Тёмный

Kimeumana..! LISSU ATOA KAULI HII BAADA YA CCM KUMCHANGIA MILIONI5.3 

BONGO 24 NEWS
Подписаться 290 тыс.
Просмотров 67 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 месяца назад
Mbona kichwa tofauti na speech ya Lisu mwandishi vipi
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Huyo msigwa anakuinjoy
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 2 месяца назад
Pesa ya kuchonganisha Mbowe na Lisu. Mmewagombanisha wakati ugomvi haupo CCM mnataka nini kwa Chadema. Michango haikuonekana alipopigwa Risasi,mlibaki kumkejeli. Msigwa utalipa udhalilishaji huu. Mchungaji uwongo na ufitini ni sawa na kuuwa. Jitafakari Mungu anakuona. Vyeo unafuta kwa kwa uroho wa pesa!!!!
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 2 месяца назад
Wanafiki wAkubwa mbona hamku. Changia matibabu yake msigwa mavii sana
@matipukamatipuka9654
@matipukamatipuka9654 2 месяца назад
Aliyepokea nae sio Mnafiki?
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi 2 месяца назад
Ni wapuuz wanataka ili waje waseme kua wanamsaidia wakat kipindi kigum hawakumsaidia wakat ilikua ni wajibu na lazma kwa mujibu wa Sheria kwasaba alikua ni mmbunge, ila saiv ndio wanataka kujionesha, Kwasabab wanapigwa maneno makal ya ukwel ya kutufunulia wananchi juu ya kinachoendelea, mm niseme ukwel kwamba siku za mwsho arobain nikimaanisha mungu siku Hadi siku anaumbua watu na siku moja ndio itakua kabisaaa mtapalalaiz Kwasabab ya wananchi tunachoka kwa kinachoendelea
@MikaelMelita
@MikaelMelita 2 месяца назад
Mbona sasa lisu alipokeya pesa izo sissim ndiyo alipiga risasi lakini sisiwamasai kura yetu inaenda chadema 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Mbona hakusaidiwa katika kipindi kigumu sana,kila mwenye akili anajua ni kitu gani kinatafutwa kwa Lisu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 месяца назад
Asaidiwe vipi, unajuwa ndege iliyompeleka Nairobi ilitolewa na nani tena kutoka Zanzibar.
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 2 месяца назад
Msigwa ni mnafiki na mtu hatari. Anatumika kuivuruga CDM. Wanachadema muwe macho.
@ValeliDamasi
@ValeliDamasi 2 месяца назад
Kaka yangu Lisu usiichukue hiyo pesa, ni mtego kwako, unakubaliana na Yale waliokutendea, kama walikua na nia njema wasingetoa maneno ya kashfa jukwaani
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 месяца назад
Acha upuuzi Mhe. Lissu hakuumizwa na CCM, aumizwe ili iwe nini. Hata alipoumizwa kada wa CCM ndio wa kwanza kulipia ndege iliyompeleka Kenya.
@carteq
@carteq 2 месяца назад
Hii pesa walijuaje anataka pesa hiyo km aliomba au vipi? Tusikurupuke na kingine bei hiyo sio kweli km itatosha kutengeneza hiyo gari kuanzia kunyoosha na kupiga gari rangi services ndogondogo ya gari kupack muda mrefu na kununua interior ya ndani kwani ni ghali sana mpk hiyo gari iwe sawa barabarani si chini ya 80 million
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
User muache apokee hiyo ni michango kama alivyochangiwa na wananchi wengine hakuna ubaya wowote
@Bob-ev2fi
@Bob-ev2fi 2 месяца назад
Now Honorable Nchimbi, Msigwa how much ru putting in the kikapu, before we get to the top
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 2 месяца назад
Naona meandishi anaongea yeye kwani lisu hawez kusema mpaka amsemee😂
@lordymawoiya5818
@lordymawoiya5818 2 месяца назад
4 R 😂😂😂 hiyo hela wape watoto yatima
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 месяца назад
Hawamitakii mema hao juzi wamemipiga na kumi weka ndani leo wanamfanyia Lisu Harambee wanakudhalilisha tu
@PaulineJoseph-n8z
@PaulineJoseph-n8z Месяц назад
Ngoja adhararishwe hata hivyo akili hana
@saimonmlay4295
@saimonmlay4295 2 месяца назад
Kamanda Lisu zichukue uzielekeze kwenye kituo chetu cha afya kuna Ambulance mbovu nayo inahitaji marekebisho...
@HamzaHeri
@HamzaHeri 2 месяца назад
HUYO ANAPENDA HELLA SANA MPAKA HELLA ZAKE ZAKUTIBIWA ALIVYO RUDISHIWA HELLA ZA MATIBABU ALIINGIYA MITINI HIYO KUTUUZA KWA MAGARIBI NIMWEPESI
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 месяца назад
Iissu wanakukejeri senti zao.
