Тёмный

🔴LIVE: HAJI MANARA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MCHELE YEYE NDIO ALINIANZA KUNICHOKOZA NA AKANIFUKUZA 

Vimba Media
Подписаться 681 тыс.
Просмотров 262 тыс.
50% 1

Share, Support, Subscribe!!!
Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
RU-vid: / hzbtv
Twitter: / harakatizabongo
Facebook: / harakatizabongo
Instagram: / harakatizabongo
Google Plus: plus.google.co...

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 225   
@nahishakiyeassuman5541
@nahishakiyeassuman5541 2 года назад
Pole sana papa from France 🇨🇱
@MartinMlaponi-c3n
@MartinMlaponi-c3n Месяц назад
Huyu karia anamaliza muda wake,juhudi zake za kuibeba Simba zimeshafeli,ndio maana alikufungia pasipo na sababu ,kumbe siku moja utakuwa juu yake.Mungu akuzidishe mazuri.Thanks.
@TamaliSimeonMapuli-sy7bq
@TamaliSimeonMapuli-sy7bq Месяц назад
Mnafiki tu huyu
@mailonitz4901
@mailonitz4901 2 года назад
Ila. Huyu talented kwenye speech kama unampa hajielezee umfungi ata kama ameua
@carolinemasaki2020
@carolinemasaki2020 2 года назад
Tunakuelewa sana kaka yetu haji manara sisi wana udsm hakika si kila mtu anapenda mafanikio yako
@allysalumu8240
@allysalumu8240 2 года назад
Mwisho wa ubaya ni aibu Manara! Bado unazidi kuchafua sio safi kaka.
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 2 года назад
Anachafua kweli na hawa yanga wasipo angalia wataingizwa cha kike
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 2 месяца назад
Yes Hana eshima anataka aeshimiwe
@khamisikhatibu-f1r
@khamisikhatibu-f1r 27 дней назад
Kakaliziki popote mimi nakukubali sana kaka mungu atakupiganiya kaka
@patrickmkunda3666
@patrickmkunda3666 2 года назад
Ana sanaa ya Ulumbi
@eddysimba6829
@eddysimba6829 2 года назад
Kwenye rizki kuna majungu sana mwacheni mwenzenu mungu kampa kipaji. Hizi chuki binafsi zinaboa.
@mariamissah9926
@mariamissah9926 Месяц назад
Pole haji uyo kalia uwa anachuki sana na Yanga na Leo naamin Mungu yupo nasi tunayafunga😢
@bonifassimon7909
@bonifassimon7909 2 года назад
Karia ana wivu mnoo
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Tena ana wivu na chuki hafai
@janejoel2465
@janejoel2465 2 месяца назад
Halafu hajifichi anajionyesha tu, ila MUNGU yupo kila kitu kinamwisho
@kawembasaady2934
@kawembasaady2934 2 года назад
Pole kaka hayonimaisha muombe mungu atakusimamiya yeye ndie muweza kaka
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 2 месяца назад
Mimi nakushauri Usiendelee Kumzihaki Mo Dewej Huna Hadhi nae Yule ni Mtu anaiongizia Taifa fedha Nyingi Kimsema Mo Unatukosea Simba wote wew Umemsema Mo ametambulisha familia yake Wewe huna Adabu
@khamisikhatibu-f1r
@khamisikhatibu-f1r 27 дней назад
Kaliya simba huyo ndiomaana hapendi maendeleo yako ilakaka upo ok sana kwenye kazi pambana kaka
@francisibrahim9010
@francisibrahim9010 Год назад
Polesana manara
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Mi nakuelewa xanaa haji izo chuki nazielewa!huyo rais hafai!haji ameongea Mambo ambayo kila mahali kwny kazi watu km uyo rais wenye vyeo kunyanyasa watu wa chini!adi haji anaamua kumropokea ujue amevumilia mengi Kama Ayo na atimae yamemfika kibinadaam lazma moyo uchoke rais mbayaaa
@MalifezaMajidi
@MalifezaMajidi 4 месяца назад
Pole Haji
@IbrahimBode
@IbrahimBode Месяц назад
Una adabu ww karia levo nyingine tafuta kaz nyingine za kufanya
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 2 года назад
Kwa sababu ni fundi wa kuzungumza wasipo kujibu huwa inaonekana kweli..
