Тёмный
No video :(

🔴 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 85 тыс.
50% 1

🔴#LIVE: MZEE MAGOMA ANAFUNGUKA A-Z UKWELI WA KESI YAKE NA YANGA (SPORTS ARENA 17/7/2024)

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@laurentkirigiti
@laurentkirigiti Месяц назад
Kimataifa leo naomba mtusadie kujua tofauti kati ya timu kuwa nzuri na kuwa na kizazi cha dhahabu kwa sabu belgium 🇧🇪 hwawakufanya makubwa sana kwenye world Cup na euro lakin franch walio fany vzr toka 2016 mpk leo lakini hwatajwi kuwa na kizazi cha dhahabu
@godfreyMchomvu-q2d
@godfreyMchomvu-q2d Месяц назад
Yanga oyeeeee
@NickisonJonathan
@NickisonJonathan Месяц назад
Uyo mzeh kazeeka vibay mmkapime akali
@Mhappy5
@Mhappy5 Месяц назад
Mzee anataka aende na engineer au nan😒
@user-ho5qb7sc2o
@user-ho5qb7sc2o Месяц назад
Huko alikotoka pia hawamtaki,Kwa ujumla hakubaliki asituvuruge, Ingekuwa wote tunaruhusiwa kuwa viongozi Kila mtu ingekuwa Rais wa nchi Hatukutaki mzee kalime majukumu yako mengi usimsumbue Rais wetu Engineer Hers
@zombokoyassin-li8sd
@zombokoyassin-li8sd Месяц назад
Inasikitisha sana, cc tunamuwaza chama atauwasha naona gani moto akiwa na pca huyu mzee nae anaivuruga tena yanga da! Katumwa co bure hiii tena unaiingiza kwenye mgogoro tena kweli? Huyu mzee kanichanganya leo
@zombokoyassin-li8sd
@zombokoyassin-li8sd Месяц назад
Njaaa kali, kwann yanga ikiwa inafanya vizuri ndio yanaibuka haya? Gsm atoke na injinia wake yeye ataweza kuendesha tim?
@user-lp5rp3mt5e
@user-lp5rp3mt5e Месяц назад
Huyu mzee msenge 2
@user-ou1mb7mn1d
@user-ou1mb7mn1d Месяц назад
Wazee wa dar mnanjaa sana hv yanga ni ya dar tu
@FahadBey-ub2rz
@FahadBey-ub2rz Месяц назад
Kumbe ww unajua yanga ni ya wap!??
@david255chengula5
@david255chengula5 Месяц назад
Kwani uyu mzee tukimfuta uanacha ma sisi kama wanachama kuna shido?
@user-lp5rp3mt5e
@user-lp5rp3mt5e Месяц назад
Amna Shido kabisa
@SportsRaha
@SportsRaha Месяц назад
Tatizo la waTz ndo hilo mzee kaona mbali ila kutokana jambo limekuja wakati Yanga inapata mafanikio wanamuona mzee chenga ila baadae mambo yakienda kombo ndo watamkumbuka
@paolo4584
@paolo4584 Месяц назад
Huyu mzee ana hoja kubwa sana sema.. mbumbu wengi wamemezwa na furaha😅
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch Месяц назад
Huna akili hata wewe
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch Месяц назад
​@@paolo4584kwa hivyo wabunge wanaotuwakilishqga bungeni sio sawa wananch wote tuende bungeni
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 Месяц назад
Hata nyinyi mlimuona kigwangala chenga lkn hatukuwaingilia kwenye mambo yenu
@MileyMziray
@MileyMziray Месяц назад
Kalombwe
@ConfusedJellyFish-zi5fb
@ConfusedJellyFish-zi5fb Месяц назад
Hivi huyo Mzee anamchango gani kwa yanga au yeye akijivua uanachama yanga itapungukiwa nini atoe njaa hapa na arudishe kadi ya timu yetu
@JumaKigambo
@JumaKigambo Месяц назад
Wanaweza kuwa na faida kwenye bakuli hivyo kwa sasa Mambo yao nimagumu
@saidaltamimu7930
@saidaltamimu7930 Месяц назад
Huyu Mzee anataka kuwapa watu dhambi fisad
@user-lp5rp3mt5e
@user-lp5rp3mt5e Месяц назад
Samaki mmoja akioza unamtoa unatupa wengine unapasha !!! Huyu mzee atuache !
@dominicmasele750
@dominicmasele750 Месяц назад
Naomba kujua kwa nini Magoma hana tawi mpaka saiv? Na je amejaribu kuomba uongozi kwenye tawi ili apate nafac iyo anaililia amekosa?
@thabit5775
@thabit5775 Месяц назад
Mzee yuko sawa
@DrNyamwiMSMD
@DrNyamwiMSMD Месяц назад
Mzee Ana point
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Месяц назад
Kitenge kelele nyingi hutoi nafasi kwa wenzio.
@VedasElly
@VedasElly Месяц назад
Hana hoja ya maana
@BuraK-bk9iw
@BuraK-bk9iw Месяц назад
kuna mazee mengine hua yanazeeka vibaya kabisa
@salumhamisi22
@salumhamisi22 Месяц назад
kwa vile anapingana na maslahi yako?
