Тёмный
No video :(

🚨ISMAIL RAGE,AFUNGUKA MAZITO SAKATA LAYANGA,LINATAKIWA KUMALIZWA MAPEMA HILI. 

mtanange tv
Подписаться 53 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

#football #yangasc #alikamwe #yangafc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbaislive #simbatanzania

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Месяц назад
Usiwasaidieee ushuriii
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Месяц назад
Siku zote ninamwelewa sana mzee Rage licha ya Uyanga wangu. Yanga kwa hili inabidi kuwa makini sana na inabidi kufuatilia ushauri wake. Siku zote Mzee Rage anafuatilia michezo kama mzalendo na sio kama mshabiki kama wachambuzi wetu mlivyo na inabidi anapoongea muwe mnamsikiliza badala ya kuingilia ushauri wake wakati anafafanua jambo ili mpate kujifunze kitu. Wachambuzi wetu mnatabia za kishabiki hata katika masuala muhimu ya soka. Hii tabia yenu inatuchefua sana. Rage ni mzalendo wa Soka na taifa letu licha ya Usimba wake.
@user-gs2ir3bg4j
@user-gs2ir3bg4j Месяц назад
Rage achana nao kwani erimu akuna kwa watu wayanga awajui sakataiki timu inaweza kufungiwa bado wanakuona wewe ujui Sheria
@jumakhamis4077
@jumakhamis4077 Месяц назад
Mzee vigoma ndiyo maana unapigwa makofi na mke wako sababu hujitambui
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Месяц назад
Kesi za Simba na Yanga ukipeleka TFF ni kupoteza muda, alichofanya mwanachama ni sahihi Rage acha kupotosha uma
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Месяц назад
Tajiri huyoooooo😁
@saidmnenuka7822
@saidmnenuka7822 Месяц назад
Rage uko sahihi mm nimekuelewa
@charleslinhege690
@charleslinhege690 Месяц назад
Mzee Aden Rage na ushauri Kwa Migogoro wa Yanga. Wewe unatoa ushauri kwani Simba ilipokuwa na mgogoro mkubwa Yanga walikupeni ushauri kutatua mgogoro wenu ama yanga walichochea zaidi na kukucheka. Rage kumbuka hasimu wako muombee njaa
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Месяц назад
Huyo Juma Magoma atapewa timu yeye asije sema Sina hela ya safari na uendeshaji mungine ataijuwa nguvu ya vijana
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Месяц назад
Tuwe weledi kidogo ktk hili,hukumu ilitoka mwezi 8 mwaka Jana! Hiyo hukumu Iko wapi?
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Месяц назад
Rage kaongea anachokifahamu na yupo sahihi sana katoa uzoefu wake mzuri safi Rage
@user-zj2gc2zj2c
@user-zj2gc2zj2c Месяц назад
Rage hakuulizwa Kama mwanasimba bali aliulizwa Kama mwanasheria
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Месяц назад
Rage na Yanga wapi na wapi? Kujipendekeza tu waachie wenyewe mzigo wao
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Месяц назад
Huyu jamaa anajua kufafanua mambo anajua kabisa anakwambia 2angalie maslahi ya nchi sio maslahi ya team uyo Magoma hajielewi kwa mtazamo wangu
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Месяц назад
Nyie wasafi hasa kitenge msikilizeni Mzee rage anawaambua mnajaribu kupindusha maneno lakini rage ni mwamba wa Sheria za michezo hivyo msicheze na Mzee rage
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Mwamba MAGOMA mtamuelewa tu. Najua kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo na baadhi ya Wanayanga tunaungana naye ili huko mbele tuishangae wote.
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Ila Rage anajitahidi kufafanua vizuri
@jaspreetsinghbadwal7856
@jaspreetsinghbadwal7856 Месяц назад
TFF yenyewe ni tawi la Simba
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Месяц назад
Bange huwa haitoki moja kwa moja kichwani...
@godiuskahyarara9377
@godiuskahyarara9377 Месяц назад
Lakini hapa vema kuwa wawazi Yanga inaathitika kwa lipi?? Maswala ya Soka Hiyo ibara ya 64 kimekiuka Lakini huyo Magoma ni Mwanachama qa Yanga?? Na ukweli kuwa hao wanaosema kuna kosa lankughushi Je maamuzi yalifikiwaje??
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Месяц назад
Rage kaa kimya acha kujipendekeza, kama ni makosa kwa nini mahakama imepokea shauri
@rukiamkwayo6302
@rukiamkwayo6302 Месяц назад
Mahakama inapokea hata Kuma ya mamayako acha usenge msikilize rage
@BennyTalimo
@BennyTalimo Месяц назад
Nawakumbusha kenya walifungiwa tanzania nao wafungiwe tubaki na ujinga
@user-ud4rk1vw7l
@user-ud4rk1vw7l Месяц назад
Waambie na Simba nao wake na Mzee Kilomoni
@user-cy6wu9cd7k
@user-cy6wu9cd7k Месяц назад
