Huyu MOO...DEWJ, ALLAH ambariki sana wapo matajir tz wanaona kabisa baadhi ya familia zina hali ngumu kimaisha lkn wanchykulia poa ila huyu jamaa anaguswa sna na familia nyonge. Mtu kama huyu ALLAH haachi kumpa GOD BLESS YOU BRO🙏🙏🙏
Nakuelewa sana haji manara... Mo dewiji kweli Upo ju sana Unatakiwa kuwa hivyo ili hata pepo inakusubuli siku utakapo chukuliwa na mungu.... ......simba inapaswa kuwepo milele
Binadamu ni kiumbe hatari sana, huwezi kuamini kama Manara anayoyaongea leo aliwahi kutendewa Mema na Mo, Siijui Imani yake anavyoamini lkn inatia shaka, hata hao Yanga wawe makini nae. Inaelekea ni mtu asie na aibu ktk maisha yake, Watu wa aina hii ni hatari sana