Allah amjazie kila lakheri Sh.Mpendwa Athiumani Maalim Mimi naitwa Alhadji Amani Mageza Ni mkaazi wa hapa Nchini Rwanda Nampenda saaaana Sheikh Athoumani maalim
Mashaalla sheikh, it's our turn 2 change behaviour in marriage inshallaa ,how do a person get our number, nimeslim mwaka wa 2011 bt since then sijawai kusikiza mawaidha kiasi hiki I hv been following on RU-vid many of your videos the truth nimefarijika kiisilamu haswa video ya ''subra''.Allah akuzidishie. Rahmma from Saudi Arabia.
MashaAllah. Nashauri mawaidha yote ya sheikh Othman Maalim yatengenezewe Mobile App, na iwekwe kwenye Play Store ili watu waweze kuyapata kwa urahisi zaidi.
+AKASHA DAAWAH vipofu wa roho hamuoni huyu jamaa akichora satanic mark na wala sio hii video pekee. Mungu yupi munaye omba kawaruhu ku chora 666 wakati munahubiri. Hizo ni nguvu za giza. Kwakua hamuna Yesu ndani yenu ndio maana Shatani amewafunga macho na mioyo yenu ilimusipokeye neema ya Yesu kristo. Mukisoma bibilia muombe Mungu awaoneshe njia ya kweli. kama umefurahishwa na neno la Mungu basi nifuate katika Google plus. Mungu awe nanyi.
What the hell 666 mark you are talking about? Imani za kijini? Hivi yupo kipofu zaidi ya yule anayehusisha ibada yake na kiumbe kama yeye? Hivi unamjua YESU kweli? Hivi yupo mwanadam anaeweza kumpa neema mwanadamu mwenzake? Usiwe kipofu wa dunia coz utakuwa kipofu zaidi siku ya hukumu... Let me give you simple knowledge that doesn't need anyone to attend the class, just use yr mind kujua ukweli! M/Mungu ametuumba na anatufahamu in and out. Alijua miongoni mwa mambo ambayo tutayajengea hoja tukiwa juu ya mgongo wa ardhi (katika kumtambua yeye) ni uumbaji wa mwanadamu. kw hiyo aliumba katika hali zote nne ili isiwepo hoja juu ya hilo ila vipofu kama wewe bado hamlioni. 1) M/Mungu ameumba mwanadam asie na baba wala mama... Baba yetu ADAM 2) M/Mungu ameumba mwanadam alie na baba pekee bila ya mama ... Mama yetu Hawaa (Eva) 3) M/Mungu ameumba mwanadam alie na mama pekee bila ya baba... Issa bin Maryam (Yesu) 4) M/Mungu ameumba mwanadam alie na baba ba mama... wanadamu wooote tuliobakia ukiwemo wewe. Hapo uungu au umwana wa mungu (wa Yesu) unatokea wapi mpaka yeye awe ndio mtoa neema? Fungua macho ndugu yangu usije kupata yakini wakati usiostahiki maana hakuna ataeondoka dunia hii bila kujua ukweli juu ya imani yake, tatizo it will be too late! Tafakari!