Yaa Allah muongowe mja wako huyu pamoja na sie tuongowe ktk njia iliyonyooka wawah nimebadilika kitwabia najiona Niko tofauti najiona kwa kuskiliza mawaidha kwa kipindi cha mda mrefu sina cha kukulipa ispokua Allah atakulipa
Maa Shaa Allah Sheikh wetu kwa elmu... Jazakallahu kheri. Dawa ya siku za mazama haya ni masheikh kutukana masheikh wengine ndio mtihani wetu tulionao. Allah awape akili wapate kutafakari.
Jazakallahu'khairy. Nakushukuru daina ustadhi Othnan kwa kunirudisha katika mstari hu. Hakika Allah atakulipa leo na kesho Akhera. Kila nikitetereka ktk iman nikikusikiliza basi ibra kubwa na narudi kwa Allah.
Ma sha Allah Rahman shekh othuman mwenyezi mung azid kukuongoza uzid kutukumbusha na in sha Allah mung atupe shahada wakati wa kuondoka kwetu yarabbiy jannaty Fridaus akatukutanishe pamoja na mtume MOHAMMAD SWALALLAHU ALEYHI WASALAM
Ustadh abuu bakar Masha Allah mungu atujalie tuwe miongon mwa watu wema peponi amiiin na mungu akujalie malipo mema shehe Othman maalim na atuingize peponi sisi na ww pamoja na mtume ( s,a,w) tukiwa pamoja amiiin
MASHAA ALLAH ...... YAA MUQALIB alqulubi THABIT gelby ALAA dunik. .. yaaa RABBI RABBAH tusameehewaja wako KATIKA makosa yetu YA SIRI na dhahiri n.a. utuongoze KATIKA nyendo zakukuridhisha...😢😢😢😢na utuepushe n.a. matamanio YA kidunia
MashaALLAH tabaraka ALLAH ALLAH akujaalie umri twawel ALLAH akupe kheir nyingi sn ww na wazee wako mm nimsikizaji kubwa wa mawaidha yako yanatuelimisha Alhamdulilah
Mashaallah sheikh Othman Allah atujaalie tuwe wenye kutubia mazambi yetu, pia aturuzuku pepo ya jannah atukutanishe na kipenzi chetu bwana Mtume wetu(rehma za Allah zimifikie)