@amulikemwaweza5370
@amulikemwaweza5370 2 года назад
Kumbe amewahi kukukemea mara nyingi siyo kwa sababu upo yanga bali ata ulipokuwa Simba,hivyo geuza ruga ya kusema kwa sababu ya wiki ya mwananchi
@aminaally8475
@aminaally8475 2 года назад
Hyo week ina nni cha mno hpo kakacrik 2 kuwa atafanyia wapi Tambo zake
@OmaryMichombero
@OmaryMichombero 2 месяца назад
Pole mkuu
@anordymwenda6053
@anordymwenda6053 2 года назад
True
@abdalahmsigwa5032
@abdalahmsigwa5032 2 года назад
Barbra ni genius
@HafidhAlly-vf5dy
@HafidhAlly-vf5dy 3 месяца назад
Kweli .kk😊
@devotharobert5420
@devotharobert5420 Год назад
Kwangu Mimi manala nili kupenda sana ukiwa Simba ulikua una hama sisha mashabiki wana itikia
@DignaEdger
@DignaEdger 2 месяца назад
Ndio tutambue uonevu upo sana hasa mwenye madaraka kumuonea asiye na madaraka. Mungu tusaidie😢
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 месяца назад
Kuna Haji Sunday manara na stive Nyerere Hawa watu wanakitu kikubwa xana ndani Yao washabarikiwa na mwenyezi mungu chuki mnazowachukia zitawafikia pabaya xana 😢 Hawa ni talented
@dravioanjelomgulunde6332
@dravioanjelomgulunde6332 2 года назад
Ise hongera unapambana hatar unaweza kuja kuwa rais
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Na icho ndio karia anachokiona kwa haji na Sasa anapanga kumshusha kabisa haji km haji anafaa anafaa tu ataaibika cku moja uyo karia akae akijua cheo ni zamana
@gubabumatege6904
@gubabumatege6904 Год назад
tunakumisi sana haji
@imamurashid512
@imamurashid512 2 года назад
We kalia kumbe wew kumas tu
@enockboidy4458
@enockboidy4458 2 года назад
Shida nikwamba unaweza ukawa kalibu na viongozi wakubw lakin ukataka kujikweza ndio shida we nimgonjwa wa akili
@WilbrodNducha-wu4bg
@WilbrodNducha-wu4bg Месяц назад
Acheni unafiki hamkuona kilichofanyika watu msipendezewe na ushabiki😂😂😂
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 2 года назад
Maisha ndivyo yalivyooooooo
@MohamedHuseni-jc3hk
@MohamedHuseni-jc3hk 3 месяца назад
Vp
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 года назад
2 Samweli 22: 6 Kamba za kuzimu zilinizunguka; Mitego ya mauti ikanikabili. 7 Katika shida yangu nalimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake. *MATESO, AIBU, WASIWASI, HOFU NA TAABU VIKITUSHIKILIA, TUMTAFUTE BWANA, TUMLILIE, TUMLALAMIKIE NAYE ATASIKIA NA KUTUOKOA!!!*
@saladaniel9274
@saladaniel9274 2 года назад
Amen 🙏
@dominikishilali4645
@dominikishilali4645 2 года назад
una taka watu wakuone huluma sasaivi kila m2 ana ana pambna mwenyewe
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 2 года назад
Daah viongozi wa tff wanatakiw wajiangalie wasitumie vyeo vyao kuathirin Waliochini.
