Тёмный

LISSU atua TZ anena KUTUMBULIWA kwa NAPE na MAKAMBA, MSIGWA kuhamia CCM na MGOGORO ndani ya CHADEMA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 215 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 300   
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 Месяц назад
Wooooooooh muujiza unatembea amerudi Tanzanian we are so proud of you. Warmly welcome back. Na iringa tumeandaa kumpa kura mgombea urais na ubunge CHADEMA
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 Месяц назад
😂😂
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Месяц назад
Kweliii tubadilike
@bennylove6021
@bennylove6021 Месяц назад
Umejiandaa au mmejiandaa?
@MALISELACHAGAVALYE
@MALISELACHAGAVALYE Месяц назад
​@@bennylove6021vyovyote muhimu kura Kwa CHADEMA.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Месяц назад
Uraisi hapana awezi mpinzani yoyote lkn lisu me namkubari akae bungeni tu apige nyundo lkn ccm watatawala mpk dunia itakwisha
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l Месяц назад
Shukran kiongozi kwa uhakiki wa viwango vya juu Sana.
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 Месяц назад
Salute xnaaa,,,,
@clemenceparokola
@clemenceparokola Месяц назад
Mheshimiwa Lisu umeongea vizuri,karibu sana
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Месяц назад
Kweli hapo makamba, nape na riziwani wanaishi kwa nguvu za baba zao lakini sio viongozi bora
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 Месяц назад
the man is so calm😊😊
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Месяц назад
Mungu akubariki saaaana
@Freedom_fighters898
@Freedom_fighters898 Месяц назад
One of the best gift God has gave this land is Lissue
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Месяц назад
Mungu akubariki baba Lissu
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🤲Amen!! Living miracle of God !
@amirinestory
@amirinestory Месяц назад
Kumbuka lissu anasapoti mashoga
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Месяц назад
@@amirinestory Je ushawah kumuona rais wako akikemea ushoga? Hata ww ukiamua unaweze kuwa shoga wahuni wakakushona au umemuona Lissu akishikia watu bunduki wawe mashoga?
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 Месяц назад
Karibu Sana lisu
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Месяц назад
Close mh lissu❤❤❤ tumekukumbuka sana well come again tz.
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Месяц назад
Wewew acha kumchezea magufuli
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
@@gracemairusya2950 choko wewe
@zulfajumapil7664
@zulfajumapil7664 Месяц назад
Bila magufuli haonag kama amezungumza huyu baba sjui yukoje?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
Kumamako na huyo muuwaji wako
@khamisisongoro7442
@khamisisongoro7442 Месяц назад
Huna hata adabu ​@@emmapaul1766
@fauluonlinetv
@fauluonlinetv Месяц назад
Asisemwe Magufuli yeye Mungu?
@francismomo7067
@francismomo7067 Месяц назад
Huyu ndo mtu ambae akijib hoja hua naridhika nazo sana
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j Месяц назад
Ohoooh wanaccm msiyempenda kaja...
@obaidothmanalbulushi9196
@obaidothmanalbulushi9196 Месяц назад
Na wewe jiulize mbona ikitokea kitu anakimbia ubeligigi na wewe upo hapa hapa vipi huoni ni upuuzi
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Ubeligiji alikwenda matibabu. Acha uchawa​@@obaidothmanalbulushi9196
@stevesungura6789
@stevesungura6789 Месяц назад
Wow, excellent
@Noelkitoi
@Noelkitoi Месяц назад
Lisu karibu nyumbani mzee
@shabanadam4476
@shabanadam4476 Месяц назад
Lissu big brain akili kubwa 👏👏
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Месяц назад
Lissu karibu sana wewe ni Muujiza unaishi endelea kumuhofu Mungu aliyekulinda na maadui waliokuwa wanataka kukumaliza.
