Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

🔴#Live: RAIS SAMIA NDANI ya TRENI ya UMEME - AFUNGUKA ALICHOJIONEA SAFARI ya DAR - DODOMA - MORO....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@SezariaMakota
@SezariaMakota Месяц назад
Hongera sana Mhe Rais na Serikali yako yote.Hii ni Historia umeandika.Juzi nimeshuhudia wazungu,waarabu na Wahindi wengi sana ktk Treni wakishuka Morogoro nikajiuliza wanaenda wapi,kumbe wanaenda Mikumi .Hakika CCM imeupiga mwingi ktk utekelezaji Ilani.Barikiwa sana Mhe Rais wetu.Kanyaga Twende👏👏👏🙏🙏
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Месяц назад
Usisahau kumshukuru magufuli
@amirabdallah2827
@amirabdallah2827 Месяц назад
@@mzalendomzalendo2567 Ahaaaaa!
@ProsperNena-z4r
@ProsperNena-z4r Месяц назад
Hongera Tanzania, Hongera Mama Samia Suluhu
@ashaabdulrahman7965
@ashaabdulrahman7965 Месяц назад
Waaooohhhh Masha Allah ❤❤❤ rais wetu
@marypeter7209
@marypeter7209 Месяц назад
Umeweza mama nakukubali sana mwanamke mwenzetu
@kamulikamuli530
@kamulikamuli530 Месяц назад
Hongera sana Mh Rais na Serikali yako. Mungu azidi kukulinda ili utimize ndoto yako ya kuwaletea maendeleo unayoyatamani wayapate.
@Zubaiba
@Zubaiba Месяц назад
Hongera sana mama yetu mpendwa
@malikidaudi2517
@malikidaudi2517 Месяц назад
Hongeraaa sanaaa mama yetu mitano tena kwako umeokoa uchumi wa nchi na kuboresha biashara
@JulianaNdashikwaMsonga
@JulianaNdashikwaMsonga Месяц назад
Be blessed My Mummy Samia
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Месяц назад
Mh. Rais amezungumza vizuri sana. Hongera sana mama❤❤. Mambo yanasonga
@amirabdallah2827
@amirabdallah2827 Месяц назад
Mashaa Allah, Mashaa Allah! Safi sana mama. Kazi iendeleeeee!!
@MwanahawaBakari-oh3js
@MwanahawaBakari-oh3js Месяц назад
Hongera sana rais wangu mdogo wangu Allah ,akulinde na akupe nguvu nautulivu uiongoze Tanzania yetu
@zuwenahamoud6690
@zuwenahamoud6690 Месяц назад
well done
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 Месяц назад
❤❤❤❤Mama wa Taifa.Upewe maua yako.Tyko nyuma yako mama
@Zubaiba
@Zubaiba Месяц назад
Mama niombee ajira hapo ya uhudumu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Well done mama
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n Месяц назад
Naomba Allah ngedere na bundi wasizime umeme tena Rais akiwa kwenye chombo.
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv Месяц назад
Sawa mama
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s Месяц назад
Hayawi hayawi yamekuwa. Safi sana hongereni.sasa iwepo SGR toka Dar hadi Arusha.
@swahiliicttutorials5568
@swahiliicttutorials5568 Месяц назад
Mama tunakukubali. Mitano tena
@user-dr2lk7im7r
@user-dr2lk7im7r Месяц назад
Bora asafiri na treni ya umeme ili gedere na bundi wasiharibu umeme
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
MaSamia 😅 kunawatu wanauliza Mama kalipishwa nauli? maana anazomfukoni😂😂😂
@user-hu4kh7uy9g
@user-hu4kh7uy9g Месяц назад
Mama samia MITANO TENA OYEEEEEE
@gideonmwanjila8616
@gideonmwanjila8616 Месяц назад
Kumweka Rais kwenye daraja la Uchumi na sio daraja la biashara ni makosa.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
jmni Mh Samia ana ndoto safi sana...mie nataka yy ndo aongee zaidi...twataka msikia jmni...muuliza maswali vp jmni
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 3,4 млн
Mark Rober vs Dude Perfect- Ultimate Robot Battle
19:00
🎙А не СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🍂
3:04:50
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
A major war is looming in Africa: What does Egypt want?
10:34
How to win a argument
9:28
Просмотров 515 тыс.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
Просмотров 278 тыс.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 3,4 млн