Тёмный

𝐌𝐙𝐄𝐄 𝐉𝐔𝐌𝐀 𝐌𝐀𝐆𝐎𝐌𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐍𝐈𝐓𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄𝐖𝐄.. 

NYAVUNI TV
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@FredThomas-ib4kc
@FredThomas-ib4kc Месяц назад
Nakubali kaka
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Месяц назад
Mbona nyie vibwengo Yanga ikiwa na mafanikio mnaanzisha upuuzi haturudi nyuma Yanga Daima Mbele aturudi nyuma. Huyu Mzee Mwenyezi Mungu amuhukumu na tabia zake tegemezi na kutumika Binafsi namwombea kwa Mungu amlipe kutokana na choko2 zake. Yule siyo mwanachama kama angekuwa mwanachama wa Yanga be asingekuwa anafanya upuuzi na klabu yetu.
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Месяц назад
Huyo Mzee ameyakanyaga😂😂😂,,ubaya ubwela udugu umala🤣🤣
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Месяц назад
Mangoma na masimba ni ndugu anakula makombo ya uongozi wa masimba juyo
@dorahpaulin8012
@dorahpaulin8012 Месяц назад
Tuko nawewe mzee wa kilinge
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Magoma ni rusiffer ktk nchi ya tanganyika.
@user-ox8js7ck4v
@user-ox8js7ck4v Месяц назад
Nimekuelewa sana kaka,hongera sana endelea kusema ukweli mzee wa Kilinge
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Месяц назад
Ww muongo bana unalolote ww mwenyewe njaaa tu
@mubaraalichiku6089
@mubaraalichiku6089 Месяц назад
Mwambie mkundu Magoma achana na Yanga, hivyo bado huyo Magoma anafirwa ama kastaafu😂
@marwachacha2434
@marwachacha2434 Месяц назад
Yupo yanga ya bibi huenda😅
@abdulisiwa4118
@abdulisiwa4118 Месяц назад
Magoma ni msela, muhuni, msela nondo, magoma ni mbabaishaji, fedhulu magoma teja😊😊
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi Месяц назад
Magoma moto 😂😂😂😂😂😅😅
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Месяц назад
Huyo Mangoma na Mwaipopo ni waganga njaa tu.
@ThobithMwasile
@ThobithMwasile Месяц назад
Magoma ni njaa zinamtesa tu.
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe Месяц назад
Ashindwe mbwa mkubwa anataka kutuharibia team yetu tutakufa nae mnyama wa mwituni
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Месяц назад
Ni simba huyo mangoma ni simba anajikomba kwa uongozi wa simba huyo kula makombo ya uongozi wa simba
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Месяц назад
Mangoma ni simba damu si mwanachama wa yanga
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Месяц назад
Mangoma na masimba ni ndugu yake mbwa wa simba huyo
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Месяц назад
Huyo mangoma asiwatoe kwenye reli huyo ametumwa na simba
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Месяц назад
Magoma amesema nyinyi ni machawa mnafaidika na uongozi 😂😂😂😂
@ahmedmukolwe43
@ahmedmukolwe43 Месяц назад
Pamoja na babako
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Месяц назад
Mangoma sio yanga ni simba kabisa katumwa yuyo hafai kuwa mwanachama wa yanga
@peterchande957
@peterchande957 Месяц назад
Magoma amemaliza shule ya msingi Magomeni 1975 sioni uzee wake ila njaa inasumbua, anasema ana kadi ya Yanga 1968 siyo kweli hiyo itakuwa kadi feki feki pigeni mahesabu kijana wake aliwahi kuichezea Nzige ya makuti
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if Месяц назад
Mnayeuyo
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Месяц назад
Misukule ya utopolo hao
@selemanirashidi1620
@selemanirashidi1620 Месяц назад
Acha kudanganya watu ww simba inafata nn hpo
@WittyKitila
@WittyKitila Месяц назад
Ww mwongo simba hawana mpango nyie fanyeni mambo yenu kila kitu simba Kwan huyo mzee wa simba acha upuuzi ww
@SaidEmmanuel-dl6er
@SaidEmmanuel-dl6er Месяц назад
Kina magoma xawa na ubaya ubwela
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Месяц назад
Card shilingi ngapi?
@salumomar-ph8ht
@salumomar-ph8ht Месяц назад
hao simba pamoja na magoma baada ya kumsiki injinia anataka kujenga uwanja ndiomana unaona wanaanza kutapatapa nabado watasema sanaaaa mpaka waseme makolo njie
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Huyu magoma ni simba pure. Huko yanga ni kivuli tupu kwa ajili ya kuivuruga yanga na mafanikio yake. Kwani tanzania kile kizazi cha 2000 kiko wapi kifanye kazi yake???
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Месяц назад
NAWAONEA HURUMA SOMBA, HASIRA YA YANGA YA SASA MTAKULA GOLI 20
@kassimufuraha2556
@kassimufuraha2556 Месяц назад
Sasa mbona amujibu oja zake munamtukana yy kama nyny muko sawa c mungeikosoa mahakama ili tukuone ww uko sawa ikosoe mahakama jenga oja zakisheria
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Месяц назад
𝐍𝐝𝐢𝐨 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐢𝐯𝐲𝐨
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Месяц назад
WEWE NI MNAZI UNATUNGA STORI ZA KUMCHAFUA FIELD MARSHALL. 😂
@songombingo108
@songombingo108 Месяц назад
Mapinduzi tena?😂😂😂😂
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Месяц назад
Kumbe hii timu ina vichaa wengi?!
@allydaud612
@allydaud612 Месяц назад
Nilijua tu kwamba magoma anataka kuishi kwa kutegemea Mapato ya club wakati yeye hachangii chochote anataka kuvuna asicho panda hayo mambo yalishapita zamani kama alikua anafaidika zamani angeweka akiba maana mambo yalishabadilika
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Месяц назад
𝐊𝐰𝐞𝐥 ❤
@user-hu6kw7rk2h
@user-hu6kw7rk2h Месяц назад
Magoma yuko sawa wajuwa tatizo hawa mashabiki na wanachama wa wamekuwa machawa sasa magoma ni mjanja anataka kujuwa ukweli
@user-hu6kw7rk2h
@user-hu6kw7rk2h Месяц назад
Magoma yuko yanga kabla yako ww
@chandembikitu4081
@chandembikitu4081 Месяц назад
Kifuruge toka zamani
@innocentiBonifas
@innocentiBonifas Месяц назад
kwa iyo kama yupo yanga unatakaje??
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Kuna waliopo yanga kabla ye hajazaliwa asijikute yanga anaijua sana
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Месяц назад
​@@fettiemaganza1484 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢!!!!!?
Далее