Тёмный
No video :(

1 - "KESHENI MAANA HAMWIJUI SIKU WALA SAA" || Mwl Christopher Mwakasege | 

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

SEMINA YA NENO LA MUNGU - IRINGA MJINI | DAY 1 | 18.10.2023
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@pascalselemani8132
@pascalselemani8132 10 месяцев назад
Amina amin mtumishi wa MUNGU kinshasa congo drc tunakufatiliya sana ila naitaji maombi nami nijuwe wakati pamoja na jama langu na inchi yangu pia nakupenda sana mwl kristopher napenda sana uduma MUNGU amekupa ila ujuwe tunakupenda sana uku kinshasa congo drc
@JanethMpulule
@JanethMpulule 10 месяцев назад
Asante mungu kwa wema wako unao tujalia tunamshukulu mtumishi wako anae tupa neno lako takatifu mungu ambariki na ampe upeo mwingi
@user-cq5di9nv4u
@user-cq5di9nv4u 10 месяцев назад
Kutokana na mafundisho Mungu anayoachilia ndani yako nimekuwa sana kiroho, Sitoacha kuwaombea
@user-js6pz6cx2c
@user-js6pz6cx2c 10 месяцев назад
Mtumishi wa MUNGU barikiwa,MUNGU akupe maisha marefu yaliyojaa unyenyekevu ili tupate zaidi kile kilichokusudiwa ns MUNGU,amen
@user-uf9vx1kp5p
@user-uf9vx1kp5p 10 месяцев назад
Namuunganisha mdogoangu jackline kisava kwenye madhabahu hii akapokee uponyaji damu inayomtoka ikakatike kwa jina la yesu na akapokee uponyaji pale Morogoro amina
@neemamushi4739
@neemamushi4739 10 месяцев назад
Yuko wapi
@danielsimon8355
@danielsimon8355 10 месяцев назад
Bwana Mungu mkuu azidi kukutumia Baba yetu mwl Mwakasege kwa ajili yetu sawasawa na tulivyokusudiwa kuponywa,kufunguliwa,kuinuliwa na kibadilishwa.
@gevdworshipgroupelavictoir1722
@gevdworshipgroupelavictoir1722 10 месяцев назад
Mungu akubariki sana baba sisi tuko Congo drc Bukavu sud kivu
@heradiussdereck2257
@heradiussdereck2257 10 месяцев назад
Asante sana Yesu kwa neno hili la nyakati ili tuwe tayari daima, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Mwakasege
@user-wl6tn9rb3w
@user-wl6tn9rb3w 8 месяцев назад
Saudi Arabia tunatambua uwepo wako baba❤
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 10 месяцев назад
Amen mtumishi hili ni neno la wakati
@happinesschristopher7492
@happinesschristopher7492 10 месяцев назад
Tunawapata Live kutoka Delhi India
@StemcellCellifezTanzania
@StemcellCellifezTanzania 10 месяцев назад
Mungu teremsha toba kwenye uzao wangu na watu wa Damu moja Nami. Sekundi Joseph Maria Anna Zenaice.Daniela MercySeat Destiny . Teremsha toba Kwa hawa watu wasiachwe
@josephmahundi2252
@josephmahundi2252 10 месяцев назад
Namshukuru Mungu kwa ajili yako ume kua msaada mkubwa sana kwangu Roho Mtakatifu azidi kukutumia
@JustaJohn-qt6iv
@JustaJohn-qt6iv 5 месяцев назад
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@christinakiula3743
@christinakiula3743 10 месяцев назад
Namshukuru Mungu ajili ya hii semina nimeweza kuombea nyumba yangu rafiki jirani (jumuiya na kanisa langu Ukonga.
