Тёмный

🔴 

SIMAMIA TV
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@najmaally7556
@najmaally7556 2 года назад
Aisee noma sana semaji la caf noma sana Simba nguvu moja
@annaayubu7173
@annaayubu7173 2 года назад
Asante sana semaji la mabingwa
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 2 года назад
Tamasha Bora sanaaaaa. KWa asiye na roho mbaya na husda plus wivu lazima akubali. Utopolo angalieni muige mwakani
@estermgina6064
@estermgina6064 2 года назад
Hatutafuti million 20 ya fain kuja kumalizia kwenye simba dat
@JumaHUssi
@JumaHUssi 2 года назад
Kuweni na heshima, hata kama m achukia, lkn ukweli utabakia kuwa ukweli, simba hadi sasa sio mabigwa wa chochote. Ah, kumbe ni bingwa wa konbe la mapi duzi cup.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 года назад
Zeru zeru juzi alikuwa anadunduliza hela ya kulipia fine
@sharifapazi3259
@sharifapazi3259 2 года назад
Mngekuwa na pesa mngevaa jezi mpyaa kapuku tu
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 2 года назад
Kinyesi FC. Njaàa njaàa SAANAAA. Wanafanya tamasha ili wakusanye pesa za kuendesha timu YAKO. Sisi Simba SC, tunatoa huruma na burudani KWa MASHABIKI wetu. Nyie utopolo ndio munaandaa harusi MICHANGO ya watu munaitumia kutatua shida zenu majumbani.
@kemmyabdallah353
@kemmyabdallah353 2 года назад
Kweli Kaka Ela wamemaliza kwa aziza k ndo Mana wamewakomoa mashabiki wao
@abdulwaheedhassan9051
@abdulwaheedhassan9051 2 года назад
Malizia kabisa aziza kiuno
@maulidihassani8324
@maulidihassani8324 2 года назад
akilihanaaa apimwe ubongowake sisitwaka vikombe nasio tamashazurii chiziiisaaaana
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 года назад
vinyesi fc waliweka kingilio kikubwa ili wapate hela ya kumlipia faini manara na mshahara wa aziza
@samamkuu2430
@samamkuu2430 2 года назад
Semaji la mabingwa wa nini au wa bonanza hahaha
@nasibyahya9778
@nasibyahya9778 2 года назад
😂😂😂😂 sisi hatutafuti milion ishirini ya fain kweny Simba day hili semaji ndyo maan linamabodygadi
@kimbyarungwe4959
@kimbyarungwe4959 2 года назад
Tunaomba mtutolee vunja Bei Kwanza jezi anauza yeye leleja ajuwi hii timu ni yetu mashabiki wa Simba atumtaki vunja Bei
@diodoruskyomya9328
@diodoruskyomya9328 2 года назад
Hujui kawekeza hela ndevu sna hapo!!? Na mwaka Jana mbona hukulalamika tatizo waTanzania mna nongwa sana
@rashidsaid1153
@rashidsaid1153 2 года назад
Munacheza na nyuki Fc 🤣 alaf mna jitambia
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 года назад
Ubingwa upi?
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 2 года назад
Semaji la mabingwa wa kombe gani? Mapinduzi au?
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 2 года назад
Ndiyo ishakuwa nikinem yake usiumiy ndg alibafilishik iro
Далее
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 4,9 млн
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50
The Day Ronaldinho Became a Barcelona Legend
15:14