Тёмный
Mwalimu Wanjala
Mwalimu Wanjala
Mwalimu Wanjala
Подписаться
~Mwalimu tajika wa somo la Kiswahili.
~Mfafanuzi na mchambuzi wa kazi za fasihi
~Mwelekezi na mshauri wa wasomi kuhusu maswala ya elimu
~ Wasiliana nami kwenye nambari 0707 286 397
Комментарии
@sichangimasta5506
@sichangimasta5506 2 дня назад
Keep it up ndugu. The hand of destiny and good fortunes will locate you.
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 2 дня назад
Amen sir 🙏🙌🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 2 дня назад
Shukran jazila mwalimu ❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 2 дня назад
Asante pia kwa kunitazama 🤗
@Anaammoha
@Anaammoha 2 дня назад
🥰🥰🥰🥰🙏
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 2 дня назад
🙏
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 3 дня назад
✅ done 👍
@mwitipatoo8865
@mwitipatoo8865 3 дня назад
Pongezi sana mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 3 дня назад
Shukran sufufu kaka🤗
@mwitipatoo8865
@mwitipatoo8865 3 дня назад
Mwalimu na mungu akubariki sana
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 3 дня назад
Amen 🙌🙏
@mwitipatoo8865
@mwitipatoo8865 4 дня назад
Asante sana mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 3 дня назад
Karibu tena 🤗
@Sally-s9b2s
@Sally-s9b2s 4 дня назад
Eeh nikataman kurud shule unifunze lakn .....kazi safii sanaaa mwalimu ❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 4 дня назад
Shukran, ambia marafiki zako pia
@Sally-s9b2s
@Sally-s9b2s 4 дня назад
Shukurani sana mwalimu kazi bora❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 4 дня назад
Asante 🤗
@Sally-s9b2s
@Sally-s9b2s 4 дня назад
Congratulations mwalimu ❤
@Sally-s9b2s
@Sally-s9b2s 4 дня назад
Kazi njema Mr wanjala🙏🙏🎉❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 4 дня назад
Asante dada🤗
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 5 дней назад
Hongera mwalimu 👍
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 5 дней назад
Shukran Sana🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 5 дней назад
Mwalimu tafadhali tafuta swali la mandhari pia❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 5 дней назад
Kesho nitashughulikia suala hilo bila shaka
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 5 дней назад
Kazi safi mwalimu ❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 5 дней назад
Asante
@Euginemitoko-y6n
@Euginemitoko-y6n 6 дней назад
majibu ya maswali hyo
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 6 дней назад
Kama kuna swali gumu hujui jibu taja nikutatulie
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 6 дней назад
Kama kuna swali gumu hujui jibu taja nikutatulie
@MarkaboMohamed
@MarkaboMohamed 7 дней назад
Asante sana mwalimu kwa juhudi yako❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 7 дней назад
Karibu tena...Shukran pia kwa kunitazama...🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 8 дней назад
Shukran sana mwalimu...kwa kweli tumenufaika na channel hii yako❤❤❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
Video ya 1 au msururu wa kwanza, maswali ya (a) hadi (f) ndio hii 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-V9hNSjSqMxI.htmlsi=h6Od6xUqQYRcqHbE
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
Video ya pili au msururu wa pili ndio huu👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-EoobQpN45VU.htmlsi=MtgDLKyLpaC_jWTN
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 8 дней назад
✅ done 👍👍
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
🤗🤗👏
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 8 дней назад
Haya maswali ya sauti yalikuwa yanatukanganya. Lakini tumeelwa sasa
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
Nafurahia Sana nikiona ujumbe huu
@MarkaboMohamed
@MarkaboMohamed 7 дней назад
Kazi safi sana❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 7 дней назад
@@MarkaboMohamed asante 🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 8 дней назад
Shabash!❤ Unafanya kiswahili kiwe rahisi mno na fumula zako mwalimu❤❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
Shukran Sana, yafaa wasomi wafurahie somo, si kuona masomo kama kitu kigumu kwao.
