Тёмный
BONGO 24 NEWS
BONGO 24 NEWS
BONGO 24 NEWS
Подписаться
Tanzania
SIKIA ALICHOZUNGUMZA KUHUSU CCM
12:36
14 дней назад
Kumekucha....! NI ZAIDI YA PIGO CHADEMA
10:53
21 день назад
Комментарии
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 17 часов назад
Mtu mzimaa ovyo wewe msigwa
@bignewscity4927
@bignewscity4927 20 часов назад
Wao Naiona Afika mpya ya Mababuzetu
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 День назад
Upumbavu kuamini mashetani...tumwamini aliyetuumba tumtolee yeye kafara siyo mashetani..waliokufa hawana ushirikiano na wewe..mizimu ni mashetani yanayofuata mila na desturi za kabila fulani na kuvaa sura za waliokufa.... HAYA MAMBO YENU MIZIMU NDIYO YANASABABISHA WATU KUTEKWA NA KWENDA KUTOLEWA MIZIMU KAFARA...ACHENI KUPOTEZA WATU...WA KUOMBWA NA KUABUDIWA NA MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VINAVYOONEKANA NA VISIVYOONEKANA..
@Vinnie-h6j
@Vinnie-h6j День назад
Taylor Donna Hall Karen Wilson Robert
@musamhaya5319
@musamhaya5319 День назад
Wekeni rais mtanganyika na sio wa kutoka ccm
@bignewscity4927
@bignewscity4927 2 дня назад
Naona matumaini mpya Afrika yanarudi mungu wapenguvu waioamu kuturudisha kwenyenjia zetu
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 2 дня назад
Kama ww umeshidwa kubadilisha wew kiongz sis tutaweza vip
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 2 дня назад
Jinga kwel hilii jamaa
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 2 дня назад
Msigwa ni mtu wakutafta Hela tuu na sio eti awe ktk swala la uongoz ,maana mbna kabla ya kutochaguliwa hakutoka chadema ila baada ya kufeli kuchaguliwa ndio akakimbia huoni kama huyo ukimpa uongoz Ndio atakua mhalibifu na asieeleweka ktk uongoz
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 дня назад
Mzee bado unaiman za kishirikina duh
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 2 дня назад
Eti kupiga miti demu wake
@EvaristPaul-q6c
@EvaristPaul-q6c 2 дня назад
Nyie hamfai kuwa viongozi wa dini
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 дня назад
Ulishindwa uchaguz
@SesiliaFaustin
@SesiliaFaustin 3 дня назад
Dudu baya hiyo imekaa sawa nyie polic tutawachokaaa tuu tutaoneshana cha motooo moto ni moto
@Laizer3
@Laizer3 3 дня назад
Hah😂😂😂😂😂 tupac na ujuaji wote aliwezwa 😂😂
@AsBd-r8u
@AsBd-r8u 3 дня назад
Kweli hapo nimempongeza Raisi
@amosmangura
@amosmangura 3 дня назад
Dude uko vtema mno kwa hoja,,,
@paulojohn9608
@paulojohn9608 3 дня назад
mm ccm ht siwaskilizangi
@humphreyroberty8982
@humphreyroberty8982 3 дня назад
We live your life man 💪
@humphreyroberty8982
@humphreyroberty8982 3 дня назад
YOU PUNCH ME ONCE , I PUNCH YOU TRIPPLE 😅
@humphreyroberty8982
@humphreyroberty8982 3 дня назад
KUBWA LA MA MAMBA 😅😅
@humphreyroberty8982
@humphreyroberty8982 3 дня назад
Mambaz 24 😂😂😂
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 4 дня назад
Mungu akuponye haraka Konki
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 4 дня назад
Sasa msigwa sijakuelewa hivi ulikuwa na chuki na mweshimiwa freeman mbowe?kwakuwa huna maneno mengine ya kusema ni mbowe mbowe tu siasa gani hizo
@JoshuaYohanaLaizer
@JoshuaYohanaLaizer 4 дня назад
Tutachamasa paka lin
@JoshuaYohanaLaizer
@JoshuaYohanaLaizer 4 дня назад
Moyo Wang umeuma san jaman tunachamasat kwel watasania tuamke tukatae ujigauu
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z 4 дня назад
Dawa nikuwa kama peter Zakaria alivo wafanya wasiojulikana walipo mfuta kwenye kituo Cha mafuta.maana wamezidi.
