Тёмный

😳BREAKING! UCHUNGUZI WA TFF UMEFICHUA UCHAFU WA RAISI HERIS WA KUWALIPA MAREFA KABLA YA MCHEZO 

Tanzania Digital Tv
Подписаться 18 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@DICKSONLUCAS-i6l
@DICKSONLUCAS-i6l 3 часа назад
Mbona atukuwasikia kwa simba na azam,simba na dodoma,simba na costal,kumbe mna umia eeh kaz mnayo wachambambuz poln kama wanawalipa makolo wenzenu mtasema sana ila wanafki weng bongo simba akibebwa aaah
@zanzibartour8256
@zanzibartour8256 Час назад
Mtasema sanaaaaaaa na bado
@BensonDickson-xf1ge
@BensonDickson-xf1ge 2 часа назад
Mashabiki wa mbeleko FC mjitafakari mnashangilia upumbavu!
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 4 часа назад
anae lalamika hata kimaisha ni maskini sana
@joelsaganya4077
@joelsaganya4077 5 часов назад
Yanga ikifungwa akaulizwe engineer
@jumaali9243
@jumaali9243 2 часа назад
G'oal la offside mtawabeba mpaka lini hawa yanga
@GeraldAnthony-s7k
@GeraldAnthony-s7k 3 часа назад
Mkachezeshe Sasa maana mtakosoa saana mpaka mtashindwa
@shabanimbega40
@shabanimbega40 5 часов назад
Pigeni kelele zenu lakini point 3 zimeingia
@JumaHassan-s9l
@JumaHassan-s9l 3 часа назад
hakuna kipindi yanga ifanye vzur bila mipango tangu hii dumia iumbe yanga haijawaji kua bora ila inafanywa kua bora kwa kubebwa na vyombo vya habari na marefa wakti yang inateseka ile ya bakuli walituambia tff wote simb leo wanashindishwa na marefa hatsikii hadith ya tff ni simba
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 5 часов назад
Wachambuzi hamna la kufanya, mbona hachambui mechi za nhhhhh
@emmanuelmtifu8902
@emmanuelmtifu8902 3 часа назад
Imefika wakati sasa mkachukue firimbi mchezeshe nyie Ushabiki wa Tanzania kazi sana
@EmanuelBayo-i8b
@EmanuelBayo-i8b 5 часов назад
Yaanga hatachukua ubingwa wala hatamfunga simba tena
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 5 часов назад
Ongeeeni saaaaanaaaaaa halafu Yanga imepata point 3.
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 3 часа назад
Pigeni kelele tu baleke hskuwa mchezoni
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 5 часов назад
Waliwadharau kengold wakaacha kuwapa pesa karibu waaibike timu Lao bovu
@LucyAxwesso-w7p
@LucyAxwesso-w7p 6 часов назад
Akuna timu pale Yanga bila kununua mechi hawawezi kufunga nakushinda. Msimu huu hawafungi zaidi ya goli moja mechi nyingi.
@shabanimbega40
@shabanimbega40 5 часов назад
Tumefanye hivyo unavyojua wewe, nyie mmeshindwa vipi kununua mechi Kwa kayoko acheni ujinga tengeneze timu tutaendelea kuwafunga
@MwanaBaloz-ij6es
@MwanaBaloz-ij6es 4 часа назад
Muhim point 3
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 3 часа назад
Na nyiye tuliwanunua mara nne mfululizo
@Cristiano.UR123
@Cristiano.UR123 6 часов назад
Kumekucha kumekucha 😅😅😅😅😅
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 24 минуты назад
Hii ni mipango tu, waamuzi wanakula bahasha, tff wachukue hatua
@YohanaAbayo
@YohanaAbayo 50 минут назад
Sasa yanga wabebwa mpaka lini marefa wanaaribu mpiga wa bongo
@marcobulili4341
@marcobulili4341 3 часа назад
Yanga imesajiri mitambo! Maneno mengi ya uzushi, sajili wachezaji wa viwango maneno yenu ni ya wakosaji.Acheni umbeya.
@abdulmalikhajji9615
@abdulmalikhajji9615 6 часов назад
Hiyo imeenda mtabakia na domo tupu ambalo haiachi kelele😂😂😂 poleni sana by hoock or chroock yanga itashinda biidhonillah
@Cristiano.UR123
@Cristiano.UR123 6 часов назад
Hahahagaga😂😂😂
@Mkubwa_jr
@Mkubwa_jr 6 часов назад
Biidhonillah tena😂😂😂
@fatmabakar4140
@fatmabakar4140 5 часов назад
Sijapata kuona comment ya kijinga kama hii. Unafikiri mataifa mengine yanayofuatilia ligi yetu watasema ligi yetu sio bora ina upendeleo.
@saidbakari7998
@saidbakari7998 4 часа назад
Acha kumweka mungu kwenye mambo ya hovyo na yenye wiz nautapel
@nasseralshaibani6995
@nasseralshaibani6995 3 часа назад
Inamuingiza mungu kwenye haramu?
@ericbrunokalonndwa8590
@ericbrunokalonndwa8590 38 минут назад
Haha mbumbumbu kama mbumbumbu hakuna TFF wasio elewa
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 2 часа назад
Headingvya kijinga sana ....ushahidi unao wa kununua au waoumbavu wenzako wamekuoa chochote kitu uandike huu upumbavu?
@SuleimanHamisi-rp4nh
@SuleimanHamisi-rp4nh 4 часа назад
Sasa wajinga mnataka tuwasikilize ninyi wachambuzi mchwala
Далее
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
🎙А НЕ СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🕺🏼
3:06:10
TUULIZE SISI NDO TUNAEMJUA USIKURUPUKE SHEIKH KISHKI
21:22
BABA YANGU KIPOFU Full Episode  /54/ #love
27:41
Просмотров 17 тыс.
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57