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 8 дней назад
Ndiyo mwalimu, tunangoja kwa hamu vipindi vifuatavyo ​ vya misururu ya matumizi ya lugha❤❤❤@@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
@lakutvonline7465 vizuri, tegea bila shaka naandaa, kuwa na stahamala utazipata🙏🤗
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
@lakutvonline7465 nishamalizia karatasi ya KCSE 2020 matumizi ya lugha
@VictimMlaguzi
@VictimMlaguzi 8 дней назад
Asante sana na Mola azidi kuwabariki
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 8 дней назад
Amen🥰
@CHRISTOPHERODERO-vj6xh
@CHRISTOPHERODERO-vj6xh 9 дней назад
Kazi safi mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 9 дней назад
Shukran sufufu mwalimu 🤗
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 9 дней назад
✅ done 👍
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 9 дней назад
Hongera
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 9 дней назад
Shukran sufufu 🤗
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 9 дней назад
Asante Sana 🤗
@ChepkiruiGladys-i9p
@ChepkiruiGladys-i9p 9 дней назад
Kazi nzuri ❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 9 дней назад
Shukran sufufu 🤗
@ChepkiruiGladys-i9p
@ChepkiruiGladys-i9p 9 дней назад
Asanta mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 9 дней назад
Karibu tena na tena🤗
@richardonyango4807
@richardonyango4807 10 дней назад
Kazi nzuri sana.
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Shukran sufufu kaka🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 10 дней назад
Shukran sana mwalimu ....haki!hata darasani hatupati maelezo kama haya..Sasa swali la shairi nitalibambana vilivyo mtihani majaliwa❤❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Asante Sana pia kwa kunitazama, kila la heri kwa mtihani wako
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 10 дней назад
✅ done, keep it up 👏👏
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Thank you so much 🤗
@MahmudBaba-f6p
@MahmudBaba-f6p 10 дней назад
Thanks for l need answers mr naomba sana
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Ya maswali yote au swali lipi kaka?
@WalterKalme-ec3ch
@WalterKalme-ec3ch 4 дня назад
Majibu yko wpi
@MahmudBaba-f6p
@MahmudBaba-f6p 10 дней назад
Mr hi naomba sana majibu kw a sahi
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Sema swali nikupee majibu
@ItsCermz
@ItsCermz 10 дней назад
As ante mwaimu, great job🙏
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Karibu tena, and thank you so much 🤗
@MarkaboMohamed
@MarkaboMohamed 11 дней назад
Mwalimu tufanyie pia maswali ya kcse sarufi na ushairi pia inatutatiza . Final days to kcse exam
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Nimepata ombi lako, nashughulikia tu juma hili..
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 11 дней назад
Asante sana❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Kuna kazi ya USHAIRI nimeandaa Leo hii
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Kuna kazi ya USHAIRI nimeandaa Leo hii
@MarkaboMohamed
@MarkaboMohamed 11 дней назад
Kazi nzuri mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Shukran Sana mwenzangu🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 11 дней назад
Kanzi kuntu mwalimu ❤....tumenufaika sana na kipindi chako hichi..... mwalimu tafadhali angazia Ufupisho na kudurusu maswali kwa karatasi ya pili kabla ya mtihani mwaka huu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Shukran sufufu 🤗, bila Shaka nitaangazia kazi hiyo kwa juma hili tu. Nitatumia karatasi za mwigo za shule za kitaifa kama Kapsabet, Mang'u, Nairobi, Pangani, Loreto Limuru na shule nyinginezo.
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 11 дней назад
Shukran mwalimu​@@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Karibu tena 🙏
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 11 дней назад
✅ done 👍
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Thanks alot 🥰
@CoachesRemus
@CoachesRemus 12 дней назад
Majibu yakowapi mwalimu mm nakufatilia sana
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 12 дней назад
Kesho nakujibu asubuhi mapema
@niggahke2248
@niggahke2248 12 дней назад
Mwalimu help us for the remaining days we appreciate
@ChepkiruiGladys-i9p
@ChepkiruiGladys-i9p 12 дней назад
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 12 дней назад
👏🤗❤️
@MARIAMYASSINRASHID
@MARIAMYASSINRASHID 12 дней назад
kwenye neno daktari kuna silabi ngapi eti samahani
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 12 дней назад
Tatu - Dak- ta- ri
@MARIAMYASSINRASHID
@MARIAMYASSINRASHID 11 дней назад
@@MwalimuWanjala siyo silabi nne kweli? maana sithani kama kwenye kiswahili tuna silabi yenye muundo wa KIK , aidha kama zipo naomba mifano zaidi tafadhali
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
@MARIAMYASSINRASHID daktari, muktadha, maktaba - Fanya uchunguzi zaidi
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
@MARIAMYASSINRASHID silabi ni pigo moja la sauti
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Silabi 3
@edwinikavulu9143
@edwinikavulu9143 14 дней назад
Dondoo la msimulizi linawekwa aje kwa mktadha wake
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 14 дней назад
Utajibu hivi 👇 Mnenaji/msemaji- msimulizi Mnenewa/msemewa- Mahali/ mandhari- Kiini/sababu/tukio-
@CHRISTOPHERODERO-vj6xh
@CHRISTOPHERODERO-vj6xh 15 дней назад
Kazi safi mwalimu
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 16 дней назад
Hongera mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 16 дней назад
Shukran sufufu 🤗
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 16 дней назад
Kutafsiri data weee nimeelewa.