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 2 месяца назад
Mh Lisu,kama utapokea pesa hiyo,nitakuwa sina wasiwasi kwamba kuwa upinzani ni sambamba na. Utahira unaombatana na njaa ya tumbo.Na itakuwa mmewarahishia wadau wa siasa,sasa wana nafasi moja tu ya kuchagua ccm mpaka mwisho wa dahari.
@SelemanNgoda
@SelemanNgoda 2 месяца назад
Chenille kutuzingu tunataka sauti yake mwenyewe wandishi acheni uchawA kwa ccm
@GodlvJohn
@GodlvJohn 2 месяца назад
Pokea maana ccm ndio walitaka kukuua nawalizuia usipewe haki zako ukiea mgonjea,ccm walitamani lisu afe ccm acha uhuni ,nahuyo msigwa
@EstarNguka-o8q
@EstarNguka-o8q 2 дня назад
Nyie waongo
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 2 месяца назад
Dharau nyingine ni kujidharau mwenyewe CCM pesa zote mlizonazo mnachangia million 5 si aibu iyo mngempa gari nzima ushamba tu kuoga Wala
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 2 месяца назад
Bongo 24 mnatufanyia uhuni. Inafaa mshitakiwe. Majizi wa mb zetu.
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 2 месяца назад
CCM sio mchezo wamezima story ya kupigwa na kukamatwa....😂😂😂
@frankraphael7546
@frankraphael7546 2 месяца назад
Kikweli lisu ukichukua iyo pesa atutakielewa
@ZakariaSanga-e9y
@ZakariaSanga-e9y 2 месяца назад
Imeonesha kua yeye kakubaliana ccm kauli ya kua katengwa na chama
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Usichukue walikuvunja vunja wao hizo ni kashfa kakangu usichukue hizo fedha utdharauliwa juzi mmedhalilishwa mbeya
@NeemaKomba-ks4so
@NeemaKomba-ks4so 2 месяца назад
Mwawajibishe kwanza wale polisi
@faridsawad5442
@faridsawad5442 2 месяца назад
Kichwa cha habari na kinachozungumzwa tofauti
@GodlvJohn
@GodlvJohn 2 месяца назад
Ccm nichama cha ovyo ,so lisu kaambali na ccm
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Tundu Lisu usichukue hizo pesa
@HellenNkwera
@HellenNkwera 2 месяца назад
Mzee wa sheria kazi ipoo hapoo😅😅
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Hiyo pesa ieatibu wanachadema wote waliopigwa huko Mbeya.
@AllyShabani-v5i
@AllyShabani-v5i 2 месяца назад
Mchumbiaji msigwa yupo kwa msafara katibu wa ccm
@mangashajunior242
@mangashajunior242 2 месяца назад
Ni haki ya lissu kupokea....😅😅😅
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 2 месяца назад
Hii ni namna nyingine ya dhihaka ! 'Shedding croackodiles tears'
@khamis9187
@khamis9187 2 месяца назад
Bongo24 iki nini??? Mnatuletea, kichwa tofauti na habar!!!! Mbuzi nyie!!!!.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 месяца назад
Hiyo gari iliyopigwa risasi si tulikubaliane iwekwe makumbusho na anunuliwe mpya au agenda imekufa
@stanleymanya438
@stanleymanya438 2 месяца назад
Duuuhhh!! Serikali bado itatowa mawakili tu!!
@Ligida-57
@Ligida-57 2 месяца назад
Kwanini tusisikie sauti yake. Inakuwaje wewe uwe msemaji wa Lissu
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 месяца назад
kuna unafiki mwingi,Lisu aliumizwa,wanaosema hivyo naona walichangia kwa kupigwa lisasi Lisu ,kwenye matibabu mbona halambee hiyo haifanyika kama ccm wanajua ni mtanzania mwenzetu,au mnamvuta kiakili .
@Hellen-i2y
@Hellen-i2y 2 месяца назад
Mh. LISSU ni vema usitengeneze hili gari lenye matundu ya risasi ili ibaki kuwa ukumbusho wa historia na siasa za nchi hii. Pili . Leo hii Mh Lissu tamka tu unahitaji harambee mfano ya uharibifu wa mali na walioumizwa muone. Jamani isifike mahali tukawa na chuki kati yetu sisi ni ndugu na taifa moja. Tushindane kwenye maendeleo na tupendane kwa mustakabadhi wa taifa letu.
@Kwazulu1
@Kwazulu1 2 месяца назад
Lisu are you desperate????… Ungefanya maskini jeuri.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 месяца назад
Mnatembea na pesa kifanya aigizo watu. Wenyew wamesombwa watapata wapi pesa ya kuchangA hapo na hakunA cha 4 R hapo
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 2 месяца назад
Chaneli takataka hii
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 месяца назад
Kwa nn azikatae? Kwani zimetokewa.na chama?/wivu usiokuwa na maana
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 2 месяца назад
Pesa Zina masimango Kwa Mh Mbowe,
@RiziwaniRashidNkumbilwa
@RiziwaniRashidNkumbilwa 2 месяца назад
Wewe muandishi huna adabu unanuka Mavi!
