Тёмный

🟡Duh!Tazama Manara Akichambua Na Kuumaliza Msimu Wa Ligi Ataja Wachezaji Bora Na Kikosi Bora na Timu 

JAhctive Tv
Подписаться 18 тыс.
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Baada ya Msimu wa Ligikuu kutamatika hii leo, Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amezungumza na Watanzania kwa mara ya kwanz na kutoa maoni yake n uchambuzi juu ya vile ameutazama msimu na wachezaji ambao wamemvutia zaidi. #hajimanara #manaratv #yangasc #azizki #alikamwe #ahmedally #simbasc #azamfc #ligikuu #nbc #tff #ubingwa #wachezaji #michezo #burudani #raisheri #injinia #modewij #babra #mangungu #gamondi #gsm #matola #mgunda #mvp #pacome #yao #topscorer
Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia

Развлечения

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 148   
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 Месяц назад
Hakika umeongea ukweli mtupu,kuhusu tuzo kaka, Big up brother, kuhusu tuzo za msimu tena zinatia morali kwa wachezaji ❤❤❤. Good idea!!!!
@williamchale
@williamchale Месяц назад
❤❤❤
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Joyce Mmassi, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
William Chale, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@azamsp0rtshd2kiangi3
@azamsp0rtshd2kiangi3 Месяц назад
Natamani karia akimaliza mda wake bugati awe raisi wa TFF tuone anaweza kuchangia kiasi gani katika mpira wetu nahisi anakitu mnaweza msinielewe anakitu
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Azamsportshd2 Kiangi, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kuifuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-dq7qn1it9o
@user-dq7qn1it9o Месяц назад
HAJIII ANAUDAI MPIRA WA BONGO MPIRA HAUMDAIII👑👑👑THE KING OF TANZANIA FOOTBALL
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Levenus Mutayoba, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@Maryc2G
@Maryc2G Месяц назад
Haji manara unajua moira napenda kukusikiliza. Hongere kazi nzuri sana.🌻
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Mary Mpemba, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@Maryc2G
@Maryc2G Месяц назад
@@jahctivetv 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🌻
@Maryc2G
@Maryc2G Месяц назад
Unajua kuchambua mpira vizuri Haji manara
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Haji Manara unajirahidi sana kuchambua mpira
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Vax Minja, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@SamwelAmos-lz8pn
@SamwelAmos-lz8pn Месяц назад
Nami nakuunga mkono kwa uchambuzi huo hongera haji.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Samwel Amos, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@HassanKiongozi
@HassanKiongozi Месяц назад
Uko sahii san kwa uchambuz wako ujakosea manal
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Hassan Kiongozi, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@samsung-zb3xi
@samsung-zb3xi Месяц назад
Ongela Hadji Manala uko sahihi wafulahishe kabisaaaaa umeongeya mana🎤💐💐taem Manala tuonane
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Sam Sung, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Месяц назад
Manala ndio nani
@samsung-zb3xi
@samsung-zb3xi Месяц назад
Eeeeee Dialla mudaka masase pigakerererererer kwa Dialla💪💪💪💪💪💪💐💐💐siwakawayida kwakudaka kamarire gorirajana kwa Dialla haringekuwa gori kabisa sijuwi kama nanyiye muribiona munamaje ???uyonimuono wangu💪💪💪💪
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Sam Sung, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-ip2we5uc7n
@user-ip2we5uc7n Месяц назад
BUGGAT UNAJUA SANA MPIRA, UNAPASWA KUPEWE CHEO KATIKA FOOTBALL YETU ⚽️.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Shabani Juma, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@GelardThomas
@GelardThomas Месяц назад
Manara respect kaka.......... Umeongea points tupu....🎉🎉
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Gelard Thomas, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga Месяц назад
Manara mmoja tu
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Bruno Namanga, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@swetukillongo1849
@swetukillongo1849 Месяц назад
Absolutely Yex ,KARIA Baba yangu em msikize Bugati hyo madini 🍽
@christopherhaule8272
@christopherhaule8272 Месяц назад
Ushauri mzuri kuhusu tuzo, wahusika wauchukue na kuufanyia kazi.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Christopher Haule, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@DatuDatu-rr4oj
@DatuDatu-rr4oj Месяц назад
Hapo sawa kaka
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Datu Datu, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@cleophacemasole
@cleophacemasole Месяц назад
Uko sawa sana
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Cleophace Masole, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@samirsamson3996
@samirsamson3996 Месяц назад
Huna baya kaka ww utabaki kuwa Semeji la masemaji huna mpinzani kaka one love apriciate on you Manara
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Samir Samson, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
🤣🤣🤣🤣 kaka manara bwana unanipa raha
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Nelson Nyamle, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@DatuDatu-rr4oj
@DatuDatu-rr4oj Месяц назад
Sahihi
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Datu Datu, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 Месяц назад
Hapo kwenye Tuzo hata Mimi nakuunga Mkono kwenye suala la Tuzo tu hayo mengine sijasikiliza.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Saidi Shekhalaghe, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kuifuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-dc5qy5dc7s
