Тёмный
No video :(

KWANINI MAFARAKANO HAYAHISHI KATIKA NDOA NYINGI |NABII ESTHER MASANJA 

BADO KUNA USHINDI TV
Подписаться 3,3 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

BADO KUNA USHINDI TV NI TV YA MTANDAONI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YENYE KUJENGA NA KUINUA IMANI YA KIKRISTO KUHUSU MUNGU WA KWELI YEHOVA. INARUSHA SEMINA, MIKUTANO YA INJILI, SHUHUDA ZENYE KUJENGA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZA MAISHA YA MASHUJAA WA IMANI.
UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE NA ILI KUBORESHA HUDUMA HII UNAWEZA KUCHANGIA AU KUTUMA SADAKA YAKO. KWA NAMBA +255 718 600 557, + 255 629 920 640. PIA NAMBA HIZI UNAWEZA KUZITUMIA KWA MAWASILIANO. JINA LITAKALO TOKEA UKITUMA SADAKA YAKO NI DANIEL ANTHONY KITUA. UBARIKIWE

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 16 дней назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa kusema kweli Bwana Yesu tusaidie kubadirika Ili tuwe nuru Kwa watu
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 16 дней назад
Mungu tusaidie peke yetu hatuwezi
@JosephatMollel-fe7yd
@JosephatMollel-fe7yd 20 дней назад
Bwana na azidi kukuinua Mtu wa Mungu
@LincyNandalo
@LincyNandalo 24 дня назад
Amina mtu wa Mungu,Mungu aendelee kukufunilia mengi ili watu wake tupone
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 Месяц назад
Amen mom Niko nairobi
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 Месяц назад
Mimi niweka dawa ya mwezi tatu hiyo iwezi toka Hadi mwezi iishe Mungu anirehemu sitawai subutu kuweka Tena naomba rema Kwa muubaji wangu Mimi natubu😢
@RoseSimoni-hg4zd
@RoseSimoni-hg4zd Месяц назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu naomba uniambie kuweka meno ya bandia nikiwa nimeng,0a jino ni dhambi
@rerisamba
@rerisamba Месяц назад
​@@RoseSimoni-hg4zdkwani Mungu alikuumba na mapengo???
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 Месяц назад
Ubarkiwe mtumishi wa Mungu 😔🙏🤝🤝
@user-ix1mg5xx5n
@user-ix1mg5xx5n Месяц назад
Amina mama mungu. Ajutunze
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf Месяц назад
Amen mtumishi natoka malawi
@user-ix1mg5xx5n
@user-ix1mg5xx5n Месяц назад
Amina
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 Месяц назад
Mungu anatupenda kwakweli
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je Месяц назад
Mbarikiwe sana wakati wote
@beatricemwamini2044
@beatricemwamini2044 Месяц назад
Amen.
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd Месяц назад
Amen amen
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je Месяц назад
Halleluya halleluya halleluya
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd Месяц назад
Naomba link ni join mahubiri yananigusa sana
@user-cq8nd4ek8w
@user-cq8nd4ek8w Месяц назад
Sema Mtumishi, ili Tupone
@user-un2td1no5f
@user-un2td1no5f Месяц назад
Yaani umeongea kweli tupu
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm Месяц назад
Hapo kwenye uzinzi 😢😢 nataman mume wangu ajue hii nikimwambia mm naonekana mkosaji mwenye wivu
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 17 дней назад
akusaidie kwa jina la yesu
Далее
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,4 млн
MAMBO YANAYOLITESA KANISA LA SASA - REV:MOSES MAGEMBE
1:20:25
KUZALIWA KWAKO KUNA MPANGO WA MUNGU  | NABII ESTHER
34:52
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10