Uko vizuri sana bro. Ushauri wangu siku moja moja uchambue kwa English brother kwa faida ya hawa wachezaji wa kigeni pamoja na kocha. Nina imani kuna faida kubwa sana kwenye uchambuzi wako.
Yaani tumepata furaha sana simba wameshaanza kupata moto, naamini yale tuliosema kuwa washabiki tutulie hata yerusalem haikujengwa siku moja.Tuwatie moyo watafanya makubwa.
Kamsifia Kwakua ni mtanzania mbona juzi pia kamsifia fei kasema fei ni mtanzania kwaio kama alikua anajua atamhonga pesa kama Chama na manula viongozi wako makini