@allymavunyila8549
@allymavunyila8549 2 года назад
bwwege huyo hajui kuomba radhi. kila anapokosea anaanza kutaka kuongea povu. yanga kueni makini siku akikosea atakuja tena kwenye midia kuyamwaga. hilo box tu
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 2 месяца назад
Uongozi wa kalia mpira wetu umekuwa sana
@makambokisawani
@makambokisawani 2 месяца назад
Siku ya wananchi naomba nikuone live
@ClepineTeophil-ne2lk
@ClepineTeophil-ne2lk Год назад
Sawa
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Kwaiyo inaeleweka haji nimekusoma uyo rais ana chuki ya mda mrefu na wewe kimya kimya!lakn iko wazi iyo
@MgangaMasudi
@MgangaMasudi Год назад
Acha ungo na wewe msenge nini
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 года назад
Haji ni muongo sana tena sana
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Haji hawezi kua muongo uongo inaeleweka mtu anapoongea na ukweli inaeleweka mtu anapoongea,izo ni chuki kwny kazi viongozi wengi wanakuaga nazo uyo rais ana chuki na haji na ameona haji anakubalika na uyo rais hajui maana ya icho cheo ni kikubwa anafoka foka nn Kama rais eti rais!kwaio karia kwanza mda mrefu na ujue mtu akikufata data xn na kukukera ikifikia mwsho wa uvumilivu unaamua acha iwe mby unamropokea tu ndio kilichotokea kwa haji!uvumilivu umemshinda haji nae akamropokea
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 Месяц назад
Hebu twambie wewe ukweli wako
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 29 дней назад
Haji msema ukweli mnoo
@bulunjumjuli9572
@bulunjumjuli9572 2 года назад
Jamani viongozi wa mpira tendeni haki msituharibie mpira kama mmeshindwa pisheni
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Na uyo rais hataamini jnc atakavyoporomoa huo mpira bila haji ata mi mwnyw sitaangaika na mpira nilihama na haji yn nampenda
@salimliemba3458
@salimliemba3458 2 года назад
Dah jamaa yani afanya wa Tanzania mazumbumbu kweli mpaka spitl ya mchongo dah
@salehhemed9388
@salehhemed9388 2 года назад
Always anajihisi anaonewa gere Who are you bana😆😆
@J4UPro
@J4UPro 2 года назад
Mind your business
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 года назад
Tatizo lako Manara unategemea porojo za majukwaa kukutetea lkn wenzako wanatumia sheria na kanuni zilizowekwa.
@Itselars77
@Itselars77 2 года назад
Duu mungu akusaidie tu haji
@wilsongeorge1353
@wilsongeorge1353 2 года назад
Mnataka aende simba ndio mkaona mumfungie wajinga nyie ndio maana mpira wa tanzania unadorora . Rais wa Tff hana akili huyo tunajua ni mshabiki wa simba tunalifahamu hilo . Na ninavomjua manara mmechokoza wenyewe namiambieni kabsa mtateseka sna nyie machoko mmetibuwa wenyewe.
@amiriishengoma5016
@amiriishengoma5016 2 года назад
Genius
@MketekeMnyamani
@MketekeMnyamani Месяц назад
Acheni majungu huyo ni kiongozi Watford siyo simba
@RamadhanMoko
@RamadhanMoko 3 месяца назад
Anna roho mbaya
@DignaEdger
@DignaEdger 2 месяца назад
Nyie msikie tu. Kumuomba radhi mtu ambaye yeye anayetaka aombwe radhi ndio kakuko 11:25 ea. Ee Mwenyezi Mungu naomba mwisho Mwema.😢
@marywattamathias9252
@marywattamathias9252 2 года назад
Mtu Moja anaye pitia changamoto du polee
@PendoKweka-cg8cd
@PendoKweka-cg8cd 3 месяца назад
Wanaotoa mawazo yao kwa kutoa hukumu dhidi ya manara, nadhani hatuhitaji mawazo yao.mpo wengi sana ambao hamumpedi manara .
@mackerasmus3563
@mackerasmus3563 2 года назад
Mshikaji muongo muongo sana mzee wa kutunga mambo unalo hilo pambana na hali yakoooooooo muhuni mmoja tu manara
@musslwilla
@musslwilla 2 года назад
Shida ya haji ni kutaka kuona yeye sahihi kuliko wengine
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Год назад
Kumbe mlikuwa na tofauti siku nyingi
@JohanesAviva
@JohanesAviva 2 месяца назад
Manara apo umekosea kumzungumzia rais wa TFF ungenyamaza tu huoni kama unaanzisha mambo mengine kaka?
@Userog254
@Userog254 2 года назад
Ulivyokosa busara ilibidi ufate hatua za sheria na mkalizungumze panapohusika, na co kuongea uongo mbele za watu, huruma za watu hazipunguzi hukumu yako boys ww
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 2 месяца назад
Viongozi wapo ndiyo maana wametufikisha apa tulipo Kwa Sasa timu zetu zinafanya vizuri,tatizo mnaleta ushabiki kwenye ukweli
@yusufsong7993
@yusufsong7993 2 года назад
Jinga tu tu linajikweza jeuri
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 месяца назад
Hapo manara anamsingizia Raisi wa Tff. Mimi nilikuwepo sijasikia hayo maneno machafu akiyatamka Raisi wa Tff. Huyu anatafuta kuwachonganisha yanga na Karia. Na hii ndiyo tabia ya manara.
