Shekhe. Kumladhi! Maana NIMEANDIKA na kutafsiri jina lako TOFAUTI! Naam, Shekhe Othman. Niombee Mema katika safari yangu ya hapa Duniani. Nami nakuombea katika kazi hiyo NZURI na muhimu saaana katika kutukumbusha wajibu wetu kwa Muumba wetu🙏🙏🙏
Mashallha shekhe Othman mungu akupe aweni lnshallha uzidi kutupa mawaiza yenye raza ya sauti mzuri maana uwe nikisiliza mawaiza yako najiona napata na furaha ya moyo kwaza uchoshi mashallha kusiliza
Allhamdulillh Allah awape umri.mrefu mashekhe wetu wote mnaolingania daw othuman Allah akulipe unatoa daw Kwa hekma bila ya ukali mpak mamuma anakuwa na mwang kweny moyo walahi