@user-dc5qy5dc7s Месяц назад
Bonge lA cHambuzii
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Judith Macha, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-qu1ut5ri2z
@user-qu1ut5ri2z Месяц назад
Good!!!.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Thomas Shindikwa, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@DatuDatu-rr4oj
@DatuDatu-rr4oj Месяц назад
Kweli kaka
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Datu Datu, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@HakimuMaliki
@HakimuMaliki Месяц назад
Safi sana manara unajua
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Hakimu Maliki, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@DatuDatu-rr4oj
@DatuDatu-rr4oj Месяц назад
Yao sawa
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Datu Datu, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@makelelebahati5236
@makelelebahati5236 Месяц назад
Mzee mandala unayo yaongea ,kifupi unahitaji tuzo,UKO ,vizur SANA.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Makelele Bahati, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@cleophacemasole
@cleophacemasole Месяц назад
Nimependa sana maoni yako Bugati
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Cleophace Masole, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@AndrewEzekiel-jp7ed
@AndrewEzekiel-jp7ed Месяц назад
Saana kakaaaa nakukubali sana nisaidieni jaman TFF muachilieni ndugu yangu Manala pia BUGATTI nisaidie namba yako
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Andrew Ezekiel, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@ShabaniRashidi-wf2hu
@ShabaniRashidi-wf2hu Месяц назад
Ndio maana nilikutunga jina la bugati
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Shabani Rashidi, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@sarahalex4114
@sarahalex4114 Месяц назад
Respect Bugatti 👊💪💚💛🖤
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Sarah Alex, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 Месяц назад
Great 👍
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Michael Mabula, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-uo6gt5cf9h
@user-uo6gt5cf9h Месяц назад
EL Buggah🙌
@tinamalele8560
@tinamalele8560 Месяц назад
❤❤❤🎉
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Tina Malele, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@SamweliNathanNgamilo
@SamweliNathanNgamilo Месяц назад
Bro manara kwa madini haya itapendeza usogee pale TFF utasaidia sana big up.nakumbuka ulitoa ushauri final ya crdb
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Samweli Nathan Ng'amilo, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@MichaelMagesse
@MichaelMagesse Месяц назад
Good
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Michael Magesse, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 Месяц назад
nikwel HAJI hawa tff ndiyo wanazinguwa hawajui wanafanya nini na kwa wakati gani...!
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Ushiwa Marandu, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatiia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Месяц назад
Ume tisha brother kikosi umekipanga vizur mwana SIMBA mwenzangu
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Jolota Erasto Juma, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@MdalesioWilliam
@MdalesioWilliam Месяц назад
Ukweli TFF mnapaswa kujitasmini huyu MTU hanakosa La kufungiwa jamani ili mpila ukue lazima iwepo changamoto
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Mdalesio William, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@winfredmasheyo2477
@winfredmasheyo2477 Месяц назад
BUGGAT NI MMOJA TU TZ UKO SAWA SAAAANA UKWELI MBAKA MICHOZ INANITOKA HONGERA MWAMBA
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Winfred Masheyo, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-yq4zy7vm8x
@user-yq4zy7vm8x Месяц назад
Anajua kaka
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Yusuphu Mustapha, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@KondoMhando
@KondoMhando Месяц назад
KALIA kaona hakuna mchezaji wa Simba wa kupata tuzo. Ndo maana anachelewesha kuwapa tuzo wenye nazo. Ingekuwa kunamchezaji wa Simba, ungeona kama yangekuwepo hayo ya tuzo mpaka kwenye NGAO ya hisani. Ingekuwa fasta saana. Ila ipo siku ataondoka atalia na kusaga meno
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Kondo Mhando, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@mwassajoseph8675
@mwassajoseph8675 Месяц назад
Kikosi nimekielewa ! Kweli bughat unalijua boli
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Mwassa Joseph, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Месяц назад
KWELIII
@gabjoni4306
@gabjoni4306 Месяц назад
Eti haji manara anaogea na watanzania 😂😂😂
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Gab Joni, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-mw1sn2vk4k
@user-mw1sn2vk4k Месяц назад
HILI JAMAA LINA AKILI WOI🙌
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Elvis Damin, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@kevinpeter50
@kevinpeter50 Месяц назад
😊😊😊
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Kevin Peter, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@williamsaulos8769
@williamsaulos8769 Месяц назад
Ni mtu ambaye anaufahamu mpira kiukweli.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
WILLIAM SAULOS, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@bensonelisa3225
@bensonelisa3225 Месяц назад
Hii timu inaipga ata Arsenal
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Kwa nini useme Arsenal na si Man U?