Hivi ni kwa nini kila siku ni Yanga? Why always us?
@sadih5333
@sadih5333 Месяц назад
Wala mihogo na wala madafu Akina shovi darasa la saba wengi
@user-rq3ic3mt2j
@user-rq3ic3mt2j Месяц назад
Interest ya nchi hapana. Tunataka interest ya watu yanga siyo nchi
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Месяц назад
Sasa kwann wanachama wasisajili wao wachezaji nikimanisha wasitoe pesa wao wakanunua mchezaji pesa itoke kwa boss MO au GSM
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 Месяц назад
51% for club members 49% for investors
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Месяц назад
KassimAlly je alipowatesa Aden rage ulimsifu ?
@EmmanuelMalangahe
@EmmanuelMalangahe Месяц назад
Achana na hao mgongo wazi hawana elimu walishaambiwa hawana akili wenye akili ni wawili tu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Месяц назад
12:27 12:31
@jassontv5366
@jassontv5366 Месяц назад
Hata Mahakama zetu zenyewe za kis....nge yaan wao hawajuhi kama kesi ni yao au ya mahakama ya michezo mamaeeeeee
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 Месяц назад
Rage achana nao vyura hao acha wagombane, unawapa ushauri wanakupa maneno ya hovyo, acha wagombane sisi tunafurahi waparurane 😂😂😂😂😂😂😂😂
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Hata rage mwenyewe kashafungwa jela mbona hasemi
@BennyTalimo
@BennyTalimo Месяц назад
Fifa wameona kaf wameona tufungiwe ili huyo mzee walio mtuma wafurahi kenya wamefungiwa wamapotea
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Jibu swali uliloulizwa
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 Месяц назад
Huyu rage ndiye aliye mtuma kagoma Ana lolote ya kwake yamekushinda hili zeee vipi Domo domo
@saidseleman2973
@saidseleman2973 Месяц назад
Ili sio la mpira ili ni jambo la kisheria mali ,yanga
@maruhe1958
@maruhe1958 Месяц назад
Vhivi ndo yule aliyewahi kuwa katibu wa fat halafu akafungwa ee! Hana chochote cha kushauri..... Labda ndo kamtuma nini
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Kelele na ww huna jipya
@HamadiBwakame
@HamadiBwakame Месяц назад
Muachieni rage atoe ushaur nyie ushauri nibure achupuuzi wa simba na ya anga nyiw
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Месяц назад
Huyo ni Mnafiki hafahai.. Je Nani kaenda Mahakamani?
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Acha kudanganya watu
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw Месяц назад
mkundu Wewe
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Месяц назад
Simba nao itabidi wawekane sawa na Kilomoni asije akaenda mahakamani tukaingia kwenye migogoro kama hii.
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Mzee Rage... Yaani unamtetea mfanyakazi aliyeingia kazini kwa vyeti feki kwa sababu tu ni mchapakazi mzuri? Please Nyeupe iwe Nyeupe na nyekundu iwe nyekundu.. Issue ni kwamba uongozi uko madarakani kwa katiba ambayo haijasajiliwa na Rita.. Na Rita wamethibitisha hii katiba ya 2020 iliyowaweka madarakani ni batiri.. That's it
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 Месяц назад
Nyie kolo tunawajuq
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
Rita imeongea NINI?RITA WANAKUTAFUTA
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Месяц назад
Wewe shoga Kweli
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Katiba za vyama na taasisi zote kubwa kama yanga zinasajiliwa wapi? Je katiba iliyotumika kwenye uchaguzi wa viongozi walio madarakani yanga imesajiliwa? Kwa nini haikupata usajili? Acheni kupumbazwa na mafanikio kidogo mliopata wakati msingi ni mbovu.. Yaani wanachama 5 wanawakilisha wanachama 100 kwenye uchaguzi mnaona Sawa? Demokrasia ya wapi hiyo?
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
@@user-ce3tx7mr8v hiyo katiba iliyowaingiza viongozi wa yanga walio madarakani imesajiliwa?
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Месяц назад
Wajinga nyie Rage yupo sahihi , kama mnafikiri Rage anachoshauri ni hovyo ,bas endeleeni kukomaa mpaka Ligi ianze mtaona kitakachotokea wajinga nyie mnabisha Hata ukweli
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Hizi kesi za Magoma ni kijinga sana
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Umembana hana majbu
Далее
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
MGUNDA AWAPA TUZO WANAWE
3:43
Просмотров 33
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11