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Месяц назад
Karibu
@JOELYKAMNDE
@JOELYKAMNDE Месяц назад
Hizi ni mbinu za ccm kila uchaguzi chadema msipokee wabunge wa ccm
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Месяц назад
Tuletee Dr. Slaa
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Месяц назад
Huyu jamaa akiongea unasikia raha tu kumsikiliza
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
Mkimbizi karudi nadhani akili sasa ndo basi tena msema ovyoo 🤣🤣🤣
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Mkimbizi kiburi? Jiulize aliyemfanya akimbie2 leo2 yuko wapi?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
@@monicamwita7865 kwani na yeye hatakufa kila moja na siku yake we endelea kujiuliza lakini Magufuli alikua jembe siyo huyu msema ovyo wenu 🤣🤣
@emmanuelmwaipungu4915
@emmanuelmwaipungu4915 Месяц назад
Tuleteeni Dkt Slaa
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Месяц назад
Chuma imerudi kutoka ubeligji, msigwa atalimia meno, hk chuma kiski cha mpingo
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
Chuma au Tahira mkimbizi 🤣🤣🤣
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 Месяц назад
Sema ameingia nchini kutoka kwao. Ama kwa mwanaume wake. Sio mtanzania tena huyo.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Месяц назад
​@@peterhelpeterluena9191😂😂😂
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p Месяц назад
​@@halimamasai2234jibu kwa hoja onyesha utahila wake upo wapi
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Месяц назад
Wewe hungemuweza magufuli hata kama asingepiga kampeni huweji lile lilikuwa jiwe angekuwepo Leo tungekuwa mbali sana watz usiguse hapo kaka wewe pambana na Hali yako
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Месяц назад
Peleka ujinga wako kulee
@Samweli-uu1fv
@Samweli-uu1fv Месяц назад
​@@abuumohamed7090We ni duwanzi kweli nani wakumfananisha magufuli hili taka taka lenu hili
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 Месяц назад
Hakunaga kama Lissu hapa tz. mwendazake alikua Dikteta mkubwa sana.
@Samweli-uu1fv
@Samweli-uu1fv Месяц назад
@@taifaramadhan8684 na ukikaa vibaya atakulamba mana ana asili ushoga Kwa namna unavomtetea
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Kwa vile alishika Dola. Lkn kwa haki2 kama ingetendeka kulimjwa hakuna kitu.
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Месяц назад
Lisu na msigwa ni best
@romamtalambuga7
@romamtalambuga7 Месяц назад
Kwenye interview zake huyu kenge waga hamsahau JPM😅
@zulfajumapil7664
@zulfajumapil7664 Месяц назад
Alikipata Cha moto ndo maana hamsahau
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Месяц назад
Angekuwa baba Yako ungeongea hayo, acha ujinga
@seifhabib5987
@seifhabib5987 Месяц назад
Lazima Amtaje mana alitaka kuuliwa katika Utawala wa Magufuli na Watu wasiojulikana
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Месяц назад
​@@zulfajumapil7664alituma watu wamuue kafa yeye mwenzake kabaki yeye kashakuwa mavumbi huko
@bahatielias6443
@bahatielias6443 Месяц назад
Magufuli alikuwa malaika kwani?
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Месяц назад
❤❤❤tunakupenda❤❤❤sahihi kabisa.
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Месяц назад
mnapoteza muda2 lisu mama ni mama 2na ndio tuna Iman kubwa mno na raisi wetu mama yetu mm samia tuna mpenda mnoooo❤❤❤❤
@Noelkitoi
@Noelkitoi Месяц назад
Wewe uko nyuma ya wakati
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
Samia oyeee 💪💪💪💪💪
@eliaslukumay2268
@eliaslukumay2268 Месяц назад
Safiiiiii
@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp Месяц назад
Big up broo unaongea vzur had nashawishka kukupa kura yangu
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Месяц назад
Unampa kura ipi kabla ya uchaguzi,au unataka kumpa......
