Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
​​Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@hawababy120
@hawababy120 2 месяца назад
Da Amina unajichanganaya pepo yako iko chini ya miguu ya mme wako sio.mzazi.ila napenda unavonyoosha maneno❤
@mamakayla6697
@mamakayla6697 2 месяца назад
Amina wangu tulia tu umvumilie mumeo na umuheshimu,utawafadhaisha watoto rafiki yangu,waonee huruma wanao kipenzi.Mungu atakulinda Amina wangu kwa jina la YESU.
@merinajuma6948
@merinajuma6948 Месяц назад
mimi nakupnda nanimekuelewa sna ndgu yangu kama kunamambo hjpitia kwenye ndoa huwez kuelewa ibkia t hvyo mimi nimekuelewa🔥
@Atijasumail
@Atijasumail 2 месяца назад
Nakupenda sana dadaangu amina nimependa ulivio ongea nipo Mozambique
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Месяц назад
Da Amina umefanana na marehemu mama Abdullh❤
@neemawekab2306
@neemawekab2306 2 месяца назад
Huyu dada Amina huwa nampenda sana no mara whaa ❤
@TediFwoma
@TediFwoma 2 месяца назад
Dada amina nakupenda sana mie nakupenda tena tena ❤❤❤❤❤
@salmakashindi4629
@salmakashindi4629 2 месяца назад
Yani ana ongea kwa hisia saana l love you so much Amina you are so beautiful ❤
@ZubedaMrutu
@ZubedaMrutu 2 месяца назад
Yani haujawai kuni kere dada Amina Niko pamoja na ww kama umechoka ondoka ila kama Yana vumilika vumilia
@farahali6041
@farahali6041 2 месяца назад
ila Amina unampenda sanaaa dula
@mwanaidi-bq4uu
@mwanaidi-bq4uu Месяц назад
Mama mashavu oeh napenda sana anavo ongea❤
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 2 месяца назад
Jaman mie nampenda huyu dada niko oman naomba umrudue mumeo maisha ya ndoa stara my nakupenda sn❤❤❤❤❤❤❤❤
@annamussa185
@annamussa185 2 месяца назад
Sasa kama uko Oman😅mnachekeshaga hiyo nayo nchi ya kutangazia watu😅😅😅
@AminaAminjay-dv8tr
@AminaAminjay-dv8tr 2 месяца назад
Bora umekohoa ndug huwa nashagaa san😂😂​@@annamussa185
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 месяца назад
Ndoa ya kikristo kanisani ww km muislam unalionaje hilo😂😂
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 месяца назад
​@@annamussa185jamani usiwacheke mathalani wako nje ya bara la Africa ❤
@lidiamwaisala3630
@lidiamwaisala3630 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂​@@annamussa185
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 2 месяца назад
Yani Amina km tumezaliwa siku 1 mie hata tujenge hekalu ukianz zarau nakumwaga mchana kweupeee
@DarKopo
@DarKopo 2 месяца назад
Mtangazaji hupo vzr una maswali ya kuelimisha jamii na unajua kuhoji
@HabibaHassan-t2u
@HabibaHassan-t2u 2 месяца назад
Amina hua nakupenda sana dada❤❤❤❤❤❤❤
@GloriaNikiza
@GloriaNikiza 2 месяца назад
Amina nampenda anavoongeya
@Salmamkwendasalmamkwenda
@Salmamkwendasalmamkwenda 2 месяца назад
Nakupenda sana. Dada Amina
@qz680
@qz680 2 месяца назад
NAAGALIA FROM UK PLEASE CAN WE HAVE ISHA MASHAUZI ON INTERVIEW
@MariamHamisi-oe1bx
@MariamHamisi-oe1bx Месяц назад
Mwanamke akichoka amechoka
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 2 месяца назад
Jamani Amina ishi kwa malengo. Mmeo ulianza nae malizana nae kwa kulea watoto pamoja mtoto ni wazazi wa wawili.
@fatumastv
@fatumastv 2 месяца назад
Duuu Amina tulia na mumeo watoto wapate upenda wapande mbili ❤❤❤ aya maswala akuwacha inaumiza sana wtto 😢😢
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
❤❤Amina vikoba
@ShalifaMton
@ShalifaMton 2 месяца назад
Nikweli dada mwanamke akichoka humwambii kitu
@fatumastv
@fatumastv 2 месяца назад
Gani ebu mshaurini Amina atulie na baby wake watota mnawatesa jaman
@mwatummselem2411
@mwatummselem2411 2 месяца назад
Mungu mjalinye heri lakini kAnamumeo mulewatotowenu
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
Ukweli usemwe. Mwanamke akichoka yuko tayari hata kufa lakini kwa aliyemchoka hakai.