@adaniathumani3382
@adaniathumani3382 2 года назад
Ukweli usemwe karia hafai kuwa raisi wampira hapa tanzania
@deusiyusuph8931
@deusiyusuph8931 2 года назад
kwasababu kamfungia manala
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Adani umeonaee afai ana Roho mbayaaaa
@adaniathumani3382
@adaniathumani3382 2 года назад
@@nahanakadiri3969 kiongozi huwezi kuonyesha Kuw Ww unatiimu aangaliee mfano waraisi wajamhuri yatanzania hayati magufuli kwaweli bora hata oscaosca anafaa kuwa raisi wampira mana mpka Leo sijamuelewa yupo timu gani huyo ndoanafaa kuwa raisi wampira mana hana timu
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 2 года назад
Uyo presda Tff anachuki na yanga yetu eeh sawa baba lababa utajua hujui alah
@kuruthummuhsin870
@kuruthummuhsin870 2 года назад
Yaan ww baba ni mnafiki mnoooo
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 года назад
Huyu jamaa ukimfutilia mambo yake unaweza kufa mapema. Alitutukana Sana wanayanga kuwa wote hatuna akili isipokuwa Baba yake na Kikwete tu. Na alisema hawezi kuwa Yanga labda akiwa Amaiti. Simba wamelifukuza likaletwa na GSM leo ndio haya linashida linatukana watu. Walifunfie maisha mrudisheni NUGAZI wetu.
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 2 года назад
Makolo mnwa wewe kadanganye makolo wenzio c anakukera halafu una act ka litoto wakat watu tunaelew we likolo zilipendwa Kuma ww
@danielnyangasi8808
@danielnyangasi8808 2 года назад
Bro huyu jamaa ni msakatonge
@Userog254
@Userog254 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@elishajusto1182
@elishajusto1182 Год назад
Broo nakuomba urudi nyumbani
@MwapololoMc
@MwapololoMc Месяц назад
Gombea ulaisi wa tff chaguzi ijayo
@HashimKibalua
@HashimKibalua 11 дней назад
Haji manala tuludu simba kumenoga
@H3s4d
@H3s4d 3 месяца назад
Mtu wa aina hiyo nimtwana
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 2 месяца назад
Tff wanaakili sana awawezi kumjibu chizi anayetafuta umarufu Kwa lazima
@mrajani786
@mrajani786 4 месяца назад
Haji unakumbuka rais stafu kikwete katika harusi yako alikusi kutulia Na mimi nakuomba uende kwa mama samia akusaidia
@rabiaallymshamumshamu9374
@rabiaallymshamumshamu9374 2 года назад
Kesi la ajimanala
@browndz9966
@browndz9966 2 года назад
Ndugu uyo alikuweka kiporo maan upolo unapashwaaa
@elishanziku8725
@elishanziku8725 2 года назад
Viongozi wa Simba walishakushitukia, viongozi wa TFF walishakushitukia, bado UTOPOLO nao watakuchoka mie nipo paleeeee
@uklife5232
@uklife5232 2 года назад
Wasomali wanariho mbaya sana
@RashidiAwami-f4n
@RashidiAwami-f4n 2 месяца назад
Bro manara mungu yupo nawe ,hiyo karia tff siyo yake Iko siku muda wake utapita ,aje atune uku mitaani mwema Sana hiyo kwanza anaichukia Sana yanga hatufai ,hafai kuwa kiongozi wa nje hata ndani ya familia anaubaguzi mkubwa saaana ,siku ambayo yanga inacheza akiwa yeye uwanjani anataka yanga ifungwe ,na hata Kama tutashinda mechi inakuwa ngumu Sana ,mtoheni apo hafai , mpira hauhendeshwi hivi ,
@ellysantemoshy4039
@ellysantemoshy4039 2 года назад
🤔
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Год назад
Acheni kumpa fulsa huyu zeruzeru, tumechoka naye! Ni kichaa siyo mwenzetu Huyu mbwa koko.
