TLS mungu akusimamieni watu kama wewe tukiwapata 500 nchi nzima Tanzania naiona mbali sana mana wengi walopata dhamana ya uongozi naona uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana na wanaishia kukurupuka tu
For the 1st time naona this time TLS imepata president kweli. Jamaa ameisoma sheria na anaijua kweli sheria, naona na nsheria pia inampenda huyu mwamba.....very confident with sheria
Sasa nchi yetu watu kama Mwabukusi serikali yetu haipendi ,Yani watu wenyeakili nyingi kama wakili Mwabukusi serikali haitak wanapenda watu wasionyua haki zao ili wawabuluze tu