Laiti tungekuwa tuna madheheb ya kusikiliza mawaidha na kuyafanyia kazi wallh tungekuwa na jamii nzur tu duniani Shukran sheikh kwa elim Allah akueke umri mref uzid kutuelimisha na Allah atuoe wepes tuyafanyie kaz pia Maashaallah.
asalamu aleikum sheikh juma amir shukran jaziila kwa mawaida yaako mungu a kujalie kila lakheri amiin basi sheikh thulete qutba zengine mpia thuna taaka faida zengine ambao hathuzi jui thuna taka thuzi jue inshaa allaah fanya bidi sheikh asante.
mashaallah sheikh kwa mawaidha yako matamu ila panapo nitatiza ni kuwa hata kama mke yuko kwenye ada yake unaruhusiwa kumuingilia. Nawapo wanao pinga kauli hiyo mana mke huwa ni mchafu mume haruusiwi kumuingilia mke lazima hawe twaara. pls pls pls sheikh tufafanulie hili jamani