Daah huyu mzee Mungu kamuumba kipekee na ni watofauti sanaa Huyu Mzee Mmoja ni sawa na Ma ccm wote ni Ndio Maana ana wapa STRESS HAO WARAFI WA MADARAKA NA WAZEE WA RIBA NA TOZO MUNGU AWAHUKUM CCM DUNIANI NA AKHERA AAAMINI!!
Nchi ya Tanzania hakuna amani kabisa, Maana ya Dermocrasi ni ipi?Hawa police wamekua vibaraka wa Ccm kabisa hawana maana hawa police,police mmekua adui namba moja wa umma.
Poleni sana mtani jibu ni Hilo tu" Mungu Awarehemu" kuwashitaki waliotumwa na Dola kwenye mahakama mtafanikiwa??? Fungeni Mungu ataleta majibu au kubalin kukaliwa kooni
Siasa ya nchi hii hamtaiweza nibora mviache tuteseke wote kweli mnaamusha ali ya viongoz lakini mnaumizwa mm ningewaomba mjionee huruma kes mnapeleka kwao hakuna msada
Sasa we lissu kwann lakin unacceptable tafutia nchi yetu shida kwa ayo maingezi yako ambayo ata ayana maan yeyote au kwasababu mama ndio yupo uwongozini Yaan nasema mm ningeka asikari ungeona moto