Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

🔴#LIVE: WENYE MAJINA YANAYOANZA na HERUFI 'B' ni WAAMINIFU KWENYE MAPENZI, MALI, na WANAPENDA KAZI..
Mnajimu Maalim Hassan Yahya Hussein, anakuchambulia masuala mbalimbali ya nyota kila Ijumaa ndani ya Global Radio na kuruka live kupitia Global TV Online....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@razakmohamed1299
@razakmohamed1299 2 года назад
Shekh tatizo lako kubwa unatapeli watu unatublock sm hupokei jirekebishe.
@elibarikijohson7694
@elibarikijohson7694 Год назад
Umepewa jina baada ya kuzaliwa Ukapewa tena jina lingine Shuleni Mfano Bakari lingine Elibariki
@kassimuhassani7170
@kassimuhassani7170 2 года назад
Huyu kanisema kabisa Mimi kassimu uwa napenda kupambana kweli👏👏
@rehemagladys
@rehemagladys 2 года назад
Achana nahuyu Jama mwizi huyu tena muongo alionitenda ni maajabu musimufuate tena asije akawatenda alivyo nitenda mimi lakini Mwenyezi Mungu akusamehe
@vailetiludovickkweka6611
@vailetiludovickkweka6611 10 месяцев назад
Yani kwanza ni Malay oficen kwake ndio gest yani ukienda pale unakutana na wanawake umo ndani mambo wanao fanyiwa mh uyu baba apunguze umalaya kwanza tapeli
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 2 года назад
Jmny mbona sjaskia Erufi Z
@razakmohamed1299
@razakmohamed1299 2 года назад
Hivi utatapeli mpk lini?
@elibarikijohson7694
@elibarikijohson7694 Год назад
Kama ukipewa jina la ukoo
@chebukati158
@chebukati158 2 года назад
Kuhusu mavazi je hakuna rangi ambayo au ambazo zinakubalika na kila siku au na kila nyota?
@festodesdeli6991
@festodesdeli6991 Год назад
Mbona ujaitaja erufi f
@rehemagladys
@rehemagladys 2 года назад
Nafikiri kwamba pesa zangu ulizo nibia bado zipo mali ya utapeli haidumu jamani mimi nipo lakini wewe utaendelea kutembea na hukumu moyoni mwako japokuwa wengine hawaoni ndani mwako ukitaka uungane dhambi hiyo ya kuiba watu zaidi ya hapo umeletea kizazi chako laana, balaa ,pia na mikosi
@elibarikijohson7694
@elibarikijohson7694 Год назад
Unajina lakini huna tabia ya jina hilo huna nyota ya jina how
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
mie h lakini sio mchoyo
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
na jina h nini nifanye
@razakmohamed1299
@razakmohamed1299 2 года назад
Acha uongo
@saheedali7467
@saheedali7467 2 года назад
Uongo mtupu huo ni upuuzi wa huko kwenu tz mbona ulaya Kuna MA milioni ya watu lkn upendo, mapenzi kupindukia Ile nomaaa
@vailetiludovickkweka6611
@vailetiludovickkweka6611 10 месяцев назад
Ww Acha kudanganya watu ww punguz uhuni wewe mtu mzim una kazi ya kulala na watu wanao kuja hap pesa za kulagai ndio unatumia kurubuni watu Acha uwongo wako wewe nani Asie kujuw kuw ww Unafanya ofice yako ndio gesti ya wanawake😮
@elibarikijohson7694
@elibarikijohson7694 Год назад
Kama ukipewa jina ambalo sio nyota yako?Kufojiwa jina
@razakmohamed1299
@razakmohamed1299 2 года назад
Uongo huo
@razakmohamed1299
@razakmohamed1299 2 года назад
Shekh tatizo lako kubwa unatapeli watu unatublock sm hupokei jirekebishe.
Далее
Сделка 😂
00:27
Просмотров 185 тыс.
ПОНТОРЕЗКА САША BELAIR / ОБЗОР
27:43
Wanawake wa herufi "S" hii ndio siri ya maisha yao.
32:33
Wanawake wa herufi "R" hii ndio siri ya maisha yao.
23:16
ELIMU YA NYOTA:  FAHAMU Kundi La NYOTA YAKO | PART 2
21:14
Wanawake wa herufi "W"hii ndio siri ya maisha yao.
12:15
Herufi B,N,Z, kazi zinazo weza kukupa mafanikio.
14:36
Сделка 😂
00:27
Просмотров 185 тыс.