@2003hintay
@2003hintay 2 месяца назад
Mnamchangia wa nini huyu mnajipendekeza kitu gani mtu hana shukran
@RahimRashid-u9j
@RahimRashid-u9j 2 месяца назад
Akili nyinyi huwa hamna kabisa kama umeweka habari acha iyongee yenyewe unangea wewe ili iweje acheni kutukera na habari za kinyesi
@SULEIMANMALIBICHE-jv1bh
@SULEIMANMALIBICHE-jv1bh 2 месяца назад
Unaongea sana unajambo unaludialudia tu
@nicholaskileka1160
@nicholaskileka1160 2 месяца назад
Sijaelewa, tutafika kweli?
@ismailramadhani1649
@ismailramadhani1649 2 месяца назад
Ni upuuzi na ni ujinga kweli kweli.
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 месяца назад
Mumununulie jipya mulilipiga risasi wenyewe nyie ccm hata mukijifanya ni wema tunawajua kuwa ni wabaya pote Kwa viongozi wa chadema mpaka Kwa wanainchi wanaowachagua
@KiringoMtemi
@KiringoMtemi 2 месяца назад
Hiyo kesi unaipeleka kwa askari na nahakimu wa CCM unategemea kupata jibu la haki ???
@stevemsola437
@stevemsola437 2 месяца назад
Unajiongelea mwenyewe
@JoyfulRockFormations-re6fm
@JoyfulRockFormations-re6fm 2 месяца назад
Acha mbwembweeee key points
@GjkKessy
@GjkKessy 2 месяца назад
Huu ni umalaya wa habari
@djfaraji
@djfaraji 2 месяца назад
Acheni uongo mnatuudhi
@SedekiaIsrael
@SedekiaIsrael 2 месяца назад
Acheni uongo
@leinisimanga7346
@leinisimanga7346 2 месяца назад
Ccm mkato mchango kwa walemavu
@MogelaSaileni
@MogelaSaileni 2 месяца назад
Hao niwafki sikuzote walikuawapi mwamba wetulisu usichukueiyoela wamezowea matumizi ma Aya yaela kwani shida mzioma zalisu wagonwa wanakufa kwakukosa uduma kwaniniwasiwachangie
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 2 месяца назад
Wewe waga mwehu
@RhodaKibona
@RhodaKibona 2 месяца назад
Kwann mwandishi unaongea wewe siaongee mwenyewe
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 2 месяца назад
Wewe mwandishi ni mwehu
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 месяца назад
Unaongea wewe lisu simusikii shenz unanimalizia bando
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 месяца назад
Kiazi TV
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 2 месяца назад
Amakweli duniinamengi hevinizihakaau aliehalibugalilakeninani
@dennissamora729
@dennissamora729 2 месяца назад
Mwandishi usituzingue
@ahmedsaidbachuba2398
@ahmedsaidbachuba2398 2 месяца назад
Acha uhuni tunataka kauri ya lisu sio wewe
@anselmimarandu2293
@anselmimarandu2293 2 месяца назад
Hivi wewe ni mwandishi kweli? Mbonq ulichoandika na kinaonekana ni tofauti.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 месяца назад
Hii ni channel ya mataahira jamani
@JantoAbdala
@JantoAbdala 2 месяца назад
Sasa unakuwa mjinga unajieleza wewe.. kwahyo mwenyewe Ni bubu
@fptouchz7955
@fptouchz7955 2 месяца назад
Unaongea saaaana hakuna speech unaweka
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 месяца назад
Makumbusho
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 2 месяца назад
Fala wewe sauti ikowapi?
@jovinbikongoro3469
@jovinbikongoro3469 2 месяца назад
Wewe nimbwa kabisa kichwa Cha Abar sio chenyewe unafirwa kabisa wewe
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw 2 месяца назад
Mkundu wewe unaongea wewe tu
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 2 месяца назад
Wajinga ninyi
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 2 месяца назад
Msigwa ni mnafiki na mtu hatari. Anatumika kuivuruga CDM. Wanachadema muwe macho.
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 2 месяца назад
Dharau nyingine ni kujidharau mwenyewe CCM pesa zote mlizonazo mnachangia million 5 si aibu iyo mnempa gari nzima ushamba tu kuoga Wala
@elioimer8423
@elioimer8423 2 месяца назад
Navyoona waliochanga pesa ni wananchi, sio ccm.
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 285 тыс.
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
Просмотров 50 тыс.
JON MREMA CHADEMA AANDIKA KUPATIKANA KWA DEUS SOKA
10:36
Getting Started with StateRAMP - May 2023
39:01