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Benson Elisa, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Vax Minja, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@AllyMohammed-nv5sj
@AllyMohammed-nv5sj Месяц назад
Umesomea Wapi Uchambuzi
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Месяц назад
Kusoma sio kuelewa. Jemedari na usomi wake hana uelewa wa kumfikia Manara hata robo yake. Mnamchukia tu kwa vile kaiacha Simba na kuja Yanga. Hakuna kingine.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Ally Mohammed, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Reginald Mapunda, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@mauridcharles
@mauridcharles Месяц назад
Ulaya
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Месяц назад
Hakika buggati nakukubali sana na uko sahihi Kila kitu kinaongea ila Kwa kuwa TFF ni ndo walewale hawatofuata hiki kikosi bora
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Patrida Bernard, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kitufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@mcmambo8774
@mcmambo8774 Месяц назад
NAKUOMBA UCHUKUE FORM YA KUGOMBEA URAIS WA TFF NEXT ERECTION. UNAFAA KABISA, TOP TOP TOP FOOTBALL BRAIN. HAPA UYANGA NA USIMBA TUTAWEKA PEMBENI TUTAKUCHAGUA KAKA, NAMBA ZAKO KWENYE MPIRA WA TANZANIA HAZIDANGANYI. UWE PALE JUU UTUONGOZE. NAAMINI HUTAKUWA NA UPENDELEO, UTA BALANCE MIZANI. INSHALLAH.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
MC MAMBO, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-nn2hl1tw3z
@user-nn2hl1tw3z Месяц назад
Tuwe na machukizi nae.lkn ukweli anaongea
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Abdul Azizi Ali, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Месяц назад
Manara JITU KUBWAAAA
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Isaya Shokaulaya, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@koshumangoma3696
@koshumangoma3696 Месяц назад
Manyara unachozungumzia uko sahihi. Ila nakuomba uwakumbushe wakuu wa mikoa kuwa, anachofanya mtetezi wa wanyonge Arusha . Mh. Paulo Christiane Makonda, wamwige ila wamsaidie Mama majukumu kulingana na lengo la uteuzi.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Koshuma Ngoma, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kuifuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@AyzalRicco-mi6iu
@AyzalRicco-mi6iu Месяц назад
We Kuna lameck lawi
@waziriwaziri8271
@waziriwaziri8271 Месяц назад
Tuwashukuru sana watu wa utopoloni kwa kuipa heshima simba kwakuona simba ilivyokubwa haistahili kabisa kucheza shilikisho hii ni heshma kubwa sana
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Waziri Waziri, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@GidionNyau
@GidionNyau Месяц назад
We kama nani, yanga hatukutaki achana na mitandao
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Gidion Nyau, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@seifmaulid1377
@seifmaulid1377 Месяц назад
Unafaa kuwa Rais wa TFF halina mjadala
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Seif Maulid, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@ibrahimmsuya993
@ibrahimmsuya993 Месяц назад
Brother ulimi wako Una vtu adimu unajua zaidi Una jitaid ujawai niangusha bado msimbazi tuna kuitaji Simba Wana laana yako
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Ibrahim Msuya, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@saidmakamo8764
@saidmakamo8764 Месяц назад
Sasa si bora useme yanga tu wspewe tuzo .Ropokwa tu kwa hio simba mmoja tu Nenda zako uko
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Said Makamo, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@makamelila
@makamelila Месяц назад
Manara naona sikukuona kwenye sherehe yenu ya ubingwa au hukualikwa
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Makame Lila, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad Месяц назад
Kwangu mm kakosea kitu kimoja tu kpre anatakiwa kuwa wingar na k anatakiwa kuwa 10 na fei anatakiwa kuwa 9.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Ashimu Muhammad, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kuifuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad Месяц назад
@@jahctivetv ouk
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 Месяц назад
Kaka manara ukweli tumeshaujua viongozi simba ndio shida
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Baraka Musa Pole Kidoti, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Месяц назад
Hivi jamani manara atamaliza lini ile adhabu yake ?
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Patrida Bernard, Adhabu ya Manara Inaisha mwezi wa 7 mwaka huu! Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv kwa Taarifa Zaidi
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 Месяц назад
KWANINI ANAONGEA KAMA NANI??
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Christina Innocent, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@user-xi9wq2em7e
@user-xi9wq2em7e Месяц назад
Lameck Lawi ni mzuri ila bado kwenye uangalizi.
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
WILLIAM CHILOSA, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@husseinawadh4009
@husseinawadh4009 Месяц назад
Ulisemaga huwa huwaangalii Makolo sasa huyo namba tatu umempangaje.?
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Hussein Awadh, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@augustinemainde
@augustinemainde Месяц назад
Mgosi longa
@jahctivetv
@jahctivetv Месяц назад
Augustine Mainde, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@mcmambo8774
@mcmambo8774 Месяц назад
Chiumuno mgosi
Далее
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
O-Zone - Numa Numa yei на русском!🤓
00:56
Просмотров 122 тыс.
Top Queen_Hakuna Kama yanga.
4:09
Просмотров 27 тыс.
Ставь ❤️ и подписывайся 🔥
0:14
Starman #starman #superman #starmanmeme #shorts
0:16