@rahmasaid9588
@rahmasaid9588 Месяц назад
mnafiki huyo si mwanachama tena
@almortabaz_Tz
@almortabaz_Tz Месяц назад
Hawala anafosi kuwa sawa na waife
@DeogratiusMwachali-uy1kx
@DeogratiusMwachali-uy1kx Месяц назад
Huyu mzee mbona kama anatuchanganya na anajichanganya mwenyewe
@yusuphabubakary2030
@yusuphabubakary2030 Месяц назад
magoma mwez ujao aachiwe amlipe aziz ki mshahara
@ramadhanihassani6825
@ramadhanihassani6825 Месяц назад
Anatumiwa na simba
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch Месяц назад
Kwa hivyo huyu mzee anataka hata sisi wananch tuende bungeni wote mana wabunge bekeyake ni kosa serikari inatubagua wananch hana akili huyu mzee
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Месяц назад
Huyu mzee siyo mtanzania uhamiaji muiteni huyu mzee ahojiwe uraia wake inaonekana anapenda vurugu nakufanya amani kutoweka
@Jaibi-j1p
@Jaibi-j1p Месяц назад
Hapa kazi tu.
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Месяц назад
Kwa sasa Yanga haimtambui huyo mtu😅, mnajisumbua bureee
@husseinmillinga
@husseinmillinga Месяц назад
Hii nayo kiki
@karenlema4317
@karenlema4317 Месяц назад
Mzee Hana hoja ya maana kiukweli
@johnsilima1629
@johnsilima1629 Месяц назад
Pameanza kuchangamka Ubaya ubwela😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@francisnyeriga
@francisnyeriga Месяц назад
Huyo mzee sio mwanachama hai hana haki ya kuongea chochote miaka 4 hajalipia kadi yake
@ibrahimismail8239
@ibrahimismail8239 Месяц назад
Sasa..nanyie..wasafi..mtu..anaongea..alafu..mnamkatisha..kisa..matangazo..sio..sawa..jirekebisheni..mnatakiwa..kujua..mda..gani..wamatangazo..mdagani..wakuongea
@MysarahMohamed
@MysarahMohamed Месяц назад
Sema kitenge kweny suala la Yanga humwambii kitu😅😅😅😅🙌🙌🙌
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 Месяц назад
Naomba wizara husika iliangalie jambo hili huyu mzee ataka kuleta vurugu na kuondoa utulivu nchi uliokua nao,hembu serekali iliangalie hili kwanza tunakabiliwa na chaguzi serekali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka kesho jambo hili laweza kudhoofisha chaguzi zetu tunaomba utulivu Yanga ina watu wengi nchi nzima twataka utulivu twende kwenye chaguzi zetu kwa amani.
@geophreymchunguzi7144
@geophreymchunguzi7144 Месяц назад
Kwa magoma ni wapi wanyanga tukamsalimie?
@karenlema4317
@karenlema4317 Месяц назад
Sasa tukienda wote kwenye mkutano tutatosha huko mkutano mkuu hii kali
@Khalfan-wp8wm
@Khalfan-wp8wm Месяц назад
Mbn huyo kitenge akiguswa kwenye timu yake anakuwa mkalii msilete uyanga kwenye kipind
@antonjohn134
@antonjohn134 Месяц назад
Lingekuwa swala la Simba kitenge angekuwepo apo
@ramadhanihassani6825
@ramadhanihassani6825 Месяц назад
Kitenge umemuona maana ulikuwa unasema kitenge hayupo
@JoelMwakabanga-wk6zz
@JoelMwakabanga-wk6zz Месяц назад
Magoma acha ujinga ulikuwa wapi mda wote huo
@JumaMigezo
@JumaMigezo Месяц назад
Njaa mbaya
@juanhumphrey3510
@juanhumphrey3510 Месяц назад
24:03 huyu mzee anachokitafuta atakipata mwache atuharibie timu
@johnsilima1629
@johnsilima1629 Месяц назад
Hersi Aende tu huko kenya akaiongoze Gor mahia sisi kama yanga hatumtakii😢😢😢😢😢😢😢
@user-ho5qb7sc2o
@user-ho5qb7sc2o Месяц назад
Haiwezekani wote tuwe viongozi, Tunakuwa na viongozi wawakilishi , Wote tukiwa viongozi nitakuwaje?? Ni kitu hakiwezekani mtateseka sana
@ramadhanihazard5459
@ramadhanihazard5459 Месяц назад
sio ushirikiano mzee rage weka wazi anataka mtonyo
@RenatusÑgolongolo-o2j
@RenatusÑgolongolo-o2j Месяц назад
Mbona bungeni hatuendi watanzania wote?
