Тёмный
No video :(

🔴 

PMTV TANZANIA
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en...
NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE RU-vid CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@user-ec3iz6pg2i
@user-ec3iz6pg2i Месяц назад
Huyu mjinga sana
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 Месяц назад
Wanangu ninyi wa maana kabisa.Sema kuna muda kutokana na upenzi wa timu tunawaona kama mnaisakama simba. All in all nmewaelew sana. Simba this time hawatakiwi ku focus na mambo haya yatapoteza muda na tention
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
unaharibu reputation ya TV yenu
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Месяц назад
Simba walimwachia Kajula kufanya kazi zake bila kumwingilia. Sema Kajula ni Mtendaji mzuri kiuchumi na kibiashara lakini hakuzoea kazi zenye presha hasa kutoka kwa Mashabiki na Wanachama. Kwa mfano timu ilipofanya vibaya naye alikuwa anamtukana kama na yeye kusababisha timu kufanya vibaya. Sasa mambo kama haya kwa mtu kistaarabu hawezi kuvumilia.
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Месяц назад
Kesi nyingi za soka zinatengenezea na TFF yenyewe kwa faida ya upande wanaoushabikia waonkama TFF. Kuna matumixi mabaya ya madaraka huko TFF Na maamuzi mengi yanalenga kuwanufaisha wale wa upande ule ambao wao wanashabikia.
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Месяц назад
Sasa kama Azam wanamtaka Manula kwanini wasvunje mkataba kule Simba ili wamchukue? Hili nalo ni la kuwalaumu Simba? Simba hawajasema kuwa hawamtaki. Ni Manula mwenyewe kaamua kajitenga. Yeye avunje tu mkataba awe huru au aamua kubaki Simba asugue benchi kwani siyo siri kiwango chake kimeshuka. Hawezi kupata namba mbele ya Lakred.
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Месяц назад
Huyu mjinga anasema ati Simba waconcetrate na ujenzi wa timu wamwachie Chama aendelee na maisha yake. Je umewauliza Simba kwanini hawajatoa release letter au unafikiria tu kichwani kwako. Huo ni uvivu wa kufikiri. Simba si wajinga lazima wanasababu. Usiwawekee maneno mdomoni. Nenda kawahoji ndiyo uje kwenye media.
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Месяц назад
HAPO MNAJADILI NN ? MKATABA SIMBA ALIPEWA SIKU NA TAREHE ZA KUMALIZA DENI MUDA UMEISHA DENI SIMBA AIKULIPA KWA HIYO HAPO MKATABA UNAKUWA USHAKUFA SIJUI SIMBA WANADA NN ?
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
wacha uyanga wako Simba Wana points pesa ilichukuliwa
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
nyie ni tff?MSI prejudge simba
Далее