 дней назад
Naomba namba ya Nabii esther masanja
@PENINASTEPHANE
@PENINASTEPHANE 9 дней назад
Barikiwa mtumishi mungu akuinue Kwa viwango vya ameeeeeen ashukuriwe Mngu afanyaye haya
@user-hf7vg1rs4f
@user-hf7vg1rs4f 9 дней назад
Amen amen 🙌