@NgareliChacha-d2p
@NgareliChacha-d2p 4 дня назад
Wew dumi la kuwili 😎😎
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 дня назад
Na huko mahakamani na kesi inayomkabili je tunaweza ambiwa ni kwa ajili ya nn? mbona mtangazaji usimulize huenda hii kesi ikawa inahusika?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 5 дней назад
acheni kumchafua MZIZE!!mzize hajabadili dini kwa ajili ya kumfuata mwanamke!!amefuata dini ya haki ya UISLAM!!
@SelemaniTweve
@SelemaniTweve 5 дней назад
24 nimeelewa sana naamini hata sauti ya watoto pacha watatu watasaidiwa kwa upendo huu
@husseinabdulrahman3602
@husseinabdulrahman3602 5 дней назад
Bado anajeuri licha yuko chini
@user-gn8vu3tb4h
@user-gn8vu3tb4h 5 дней назад
Sio mzinze tu ingieni mitandaoni muone uislam ndio kila kitu duniani dunia inauitaji uislam bro hata wewe unaemponda mzinze wakati wako utafika mapadre wanajua wanachukupesa zenu kama maduka akiliamatope mungu atawaonyesha njia tunawasubiri wote mtarejea as Alam aleekm
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 5 дней назад
Auaye kwa upanga nae utamrudia,ccccm hakika Mungu yupo hiki kikombe cha damu ipo siku mtakinwa
@joelmusili1733
@joelmusili1733 5 дней назад
MUNGU amulehemu
@user-sh6ch6ex1h
@user-sh6ch6ex1h 5 дней назад
DUDU BAYA OIL Chafu. MLEVI SUGU
@eliaschipanda2006
@eliaschipanda2006 5 дней назад
Machozi si ya bure
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 5 дней назад
Konk bado hauko powa hats sound inajieleza
@OswardMandikilo
@OswardMandikilo 5 дней назад
Wewe sisi tuna akili zetu timamu, sio ww mbayuwayu,
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 6 дней назад
Njaa mbaya Bora uongeondoka kipindi Cha magufuli ungepata ubunge wa kupitia bila kupingwa Kisha ungehongwa uwazili au udc saiv utatumika sana kondomu mkubwa we
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 6 дней назад
Mitano tena
@nizigiyimanaibrahim2329
@nizigiyimanaibrahim2329 6 дней назад
Hakika hakuna chozi lisilo ripwa itakawia lakini litafika natamani kuisikia ccm imekufa na wafuasi wk wt
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 6 дней назад
Hivi kweli wanosema mitano tena dadeki
@Joseph-hi2ov
@Joseph-hi2ov 6 дней назад
Pole sana My brother Dudu baya, unaonekana bado unaumwa binafsi nakuombea kwa Mungu akuponye 😢
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 6 дней назад
Dhuu nch hii Sasa
@timotheondimbo8322
@timotheondimbo8322 6 дней назад
Your confidence is incomparable, loveless
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 6 дней назад
Alushtakiwana nani kwa kisa gani
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 дня назад
hapo sijui kwann mtangazaji hakuuliza. ni swala la msingi sana..watangazaji wawe makini wanavoliza na kujibiwa maswali. mbona wanakuwaga hivi lakini?
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 6 дней назад
Haya machozi hayatenda bure
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 6 дней назад
Amani ya tz ipo wapi
@molenicharles9107
@molenicharles9107 6 дней назад
Mchechepuko vipi...hanaga tabia zakiivyo???😭😭