@JmvHamuli
@JmvHamuli 10 месяцев назад
Nashikuru Sana mtumishi wa Mungu wetu aliye juu nilianzaka kukufwata katika mwaka wa 2015 mpaka Sasa unanibariki Sana nakupenda Sana natoka nji ya DRC/Goma
@ibrahimmshana3699
@ibrahimmshana3699 10 месяцев назад
MUNGU akutunze baba yetu, azidi kukutumia kwa viwango, nakulifanikisha kusudi lake, kama ilivyokuwa kwa dauni mwana wa yese,amen
@hermeger
@hermeger 10 месяцев назад
Ninashukuru . Naomba msaada wa maombi kwa mwanangu Ammi, ndugu zangu Joseph na Moses na marafiki zangu Peter, Rosette, Andrew na Mama yake Rosette. Asanteni Sana
@naigeorge7765
@naigeorge7765 9 месяцев назад
MUNGU akubariki baba yangu.Mbingu ikukumbuke
@ernestbutagalala
@ernestbutagalala Месяц назад
Tusaidie baba wa mbinguni juuu ya hiz sk za mwisho
@oforodidaskimaro4266
@oforodidaskimaro4266 10 месяцев назад
Sifa na utukufu kwa MUNGU wetu aliye juu. Amen 🙏🙏
@lazaroraphaelmwandosya7010
@lazaroraphaelmwandosya7010 10 месяцев назад
hakika nimekula chakula Cha kuachilia afya ndani yangu,hakika Mungu aendelee kukutunza sana baba
@christinangondi4212
@christinangondi4212 9 месяцев назад
MUNGU WA MBINGUNI awakumbatie katika mbawa zake, awaponye na mwovu
@maizakitonka3636
@maizakitonka3636 10 месяцев назад
Asante Mungu kwaajili ya mtumishi huyu . Sifa na utukufu tunakurudishia baba
@festojeremiah1048
@festojeremiah1048 10 месяцев назад
Mungu aendelee kukutunza baba uendelee kutupa neno la kweli kutoka kwa mungu baba
@glorykawiche472
@glorykawiche472 7 месяцев назад
Mbona upendo tv haionyeshwi jaman
@emeliakalinga8457
@emeliakalinga8457 10 месяцев назад
Ubalikiwe mtumishi Mungu aendelee kukutumia
@rahabukabisa1608
@rahabukabisa1608 7 месяцев назад
Amen
@user-tk4qy8bo8l
@user-tk4qy8bo8l 10 месяцев назад
Aminaaa
@amosisaimoni-cc1rh
@amosisaimoni-cc1rh 10 месяцев назад
Ameni baba yesu tufungue machooo
@dayanachalamilaa7546
@dayanachalamilaa7546 10 месяцев назад
Asante Yesu kwa kuniokoa🙏
@user-rq2ii4gu9e
@user-rq2ii4gu9e 10 месяцев назад
Kwa kweli nyakati za mwisho zimefika dalili zote zi wazi tumrudie mungu❤❤
@henrytarimo9802
@henrytarimo9802 10 месяцев назад
Asante Bwana kwa mafundisho ya nyakati
@user-om2ow1ns8y
@user-om2ow1ns8y 10 месяцев назад
Mungu akubariki baraka za rohon na mwilini
@cathys1535
@cathys1535 10 месяцев назад
amen
@nanyorilaizer8931
@nanyorilaizer8931 10 месяцев назад
Mungu aturehemu kwa ushabiki ktk vita ya Israel
@ellenatilio5666
@ellenatilio5666 10 месяцев назад
Asante Yesu🙏
@ronaldisawafo9906
@ronaldisawafo9906 10 месяцев назад
Asante Mungu
@hosianamunuo15
@hosianamunuo15 10 месяцев назад
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
@user-di3uy6ln4o
@user-di3uy6ln4o 10 месяцев назад
Mungu nisaidie mim
@TeddyKwiranga
@TeddyKwiranga 10 месяцев назад
Najiungamanisha na semina hii naomba unapogusa wengine NAMI usinipite
@HappyMsuya-og7ok
@HappyMsuya-og7ok 10 месяцев назад
Happy Nimebarikiwa na ibada
@anitabahati
@anitabahati 8 месяцев назад
Sifa kwa bwana
@ellyarola2939
@ellyarola2939 10 месяцев назад
Kesheni kwa maana hamjui siku wala saa ❤❤
@dorismombo7219
@dorismombo7219 10 месяцев назад
Amen mtumishi
@priscillamgaya
@priscillamgaya 8 месяцев назад
I feel blessed🙏
@Hilgath
