Тёмный

KISWAHILI KCSE 2020 REVISION. MASWALI NA MAJIBU/MATUMIZI YA LUGHA. VIDEO YA 1 -SWALI LA (a) hadi (f) 

Подписаться
Просмотров 260
% 18

Video hino inahusu kudurusu kazi ya #SARUFI na #matumiziyalugha ya mwaka wa #kcse2020 swali la (a) hadi la f). Hii ni sehemu ya Kwanza ya karatasi hii na bado kuna video zingine za maswali yaliyosalia.
#kiswahili #maswali #sarufi #matumiziyalugha #examquestions #revisionquestions #education #kcsepastpapers #kcse

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
Video ya pili au msururu wa pili ndio huu👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-EoobQpN45VU.htmlsi=MtgDLKyLpaC_jWTN
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 11 дней назад
✅ done 👍
@Sally-s9b2s
@Sally-s9b2s 6 дней назад
Eeh nikataman kurud shule unifunze lakn .....kazi safii sanaaa mwalimu ❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 6 дней назад
Shukran, ambia marafiki zako pia
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 11 дней назад
Shabash!❤ Unafanya kiswahili kiwe rahisi mno na fumula zako mwalimu❤❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Shukran Sana, yafaa wasomi wafurahie somo, si kuona masomo kama kitu kigumu kwao.
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 11 дней назад
Ndiyo mwalimu, tunangoja kwa hamu vipindi vifuatavyo ​ vya misururu ya matumizi ya lugha❤❤❤@@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
@lakutvonline7465 vizuri, tegea bila shaka naandaa, kuwa na stahamala utazipata🙏🤗
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 10 дней назад
@lakutvonline7465 nishamalizia karatasi ya KCSE 2020 matumizi ya lugha
@CHRISTOPHERODERO-vj6xh
@CHRISTOPHERODERO-vj6xh 11 дней назад
Kazi safi mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Shukran sufufu mwalimu 🤗
@lakutvonline7465
@lakutvonline7465 11 дней назад
Haya maswali ya sauti yalikuwa yanatukanganya. Lakini tumeelwa sasa
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Nafurahia Sana nikiona ujumbe huu
@MarkaboMohamed
@MarkaboMohamed 9 дней назад
Kazi safi sana❤
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 9 дней назад
@@MarkaboMohamed asante 🤗
@sichangimasta5506
@sichangimasta5506 4 дня назад
Keep it up ndugu. The hand of destiny and good fortunes will locate you.
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 4 дня назад
Amen sir 🙏🙌🤗
@FaithWangui-s9e
@FaithWangui-s9e 11 дней назад
Hongera
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Shukran sufufu 🤗
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 11 дней назад
Asante Sana 🤗
@mwitipatoo8865
@mwitipatoo8865 6 дней назад
Asante sana mwalimu
@MwalimuWanjala
@MwalimuWanjala 6 дней назад
Karibu tena 🤗