Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

🔴#Live: HIKI NDICHO KILICHOMUONDOA CHAMA SIMBA -MO DEWJ HAKUMTAKA? SALEH JEMBE KAFUNGUKA SIRI YOTE..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf 3 месяца назад
Kwa hiki Simba walichokifanya kwa chamba nawapongeza Sana uongozi wangu kwa kuchukua maamzi hayo magumu, hakika Mimi nimechoka Sana na Chama maana alikuwa Ni mtu wa kutengeneza maguroup ya usaliti miongoni mwa wachezaji na kujiona yeye Ni wa maana Sana kuliko Simba. 👏👏👏👏👏👏
@EsterMpogole
@EsterMpogole 3 месяца назад
Namimi nauga Mkono kuodoka Kwa chama
@miangijunior4358
@miangijunior4358 3 месяца назад
Safi bro Uchambuzi mzuri Tena uliotulio na wenye Utondoti
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 месяца назад
Simba ndiyo Club kubwa Tanzania..Ligi tangu ianze inaongelewa Simba, ligi imeisha inaongelewa Simba, usajili umeanza inaongelewa Simba..Huu ndo ukubwa wa Simba..asee All fans of Simba be Proudly...💪 Usajili wa Chama usichukuliwe ki Hasira Viongozi tulizeni akili msizivae Propaganda tengenezeni utulivu..Kwenye Sajili ya Chama.
@saidmngai9504
@saidmngai9504 3 месяца назад
Chama asiwatoe relini yeye ndo mkude aliekuwa kabaki Simba wachezaj wote kawatafutia madem nikison bonge la tako tabata
@AllyMohammed-nv5sj
@AllyMohammed-nv5sj 3 месяца назад
Safi sana aondoke tu ni msumbufu sana
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 3 месяца назад
Jembe umeongea vizuri sana. Costal waache tamaa biashara ilishakwishaa hiyo imeendaaa😂😂😂😂
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 3 месяца назад
Umeongea vzr
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 3 месяца назад
Uko sawa Jembe
@ibrahimngitu6072
@ibrahimngitu6072 3 месяца назад
Chama ni msumbufu wacha aende akawasumbue sasa
@barnabasmatonya2635
@barnabasmatonya2635 3 месяца назад
Tz kila mtu anaongea hata kama hamna official info
@absm8084
@absm8084 3 месяца назад
Nasema hivi chama aondoke mara moja
@stanslausmachege2179
@stanslausmachege2179 3 месяца назад
Katika watu wenye kumchukia Chama ni huu Jembe naona kampeni yake imefanikiwa ngoja tuone sasa hayupo
@yuzoooyuso583
@yuzoooyuso583 3 месяца назад
Mnaombeza ni mashabiki wa vyura nyokanyoka ikisemwa Simba vibaya hua mnaona raha.simba pia inamazuri na si gongo wazi Ina mazuriii mjue inamabaya.hivyo sio Simba Kila baya ni lao.
@kanoleausi4204
@kanoleausi4204 3 месяца назад
Mnafiki huyo. ustaarabu gani coastal wafanye? FEI alivunja mkataba huyu akatetea leo anatumia ushabiki wake kutetea makosa ya Simba
@saimonntani6831
@saimonntani6831 3 месяца назад
Feisali alivunja mkataba .sasa lawi amevunja mkataba? Mbonawewe statment yako haina mikono wala Miguu?
@kanoleausi4204
@kanoleausi4204 3 месяца назад
@@saimonntani6831 "Tutaelewana tu kidogo kidogo ngoja tuoneshane kwanza makali" Dr shika
@saimonntani6831
@saimonntani6831 3 месяца назад
@@kanoleausi4204 hapo hamna makali .huyo lawi atacheza Simba bila samia kuingilia kati.mchezaji mwenyewe anapenda kucheza Timu kubwa East Africa.hizo kelele zachura tuu.hamna cha ulaya wala nini.Atakipiga Simba namtakunyata vijuso vyenu kama uchi.
@MalongoBayege
@MalongoBayege 3 месяца назад
Watoto sita unaomba talaka?.si bora uende tu,na uzuri umekwishia
@saidmngai9504
@saidmngai9504 3 месяца назад
Sawa katugomea mchukueni kaeni nae
@AbdullyMtwane
@AbdullyMtwane 3 месяца назад
Vp kuusu lameki law
@bashrkahabuka8835
@bashrkahabuka8835 3 месяца назад
Mwanzo niliamini kuwa anatumia akili sana baadae nimegundua anatumie zaidi unazi tu na nafikiri huyu ni msaidizi wa ahmedi ally
@mohdabdalla7070
@mohdabdalla7070 3 месяца назад
uyu jamaa ni muongo et simba wamemuacha chama wakat simba ndio zaid ya wiki ya pili hii wanahangaika kumuomba chama aongeze mkataba lakini kawagomea mnatak kusema nn wachovu nyie mpira pesa saiv sio makelele wtu wameshampa anacho hitaj bakini na maumivu yenu kuku nye
@omarijuma1136
@omarijuma1136 3 месяца назад
Unaweza ukatupa ushaidi
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 3 месяца назад
Ndo mwisho wa chama
@TedyElisha
@TedyElisha 3 месяца назад
Hakun maamivu wala nin wew acha 2 aje kweny Majin fc
@AdhamAlliy-mg5py
@AdhamAlliy-mg5py 3 месяца назад
Matusi yanini ligi ulivyo Anza Simba ndo ilio kua inaongelewa zaid na ilivyo Isha pia ndio timu inayo zungumziwa mmechukua ubingwa lkn bado hamjiamini nata ciku mnapokea kombe mlikua watano uwanjani
Далее
🕊️Valera🕊️
00:34
Просмотров 3,1 млн
🕊️Valera🕊️
00:34
Просмотров 3,1 млн