@Hilgath 10 месяцев назад
Amina
@NENOMASHENDE-vf1gy
@NENOMASHENDE-vf1gy 9 месяцев назад
Ameen glory to God 🙏
@maizakitonka3636
@maizakitonka3636 10 месяцев назад
God bless you baba
@NawikeMwasamboma-kb3iw
@NawikeMwasamboma-kb3iw 10 месяцев назад
Asante MUNGu kwa yote uliyo tenda
@juslenkavira6961
@juslenkavira6961 10 месяцев назад
Tuko nakufata baba 🤲
@LoreenLivingston
@LoreenLivingston 10 месяцев назад
Groly to god
@GraceNgwanda
@GraceNgwanda 10 месяцев назад
Hakika Mungu wa Ibrahim akupiganie na awe Mungu wa ko milele
@NawikeMwasamboma-kb3iw
@NawikeMwasamboma-kb3iw 10 месяцев назад
MUNGu mwaminifu Sana
@bupofika597
@bupofika597 10 месяцев назад
Amen 🙌🏾
@pascalselemani8132
@pascalselemani8132 10 месяцев назад
Amen amen
@PrinceJosh1n10
@PrinceJosh1n10 10 месяцев назад
GOD 🙏 bless you Baba
@PrinceJosh1n10
@PrinceJosh1n10 10 месяцев назад
@Yasp_Tz
@Yasp_Tz 10 месяцев назад
Amina❤❤❤❤🎉🎉
@winifridajohn9226
@winifridajohn9226 10 месяцев назад
Amen 🙏
@robinlwila
@robinlwila 10 месяцев назад
praise to GOD 🙏🙏🙏
@theresialubida161
@theresialubida161 10 месяцев назад
Amina mwalim 😢😢😢😢
@TeddyKwiranga
@TeddyKwiranga 10 месяцев назад
Kupitia semina hii nipone presha na u imbe shingoni mwangu unaonisum ua
@alex_vincent
@alex_vincent 10 месяцев назад
HALLELUJAH
@josephinemunisi3934
@josephinemunisi3934 10 месяцев назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😇
@matildegasparcajulu
@matildegasparcajulu 10 месяцев назад
Baba nawaona manabii wauongo
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 10 месяцев назад
Ameen
@juslenkavira6961
@juslenkavira6961 10 месяцев назад
Ameeeen🙏🙏🙏🙏🙏
@TeddyKwiranga
@TeddyKwiranga 9 месяцев назад
35:36 35:36
@edinakibani8725
@edinakibani8725 10 месяцев назад
Kwel tukae tayali
@richardmurokozi7875
@richardmurokozi7875 10 месяцев назад
Maneno ni magumu Sana Kiasi Kwamba Nimewaza Kanisa Ninakosali ninapoteza Muda Wangu Kumbe Sijui Nifanyeje Kupata Kanisa Sahihi ili Bwana Asije Nikuta natangatanga na Makanisa.
@Kinsports
@Kinsports 10 месяцев назад
Maana yake Mungu amekuchagua kwa wakati huu kujua siri za ufalme wake
@richardmurokozi7875
@richardmurokozi7875 10 месяцев назад
@@Kinsports Changamoto Iko Kwenye Kulitambua Kanisa Sahihi Kwa Wakati huu ulio Sahihi Wa Kumjua Bwana
@noelahaz2770
@noelahaz2770 10 месяцев назад
Richard upo mkoa gani!?
@jordanmsigwa9697
@jordanmsigwa9697 10 месяцев назад
Upon mkoa gan kaka.
@bamag-021
@bamag-021 10 месяцев назад
Soma biblia kwa umakini na uombee roho wa Mungu akuongoze utatambua pakusimama kiimani
@AnithaBahati-jr1iz
@AnithaBahati-jr1iz 10 месяцев назад
Amen🙏🙏🙏🙏🙏
@JoshuaMwasandube-ft7ox
@JoshuaMwasandube-ft7ox 10 месяцев назад
Mungu aendelee kuwatunza na kuwapa nguvu na neema ya kutumika zaidi kwa ajili ya mioyo na maisha yetu watumishi
@gloryshiletiwa9125
@gloryshiletiwa9125 10 месяцев назад
Amen
@user-xf2df9kh4o
@user-xf2df9kh4o 10 месяцев назад
Amina
@denisseatv5768
@denisseatv5768 10 месяцев назад
Amen
@user-ek3rs8km4k
@user-ek3rs8km4k 10 месяцев назад
Amen
Далее
Yana bir yangi qo'shiq YORAM BIYO | Yaqin kunlarda
00:57
MAMBO YA KUTOKUSAHAU UNAPOINGIA MSIMU MPYA WA  MAISHA
47:16
MWANAMKE AKIELEWA HILI,NDOA ITAKUWA SAFIIII!!!
19:54
Просмотров 116 тыс.