@floraashery224
@floraashery224 Месяц назад
I like what I hear❤
@ibba8082
@ibba8082 Месяц назад
Kwa UCHAFUNZI mnaweza
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Месяц назад
MASIKINI LISSU KWISHA KAWA MZEE KAMA ANAMIYAKA 100 NILISEMA MIYAKA MIWILI ILIOPITA LISSU ATAKUWA KAMA JON MACEN WA REPAPLICI WA MAREKANI KAPEWA CHANSI NA CHAMA CHAKE MARA NEE 4 HAKUPATA MPAKA AMEFARIKI DUNIA ALIKUWA NAMDOMO KUSHINDA LISSU
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
@@janiafaomaa5120 🤣🤣🤣🤣🤣
@johnmapunda99
@johnmapunda99 Месяц назад
Miyaka=??
@KijanawaYESU-w9x
@KijanawaYESU-w9x Месяц назад
Uko vizuri
@lupyanamatimbwi8064
@lupyanamatimbwi8064 Месяц назад
Lisu unajua kujibu maswali,na pia hukwepi swali
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Месяц назад
Bora Lisu awe Rais,maana tunapata shida kweli kweli
@KhalfanJuma-ii4fk
@KhalfanJuma-ii4fk Месяц назад
Jembeeeeee umerudi Asante kwa Kurejea salama.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Месяц назад
Jembe limekulima wapi?Acha kutamani wanaume wenzako wewe,huyu kashaolewa ubelgiji tafuta wa kwako
@user-vq6eo5vh3e
@user-vq6eo5vh3e Месяц назад
Hizo zote pumba
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 Месяц назад
Well done
@MawazoKitumbo
@MawazoKitumbo Месяц назад
Safi sana tunakuhitaj sana
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Месяц назад
Unamuhitaji wewe
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Месяц назад
Nyie nanyi hamna issues, nyie wenyewe hamko pamoja mmekas kimichongo
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Kwani CCM wako pamoja? Nako kuna2 makundi2 makubwa
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn Месяц назад
@@monicamwita7865haijalishi. Kila mtu ajiongelee sera zake mwenyewe bila kujali mwingine
@user-ib2ns8kf9h
@user-ib2ns8kf9h Месяц назад
Naipenda Chadema kwasababu ya Lisu
@peterswila3815
@peterswila3815 Месяц назад
Safi sana mwamba
@MALELEMBARIMO
@MALELEMBARIMO Месяц назад
Licentlii Lumas Laisi samia 😂😂😂😂😂😂 Waandishi wa habari wa TZ😂
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Месяц назад
R vs L it's national problem Rafiki wengine wanaita lafiki
@FrancisPanga-m9v
@FrancisPanga-m9v Месяц назад
hongera lisu
@ShaqharMagram
@ShaqharMagram Месяц назад
Watanzania tumelala Sana tunaongozwa na wasiotupenda alafu wakistaafu wanawaachia watotozao pia watuongoze lisu big up
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Месяц назад
Magufuli. Hayupo. Wewe. Pambana. Na hali yako. Acha. Kumsema vibaya. Marehemu. Nakupenda. Ila. Ukisema. Yaliyopita. Unaketa.
@rashidissa5887
@rashidissa5887 Месяц назад
Yeye anajua zaidi yaliyompata wakati wa Magufuli. Kama ingekuwa ni wewe bado ungemsifu Magu?
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Месяц назад
Ww unamjua vizur magu kuliko huyu aliemuizwa??
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 Месяц назад
Mweshimiwa nime via kofia wewe ni mtu mwadilifu sana katika nchi na chama chetu tume kupenda sana LISU... Kweli wewe unafaha kuwa kiongozi kwaku shirikiana na mwenyekiti Mbowe.
