Тёмный

🔴LIVE: KIBU AINGIA MITINI UONGOZI WAHAHA KUMSAKA/ YANGA WAFUNGUKA KESI YAO ILIPOFIKIA (SPORTS ARENA) 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 49 тыс.
0% 0

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@vuaikhamis7146
@vuaikhamis7146 Месяц назад
Vuai Khamis Znz Wasaf Nakupeni maua yenu . Uchambuzi umeshiba. Nassir Khalfani hongera
@salymkingungo5229
@salymkingungo5229 Месяц назад
huyu Nasir Khalfan kanyooka sanaaaa
@poncegk5263
@poncegk5263 Месяц назад
Nasir hongera sana...umenyooka
@vuaikhamis7146
@vuaikhamis7146 Месяц назад
Nassir nakuami sana. Maneno yako yamenyooka sawa sawa
@wang_youmuhoza6643
@wang_youmuhoza6643 Месяц назад
Nasri you become top top mchambuzi kweli
@AnoldiMachinda
@AnoldiMachinda Месяц назад
Kibu kibu kibu 😅 jamani tumpe kibu maua yake🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 Месяц назад
Hahahaha nacheka mie yupo kwa mganga huyo anapata ujuz kwa mganga iokes😂😂😂😂
@HappinessRumisha
@HappinessRumisha Месяц назад
Watangazaji mbona mnaongelea issue ya kibu mkandaji tu. B.Pakome Wa Yanga mbona mmekaa kimiya
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Kwani wewe unawafundisha cha kuongea?
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Pacome hakuripoti kambini? 😂😂 Au hakuna mchezaji aliewahi kuondoka kwenda kwao
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Simba wapo busy na magoma tu kibu aah
@TittoAmiry
@TittoAmiry Месяц назад
Nisomeki kamaa ElikiKibu kaisakimbia kambi
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 Месяц назад
Kibu hajapewa pesa za usajili
@medson2376
@medson2376 Месяц назад
Kwan kibu pindi ameanzisha zogo walimpatia malupulupu yake yawezekana mchezaji haitaji kuendelea na timu ndomaana anayafanya haya
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Месяц назад
HAYO YA KIBU SIJAIONA HIYO STYLE HAPA EUROPA. KAMA ANA CONTRACT NI KOSA KUBWA. ANA ANGUSHA MAENDEELEO YAKE BINAFSI.
@YunusJuma-m8c
@YunusJuma-m8c Месяц назад
Huyo kibu kama hatak nayeye aondoke t
@DogImma-u1x
@DogImma-u1x Месяц назад
Kibu ni yang kitenge
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 Месяц назад
Msije mkajisahaulisha Kuna Lile bango litawekwa pale msimbazi....
@alfayo6
@alfayo6 Месяц назад
SWALI LANGU KWENU STUDIO HAPO: Kipindi hiki cha Michezo kinaanza saa ngapi,, Najua ni saa <a href="#" class="seekto" data-time="510">8:30</a>Am Kwan nn kipindi hiki kinachelewa kuanza nje ya muda ambao umepangwa, hamuoni kwamba mnatunyima fursa ya kujua vitu vingi kwa kuchelewa kuanza kipindi.
@saimonmwakapala741
@saimonmwakapala741 Месяц назад
KIBU D UKO WAP
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Hapo ndio mtaacha kutukana mamba kabla ya kuvuka mto. Simba walimsajiri Kibu haraka haraka kwa presha za kusikia kwamba anatakiwa Yanga
@anthonfungo4276
@anthonfungo4276 Месяц назад
Vipi kama na mzigo wa msim ulio pita hajalipwa atakuwaje na Imani na mzigo wa sasa kama atalipwa wote? Akilipwa nusu nusu atalipwa kweli?
@anolddavid2585
@anolddavid2585 Месяц назад
ii ya kibu kitaalam inaitwa demand ya kibu imezidi supply😂
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 Месяц назад
Kibu anaihenyesha Simba coz kashawaonesha yeye i zaid yao
@Benjathekingofficialtv
@Benjathekingofficialtv Месяц назад
Huyu Anwar hajui mpira
@kahamashinyanga
@kahamashinyanga Месяц назад
Kibu yupo kwa mganga anafukizwa
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 Месяц назад
Kibu upo wapi sajil ngumu imepotelea wapi?
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Wakati utopolo wa mo dewji wako bega kwa bega na mzee magoma, Sie tuko na kibu hadi alipwe hela yake...inaitwa karma😅😅😅😅
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Месяц назад
😂😂🎉🎉🎉🎉
@BurhaniSaidi
@BurhaniSaidi Месяц назад
Amefunga goli moja msimu mzm na matatizo ndio hayo je angefunga goli 10 nahisi wakina mangungu wangepigwa makofi
@kakozikbonga569
@kakozikbonga569 Месяц назад
Clabu inamadeni nyingi kwa mchezaji mnaye muhongelea
Далее
KDF FRIDAY BULLETIN 6th SEPTEMBER 2024
13:21