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod Месяц назад
Naskia laha hatali😂😂😂😂 AMINA KIKOBO NI NASKIA RAHA HATARIII😅
@emanuelmwampashi9761
@emanuelmwampashi9761 2 месяца назад
Huyu mama Asikatae kuwa baada ya kutoboa kwenye sanaa yake, ndiomaana mume akisema kama mume anaona kama anamfokea
@Naju645
@Naju645 2 месяца назад
Ndoa nistara kweli lakin ikishindika mnaachana Kwa wema unatafuta stara ingine
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Месяц назад
Hayo madonda ni Manara huyo😮😮
@farajaphilipo8844
@farajaphilipo8844 2 месяца назад
Winnifrida mwenyew dada tunaye kwenye konekisheni
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 2 месяца назад
Nimekuelewa sana ila bado mijanamke mingine inateseka kisa eti nimezaa
@mamakayla6697
@mamakayla6697 2 месяца назад
Amina ila usiwe unapaka makeup ya kupitiliza kama hii ya interview ya leo,unabadilika sana nakupenda kwa sura yako halisi,wewe ni mzuri bhana.
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 2 месяца назад
Huyo amina nikichechetu nazani hapo munapotosha wana wake wengine
@mymuhnabdallahshaban7763
@mymuhnabdallahshaban7763 2 месяца назад
Ana potosha nin unatak aje kuuliwa saiv wat wnauwana km nin
@JanethMadios
@JanethMadios Месяц назад
Kwenda zako kule wewe unajua anapitia nini kwenye nyumba yake??? Au unajiongelea tuu kama kichaa vile
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 месяца назад
Amina anachoongea niko pamoja nae
@Naju645
@Naju645 2 месяца назад
Ndoa nyingi zipo kwaajili yawatoto Tu upendo ulisha isha
@esterMahenge
@esterMahenge 2 месяца назад
Kbs
@barbiepixie92
@barbiepixie92 2 месяца назад
Mapenzi huwa hayawi motomoto kama mlivokutana watu hawataki kuelewa hilo, watoto wanaoishi na wazazi wao wana furaha na huwa stable zaidi ya wale wanaolelewa na mzazi mmoja hata kimaadili pia, kuachana achana sio ishu labda kama mwanaume anakupiga
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 2 месяца назад
Jamani mimi sipo upande wowote ira hapo hakuna lamana analo zungumuza kwanza dada kama huyi nimuchawi maana yeye ana achikatu kila mwana mume
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 месяца назад
Yaani hauko upande wowote hapo hapo unasema mchawi na hana la maana 😮😮
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 2 месяца назад
​@@spreadlove5300chenga hiyo ipo hopresii kichwani😂😂asa hayupo upande wowote halafu anamwambia mwenzake mchawi
@JanethMadios
@JanethMadios Месяц назад
Kwanza hujui kuandika
@AyshaYassin-hm5xo
@AyshaYassin-hm5xo Месяц назад
Kasome kwanza alaf uje uandike vzr
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 месяца назад
Mhm hilo liwigi hapana kwakweli Lmekaa vibaya.bora hata ungesuka rasta Eti staki kufa mpka niwe producer Kumuabudu mungu aah😢
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Месяц назад
Acheni kushabikia unyanyasaji mtu kupigwa ni Jambo la kukemea sio la utani utani wewe mwanaume mzima unacheka mtu kupigwa?
@yakfizahran4536
@yakfizahran4536 2 месяца назад
Nilitak kushangaa amina mbona kapendez kumbe kaachwa😂
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 2 месяца назад
Na sijui kwanini mtu ukiachwa unapendeza
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 месяца назад
Miaka 6 umezini halafu unasema hupendi zinaa na kwenye ndoa hukukaa duh
@ZubedaMrutu
@ZubedaMrutu 2 месяца назад
Mh
@GadsonEnos
@GadsonEnos 2 месяца назад
We mjuaji acha hizo
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 2 месяца назад
Watu tuna takiwa tusome dini, wakati uki olewa pepo yako inakua chini ya miguu ya mumeo sio kwa wazazi tena.. Japo naku penda sana Da Amina
@HabibaHassan-t2u
@HabibaHassan-t2u 2 месяца назад
Yeah ni kweli ❤❤❤
@susans4490
@susans4490 Месяц назад
Pepo yako ipo chini ya mumeo ukishaolewa
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Et nilolew kisilam. Kwa hiyo sai umeolew kikirsto am pole san
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 2 месяца назад
Ndio ari ahidi tena sana ira huyo nimtu wamatukio kira sehemu
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 2 месяца назад
Hata mume pia ni pepo yko
@BlessingsJosephMsofe
@BlessingsJosephMsofe 2 месяца назад
Kwakweli dada ukiona mambo yamekushinda kuyavumilia Bora ukae TU pembeni maana ukinang'anina ndoa kisa watoto Utakufa uwaache wanateseka
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [60]
23:51
Просмотров 88 тыс.
Жалоба на Шойгу принята
0:31
Просмотров 1,1 млн
Даже Рокфеллер в шоке 🤯
0:20
Просмотров 2,8 млн