@Shaabanhmakiya
@Shaabanhmakiya Месяц назад
Ovyooooo huh uh
@allymbondo111
@allymbondo111 Месяц назад
Asipomtaja magu haridhiki huyu mzee😂😂
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Месяц назад
Ata mm naunga lisu magufri alikiwa mbaya sana, tena sana ktk siasa bt iz god for things devlopment not people devlpment
@user-sk6ly4oj9c
@user-sk6ly4oj9c Месяц назад
Usipo mtaja mtu alietaka kutoka uhai wake,atakua hajasema
@AdamShaban-uu4en
@AdamShaban-uu4en Месяц назад
Asitajwe magu atajwe nani hitla bado anatajwa seize magu hafahamiki dunian acheni unafiki aliku bwanako
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Hata ungekuwa wewe, mtu aliyetaka kukumaliza lam utamsema
@browskymuba6923
@browskymuba6923 Месяц назад
Tatizo lissu na chadema imipoteza mvuto so hata wafuwasi hakuna tena kipindi chenu kilikuwa cha lowassa chance ndo ilikuwa Ile Ile
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Месяц назад
Mujinga wewe
@SaidiSelemani-l1n
@SaidiSelemani-l1n Месяц назад
Karibu bb
@eliaslukumay2268
@eliaslukumay2268 Месяц назад
😢Hamna kitu
@KilonzoGodson
@KilonzoGodson Месяц назад
Mwenye D 2 tu ndie akaemuelewa Lisu kwamba anakubaliana na Msigwa Anakuja na msimamo wa kutaka tuhuma za Msigwa zijibiwe kwa Evidence Hii ni kutokana na kwamba anajua mali hizo pesa nk huko kwa katibu wao na baraza la wadhamini havipo. Asieamini tuupe muda nafasi.
@pascalmgina
@pascalmgina Месяц назад
Genius
@SaLUSIMOSI
@SaLUSIMOSI Месяц назад
Ok👍
@HamzaHeri
@HamzaHeri Месяц назад
SASA HUYO SIAMETOKA KWA MABWANA ZAKE ANAHELLA HUYO HUYO NIKIBARAKA
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Месяц назад
Kwa hiyo serekali yetu sio kibaraka wa wazungu..
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c Месяц назад
Wanasemaga ET nawe shoga nikweli?
@msafiriamani1824
@msafiriamani1824 Месяц назад
Wemwenye unabwana wako
@abdalla8193
@abdalla8193 Месяц назад
Kuweni na tahadhari na wanao tumwa na CCM msiwape nafasi akina Nape
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Uko2 sahibi5
@GEORGEMALUMBO
@GEORGEMALUMBO Месяц назад
Always negative responses. Arrogant Intelligent attitude
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Месяц назад
Lisu umejibu vyema sana
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Месяц назад
Ukimsikiliza anachojibu kuhusu msigwa utagundua Yuko pamoja nae...
@NangaSaidi
@NangaSaidi Месяц назад
Kwani huyu jamaa anapenda maneno ya vitisho usitutishe machafuko wewe ndie utakae leta machafuko
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Mbona CCM wanatishia sana
@maselejustine7236
@maselejustine7236 Месяц назад
Nampenda Rais wangu,mingine ni midomo
@JamesMjengwa
@JamesMjengwa Месяц назад
Asante lissu 7:37
@franciskarangwa6554
@franciskarangwa6554 Месяц назад
In politics it's good to have opposition in politics >> but but but but >> this guy in Tanzania >> most likely he will never ever ever >get into any power in Tanzania >> MUDOMO TO!!
@bernardbundala5687
@bernardbundala5687 Месяц назад
💯 Percent
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
ii inchi siku kiwake kwanza kama kenya..tueshimiane umu ndani
@profs.a5412
@profs.a5412 Месяц назад
Lisu ungerudi bungeni , huko kwenye uraisi acha nako...ingia bungeni ukawagaragaze akina tulia, wanajifanya waijua saaaaana sheria😅
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 Месяц назад
Wewe huwezi kuwagaragaza mpaka Lisu?