@adamsonsimon189
@adamsonsimon189 2 года назад
Lakini karia ndo alikusamehe alivyopata urahis pili kipindi unatoka simba press zako unadai kisa umaarufu je ni kweli mo unamzidi umaarufu leo karia akuchukie kisa umaarufu wako kweli wakati crip inaonesha wew ndo ulikuwa mkali kwa picha tu
@atibundonga7667
@atibundonga7667 Год назад
Yanga
@abedileite4725
@abedileite4725 2 года назад
Huyo rais wa Tff si mtutsi lkn! kwaiyo arudi kwao Rwanda!! Sijuwi somalia!!
@eliashagai7920
@eliashagai7920 3 месяца назад
Mdomo wako unakuponza unatumia vibaya ,kuwa na kiasi sio lazima uongee
@AlexMbagata
@AlexMbagata 3 месяца назад
Mm nafikiria kuwa mkweli ni Jambo zuri huyu jamaa ni mkweli
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 года назад
Mti wenye matunda ndo sikuzote hupigwa mawe
@edwinmhema3191
@edwinmhema3191 2 года назад
ivi kwa maelezo ya manara ugovi ulianza mwaka gani au Kuna nyuma ya pasia wanatuficha............. Mtu akushauti tu sijuwi Kama ni kweli
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 2 месяца назад
Huna eshima lazima ufokewe
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Год назад
Uyo kidau mshamba tu najopo lake watatoka tu tff sio yao wala yababa zao
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Год назад
Tatizo lako ni kimbelembele chako. Ulipomwomba Kangi Lugora kuwa mgeni rasmi hukuwa na kibari cha Tff. Yule ni Waziri hawezi kualikwa na mtu baki bila kuishirikisha Tff. Uliyatafuta mwenyewe.
@SimbabweSaid
@SimbabweSaid 4 месяца назад
Karia ni mjinga sio kionfozisafi fala sana
@abdulkihanza5911
@abdulkihanza5911 2 года назад
Tulisha sema Karia hafai mtayaona mengi
@mujosmujobigwa5269
@mujosmujobigwa5269 2 года назад
Mpira wa Tz hauna viongozi , Bali una washsbiki wa timu zao
@hassanmasoud5602
@hassanmasoud5602 2 года назад
Wkt uliwadhalilisha waliokupa heshma aaaahhhhh bwana haji huna lako jambo tena utaharibu kila pahala ww
@mikidadijoseph5612
@mikidadijoseph5612 2 года назад
Alafu huyu kalia anaonekana anachuki sana
@esterkimaro5681
@esterkimaro5681 2 года назад
Wew mujinga sahana manala
@abdukalembo788
@abdukalembo788 2 года назад
Hata kuandika kwenyewe hujui
@ChristianNchimbi-u3l
@ChristianNchimbi-u3l Год назад
Huyu ndio alikuwa msemaji na muhamasishaji hakuwahi kushika kispika na uwanja uliokuwa unakaa sio huyo Kuma anaebana sauti muimba tarabu
@khamismtanga4848
@khamismtanga4848 5 месяцев назад
Kulu Haq laukana muraa
@abdulkihanza5911
@abdulkihanza5911 2 года назад
Wanazitaka 20k walipe deni wanalodaiwa na Bay
@oscardickson1336
@oscardickson1336 2 года назад
Unataka huruma au sio .
@hassanmasoud5602
@hassanmasoud5602 2 года назад
Ukimya wako ingekua dawa lkn kwa vile unaweza kuongea kuliko kila mtu ww nimuongo Kwa nn hukuyaongea napema haya?
@rahimkomba3149
@rahimkomba3149 2 года назад
Shirikisho la mpira wa miguu Tff mbele kwa mbele na mkimfunguria haji Manara basi na wale wariotenda makosa na mkawafungia na faini pesa juu nao muwafungurie sawa jmn haki kwa wote
@edwinmhema3191
@edwinmhema3191 2 года назад
Kichwa gani muwongo mkubwa kwani hapo huoni aibu kuyasema hayo wewe Kiki ,inakutesa
Далее
КОТЯТА НАУЧИЛИСЬ ГОВОРИТЬ#cat
00:13
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Просмотров 121 тыс.