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 16 дней назад
Kufasiri..😄
@spurscoys2363
@spurscoys2363 21 день назад
Thank you God bless you ❤❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 20 дней назад
You are so welcome. God bless you too.
@JaneAkinyi-z2r
@JaneAkinyi-z2r 21 день назад
Swali langu ni namna matumizi ya kisengere nyuma imejitokeza katika bembea
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 21 день назад
1.Sara anakumbuka namna alivyopewa masomo ya unyago na nyanyake namna ya ya kuisha maisha ndani ya ndoa. 2. Yona anakumbuka akiwa miongoni mwa vijana wa kwanza kijijini mwao kuingia kwa dini. 3. Yona anahadithia wazee wenzake wa kijiji, Luka na Beni namna alivyokuwa akirauka mapema shuleni. 4. Yona anaambia wazee wenzake kwenye kikao kuwa hizo enzi akiwa mwalimu viboko viliruhusiwa. Yeye binafsi hakuwahi kukosa kiboko mkononi. 5. Yona anasema babake Kalasinga alikuwa mwafrika wa kwanza kuajiriwa na mhindi na kufanya kazi na kupandishwa cheo hadi akawa dereva. 6. Neema anakumbuka namna Yona alivyokuwa mkali, kuwagombeza na kuwapiga. 7. Sara anaambia Asna kuwa aliachia masomo kwa darasa la Saba kwa sababu enzi zao katika jamii Yao elimu ya mtoto wa kike ilifanyiwa bezo. Akishabaleghe aliozwa kwa lazima. 8. Kiwa anaambia Dina namna Neema walivyokuwa kama ncha ya sindano masomoni na pia akiangalia mtu usoni ungeona akizisoma fikra zake. 9. Sara na Dina wanasema kuwa kuna mabadiliko upande wa usafiri, kitambo wangechukua siku nyingi kufika mjini. 10. Bunju anapogorofishana na Neema , anamkumbusha mahali alimpata kwa ajali mbaya na kumuitia flying doctors na kusimamia gharama ya hospitali . 11. Bella anaambia Neema kuwa kitambo Mila zilifwatwa kwa Sana. Sasa hivi mambo ya mila yamepitwa na wakati. Sara anaweza lala kwa Bunju.
@BalibinaOkoth
@BalibinaOkoth 22 дня назад
Swali langu ni Fafanua namna suala la urafiki linavyoshughulikiwa katika tamthilia ya bembea
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 21 день назад
Nitakujibu.
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 21 день назад
1. Sara anamwita Dina kwake kuja kumsaidia katika mapishi anapokuwa mgonjwa. Dina anaenda kumsaidia kwa sababu ya urafiki wao.
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 20 дней назад
2. Wakati Dina ako kwa Sara, mazungumzo yananoga na kuingia kwa vicheko hadi wanasahau kuwa maji yameshachemka. 3. Bella na Neema ni rafiki wa dhati. Urafiki huu unamfanya wanasikizana na Bella anakaa kwa Neema kwa muda mrefu hadi Watoto wake wanamsahau. 4. Beni, Yona na Luka ni marafiki. Kila siku wanakutana katika kikao cha wazee wakijadiliana mambo ya jamii, mavuno na kuburudika kwa ujumla.
@ninjanitojt-t7u
@ninjanitojt-t7u 24 дня назад
good tr
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 23 дня назад
Thank you