@MATIKO9640
@MATIKO9640 Месяц назад
Lisu kwa leo nimekuelewa
@khamis9187
@khamis9187 Месяц назад
Chadema mpo vzuri kwa kukosoa ccm, lakin nikwasababu hamjaingia ikulu tu, tusidanganyane watz tunafanana, we mwenyewe lisu kutwa ziara za ulaya, una mpango gani uko ulaya, hebu tuambie!!.
@OkoaAyub
@OkoaAyub Месяц назад
Anatibiwa huko kwa kunyunyiziwa risasi na haohao,eem breath out&in imagine ingekuwa wew umepitia hayo
@omaryramadhani290
@omaryramadhani290 Месяц назад
Karibu mkuu Nani ya nchi yako
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg Месяц назад
Nyie mbwa mbona mnakata kata maneno lisu yenye point😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@DamianoLeonard-pv2kx
@DamianoLeonard-pv2kx Месяц назад
Salut
@user-dj1os5ib8x
@user-dj1os5ib8x Месяц назад
Lissu we hufai hata kusikilizwa,mana ww unaunga mkono wapigwe miti,au huko ulaya ww unapigwa miti?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
@@user-dj1os5ib8x unafilwa huko ccm
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t Месяц назад
Masikio mengine ni kama mapambo
@AdamShaban-uu4en
@AdamShaban-uu4en Месяц назад
Hamsomi lisu hasimii watu kupigwa miti yeye amesomea Sheria mnatunga mambo yakijinga ndomana nchi imekuw a inatawaliwa na waongo mna piga makofi nchi hii itaja erevuka endapo wajinga na wavivu wa nchi hii kufariki wote
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Kwako hafai, wengine2 tunamuelewa sana. Umelazimishwa mumsikiza
@mentor07
@mentor07 Месяц назад
Lissu amethibitisha usomi wake. Hii ndio maana ya kiongozi msomi..
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Месяц назад
Wana nguvu hao kiongozi kama hujui sikiliza kila ufisadi alioufanya ndio utajua ana nguvu au nguvu sio pesa mi naona ananguvu ndugu yangu
@FrancisPanga-m9v
@FrancisPanga-m9v Месяц назад
ww ni rais mtarajiwa wa nchi yetu
@frednyangwechi774
@frednyangwechi774 Месяц назад
Hapo kwa uraisi mzee sioni kabisa
@happymushi4493
@happymushi4493 Месяц назад
Kichaa tu ndio atakuwa haoni
@visionstudios6804
@visionstudios6804 Месяц назад
Hongera waanfishi mmeuliza maswali yenye logic
@Paplick9
@Paplick9 Месяц назад
Brain act 🙌🧠
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Месяц назад
Lisu gongakopa maana unamkubari samia kimoyomoyo brother
@JovinRichard-x3u
@JovinRichard-x3u Месяц назад
Wewe kichaa tuu hayo mambo unayajua wewe pambana na sera zako
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
Kuma la mamako kafilwe na maKuma wenzio huko ccm Kuma wewe
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
​@@emmapaul1766duuu
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s Месяц назад
Hembu kuwa na adabu wewe mwehu nini
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s Месяц назад
Safi Mr lisu
@PeterSaramba
@PeterSaramba Месяц назад
Wewe kichaa na ndyo sababu unaona wengine kama vile ni kichaa kama Wewe. Ila wakati mwingine kama hauna majibu mazuri ya kujibu nyamaza kwani kunyamza mako ni jibu.
@dicksonlucumay4551
@dicksonlucumay4551 Месяц назад
Atupigi kura waweke izo za haramu za nape tu af wakimaliza wapige goti 😊
@EzekielTipaa
@EzekielTipaa Месяц назад
DIWANI WA KATA KWEDIBOMA ANABAGUWA WAMASAI KUNYANGWANYA WAFUGAJI WA KWEDIGOLE ENEO YA MALISHO KWEDIGOLE NA KUWAUWA MIFUGO WETU KWA SUMU KWAHIYO TUNAOMBA CHADEMA ATUSEMEYE KUHUDHU DIWANI HUYU ANAOBAGUWA WSMASAI
@georgefesto8455
@georgefesto8455 Месяц назад
Mbona vitisho sana!? Au kwa sababu una pa kukimbilia ndo maana unawaza ugomvi tu!?