@skrinmaginga140
@skrinmaginga140 Месяц назад
Njaa kali mianya ya kuibia pesa imefungwa
@swahibumaliki1547
@swahibumaliki1547 Месяц назад
Wee Mzee uchagukuwe nani ww unanjaa kafanye kz upate kula
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Месяц назад
Hiyo mzeee tutamfumua marinda sisi
@EliaElibariki-pu9lu
@EliaElibariki-pu9lu Месяц назад
Watu wanataka maslay yao
@Zenny89
@Zenny89 Месяц назад
Tutawapiga Mawe Hawa Wazee!!! Timu imeanza kufanya vizuri ndo wanaleta kelele…wasituchezee kabisa
@user-ho5qb7sc2o
@user-ho5qb7sc2o Месяц назад
Ni mtu mwenye busara sana na mchapa kazi anakubalika muacheni
@DanielMollel-mw2eu
@DanielMollel-mw2eu Месяц назад
Tutamchoma kwa mzee magoma
@husseinmillinga
@husseinmillinga Месяц назад
Yanga acheni utoto Kiki za nini
@happinessmwaipopo
@happinessmwaipopo Месяц назад
Mzee akapimwe mkojo. Njaa inamsumbua asiturudishe nyuma
@ramadhanihassani6825
@ramadhanihassani6825 Месяц назад
Mzeee ana njaa tu anachochote
@TUNITV-ki8qk
@TUNITV-ki8qk Месяц назад
mzee katokea wapi
@user-ho5qb7sc2o
@user-ho5qb7sc2o Месяц назад
Bwanae hatuwezi kushiriki mikutano wote, kama hupendwi kaa kwa kutulia, haiwezekani wote ha tuwe viongozi kuwa viongozi jamani mzee mbaya ,Viongozi wanachaguliwa ukiona hujachaguliwa wakati wako haujafika huyu mzee asitukoroge
@PrincePalalu
@PrincePalalu Месяц назад
Huyo Mzee anaonekana anataka madaraka bas mkabidhini yeye uraisi wa yanga huenda atanenepa
@peterkazeni2460
@peterkazeni2460 Месяц назад
hao wazeee watuachie timu yetuuu
@bullychandy6509
@bullychandy6509 Месяц назад
Zamu ya watani kuteseka
@saidaltamimu7930
@saidaltamimu7930 Месяц назад
Yanga haitesek Wala hakuna wakututesa
@HamidaKibwana-cz6yv
@HamidaKibwana-cz6yv Месяц назад
Haiwez tokea Kuna kitu kinatafutwa apo yanga Wana jambo lao
@jumannejuma5864
@jumannejuma5864 Месяц назад
Jumanne Juma Huyo mzee Magoma ametokea wapi lakini anataka atuhalibie timu yetu tunamuombea Mungu amchukue akapumzike mbinguni ok na apunguze njaa zake huyo
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Месяц назад
George Job, huyo mzee umempa maswari nondo hadi kachemsha kujibu, huyo mzee namuona kama virus tu ndani ya club kwani hawezi kufukuzwa kaw lazma
@JackKanyigo
@JackKanyigo Месяц назад
Muulize huyo mzee..xaxa hivi tunasajiri yeye amechangia sh.ngap?..mpira kwa xaxa ni pesa,hao wazee wanaongangania wasikike tu bila kutoa hela wakae mbali..anataka maamuzi gani wakat hela hana
@RomboBoy-bl7ql
@RomboBoy-bl7ql Месяц назад
Kumbe uchawi upo kwel ndo naanza kuamini
@hozzashehozza9319
@hozzashehozza9319 Месяц назад
ipo siku mtamuelewa tu huyu mzee tunaemtukana leo, hii ndo devide and rule. wape wachache uwezo wa kupiga kura ili uweze kuwacontrol wakuchague na kupitisha utakacho wewe, wa kuelewa na aelewe
@user-im9cg1gl6z
@user-im9cg1gl6z Месяц назад
Magoma Hajipendi!
@husseinmillinga
@husseinmillinga Месяц назад
Ukiweka ushabiki pembeni wazee wako sawa, yafanyike marekebisho chapu ingineer abaki
@saidaltamimu7930
@saidaltamimu7930 Месяц назад
Usawa gan uliouona kwa magoma
@zoharimohammed1569
@zoharimohammed1569 Месяц назад
Kumekucha😂😂😂😂😂
@JerryGasper-ft6kr
@JerryGasper-ft6kr Месяц назад
😅😅😅😅😅❤
@AkramOmari-ty1up
@AkramOmari-ty1up Месяц назад
hawaaaaaaaa
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Месяц назад
Hilo zee halina akili.
@peterkazeni2460
@peterkazeni2460 Месяц назад
tuachieni timu yetu
@EmmanuelIkenge
@EmmanuelIkenge Месяц назад
Huyu mzee ni kolo ....hana jipya hata anavyoongea hana hoja ya maana....rushwa tu ndo inamsumbua aliyopewa na uongozi wa simba..
@ClaudManyanda
@ClaudManyanda Месяц назад
Huyomzee haitakii yangamema figisu zakijinga
@JoeliKamwela
@JoeliKamwela Месяц назад
Uyoo mzee msenge tuu naomba auliwe tuuu asituvuluge mzee mpili naomba afanye kaz yake
Далее
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 312 тыс.
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 312 тыс.