@bashayabenjamin-ot7xi
@bashayabenjamin-ot7xi Месяц назад
Mwache Mzee Magu alale boya wewe!
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Месяц назад
Mama samia mi 5 tena 2025 @cha porojo mzee?
@user-vg9bu6zv8v
@user-vg9bu6zv8v Месяц назад
Kwann wahamiaji Hawa wa ccm wakijakwenu mnawapa uongoz? Hapo tu, ndipomnapo yumba chadema
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
Nioependa sana makba.maana.lile baba senge Barabara ya bumbuli imemshinda. Mbwa yule maadala angetengeneza Barabara kabla ya kutumbuliwa makamba mtu wa hovyo kabisa
@khamis9187
@khamis9187 Месяц назад
We lisu mimi nina mashaka na uzalendo wako, hujawa rais bado lakini mda mwingi upo ulaya, ivi tukikukabidhi nchi ikulu ya tz si itahamia ubelgiji!!?
@davidtupa6599
@davidtupa6599 Месяц назад
Msingwa ni wakupuuzwa hata ndani na nje ya ccm na waTanzania wote kwani amehama baada ya kukosa uenyekiti. Na yeye anajua maadiko yeye analipa mabaya kwa mema basi mabaya hayatamuondokea
@gitanokambarage8789
@gitanokambarage8789 Месяц назад
Kwa safari hii ccm wakitaka kumkalisha huyu kwenye uchaguzi 2025 ni kumweka makonda tuu, nje ya hapo chadema naiona juu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
jmni Mh Lissu ni mtu wa wapi? songea au? mtu poa sana huyu jmni
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Месяц назад
Nimtu wasingida
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
@@Aisha-lj8bu oh ok asante
@rom-karangakorosho
@rom-karangakorosho Месяц назад
Awe mtu wa songea angekuwa na akili kama lisu songea wanatokea akina mrisho mpoto,bambo hamna kitu kule songea 😂😂😂
@Noelkitoi
@Noelkitoi Месяц назад
Lisu tuko pamoja mzee
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Месяц назад
Kama chadema sio chama cha mtu 1, na unathibitisha hadharani,, tuonyesheni hati ya chama, hadharani, ikiwa ni cha taifa kwa ujumla! Na sisi tulohama, tutarudi.
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c Месяц назад
We endelea namafisadi walatukutaki
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Месяц назад
Seriously? Unauliza hilo swali hapa?
@BensonMpete
@BensonMpete Месяц назад
😂😂😂mtaalam huyo apa
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Месяц назад
Kumbe shida ni uenyekiti?? Ni dongo kubwa saana
@Nassor2377
@Nassor2377 Месяц назад
Heeee kiongozi wajamii anaetegemewa katika siasa za tanzania kavaa kidani sasa anafundisha nini ktkjamiii yeye na huyo mlinzi wake yaani wapo kama wasaniii wa bongo fleva
@africanheroestz-acapella2458
@africanheroestz-acapella2458 Месяц назад
Sijui ni uelewa wangu au ni nini nikama vile upinzani unaishiwa nguvu
@majaliwamgala7638
@majaliwamgala7638 Месяц назад
Makamu umerudi lakini bado hoja za kujibu nyingi sana
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Месяц назад
Lisu anatisha yuko vizur mno
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq Месяц назад
Nimemuelewa sana lisu leo haswa inatakiwa baadhi ya hoja zijibiwe na katibu mkuu haswa mambo ya fedha
@saimonmollel4823
@saimonmollel4823 Месяц назад
Acha waulize maswali lakini wao pia wajiulize maswali
Далее
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
Просмотров 27 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн